Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

Umesahau pia kumfundisha matumizi sahihi ya lugha...Mbowe must be disposed ni lugha ya wapi! Hivi huko shule alisomea ujinga, ha ha haaa..!
Kijana "ujanja mwingi mbele kiza"...dispose ni nene la kiingereza lenye maana uza/tupa/ ondoa kitu kilichotumika....
 
Mwandishi maarufu wa Vitabu, Mmarekani mwenye asili ya Italia, anayeitwa MARIO PUZZO aliandika maneno yafuatayo katika moja ya vitabu vyake maarufu, kinachoitwa ‘’THE GODFATHER” ninamnukuu;
“We are a family, and the LOYALTY of the family must come before anything and everyone else. For if we honor that commitment, we will never be vanquished – but if we falter in that loyalty, we will all be CONDEMNED”

MWENYE - ENZI MUNGU alipomuumba mwanadamu alimpa MWONGOZO kisha akawatuma Mitume yake ije iufundishe muongozo huo kwa watu, kisha ikawekwa bayana kuwa atakayeufuata Muongozo huo ataongoka na atalipwa PEPO na atakayeuacha ataangamia na MOTONI yatakuwa ndio marejeo yake.

Katika Zaburi 51:6 inasema “Tazama wapendezwa na KWELI iliyo moyoni nawe utanijulisha hekima kwa siri” walio wakristo wenzangu wanafahamu mstari ukianza na neno ‘TAZAMA’ inamaanisha nini.

Baada ya utangulizi huo, kila mmoja wetu anajua kuwa LOWASSA kashindwa kwa aibu kwenye uchaguzi mkuu wa October 2015 na ni wazi kuwa MAGUFULI ndio rais wa AWAMU YA TANO wa Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA ambaye amekuwa ni MFANO WA KUIGWA duniani kote.

Naandika maneno haya, nikielezea kwa ufupi kabisa sababu zilizoipandisha na kuishusha CHADEMA hata kushindwa kwa aibu kabisa katika uchaguzi wa mwaka jana ili andiko hili liwe fursa ya kuamsha akili zao zilizolala.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA ilipanda na kukubalika kwa watanzania wengi kutoka na IMAGE ‘taswira” yake ya kutetea wanyonge, kutetea haki, uzalendo na kupinga ufisadi. Waki-stress katika hoja ya RUSHWA kama kiini cha Umasikini wa WATANZANIA.

Katika uchaguzi uliopita hali ilikuwa tofauti, walifanya makosa yatakayogharimu ‘uwepo’ wao katika ulingo wa siasa za nchi hii, makosa hayo ni kama yafuatayo;

Nitaanza kwa kifupi kueleza makosa ya kijinga waliyofanya CHADEMA kabla ya kuelezea yale ya msingi;

1. TAMAA – Viongozi wakuu wa CHADEMA walipata UROHO wa ghafla wa kutaka kuingia ikulu kwa namna yeyote, wakasahau misingi, wakaivunja UAMINIFU (LOYALTY) kwa wananchi walioujenga kwa miaka mingi na kwa nguvu kubwa iliyojumuisha DAMU ya watanzania. Tamaa ikawafumba macho, ikatawala akili zao, ladha ya madaraka ikatawala mioyo yao.

2. JEURI – Viongozi wa CHADEMA walipatwa na jeuri, jeuri ambayo asili yake ni FEDHA aliyokuja nayo EDWARD LOWASSA, wakadharau ushauri, wakapingana na wataalamu wao waliokuwa wakiwaamini miaka yote. Wakawashushua na kuwaona sio lolote si chochote pale walipowaeleza hatari ya kumpokea EDWARD ndani ya CHADEMA.

3. KIBRI – M/kiti wa CHADEMA na genge lake wakapatwa na kibri, wakaacha Mbachao kwa msala upitao. Wakawashambulia wenzao Slaa, lipumba na kila aliyepingana nao katika wazo lao la kumuweka EDO kuwa nahodha wa chombo chao. Wakaamini katika Edo na Matajiri wenzake wanaomuunga mkono. Ujuaji ukawa mwingi na kujiona wao ni zaidi ya kila mtu.

Ukiacha makosa hayo ya kijinga, lipo kosa la msingi kabisa walilofanya CHADEMA, nalo si jingine isipokuwa ni kosa la KUACHA MISINGI yake. CHADEMA iliundwa ama kuasisiwa ikiwa na values na commitment zifutazo;

1. Image ya unyonge, u-nyerere na Uzalendo.

Watanzania masikini waliiona CHADEMA kuwa ni chama chao, wakakichangia kwa mali kidogo walizonazo, wakajitoa kwa hali na mali, wakawa tayari kufa ili kuinusuru CHADEMA wakiamini kuwa ni chama chao.

Lakini CHADEMA ikaamua kuwasaliti Masikini wa Tanzania, wakaamua kuukataa U-nyerere [wakajivua image ya ukombozi] wakasikika wakimkosoa hadharani na kupayuka kuwa Nyerere hawezi kuwa Mungu. Wakajivua uzalendo, wakaacha kuchangisha na kutegemea ruzuku ya Edward na Rostam et al.

2. Kuzika HOJA ya UFISADI.

Chadema waliamua kuikataa, kuipinga na kujiweka mbali kabisa na HOJA ya kupinga UFISADI wakawa wako busy kuwasafisha mafisadi. Sidhani walifanya tathmini kiasi gani lakini confusion iliyozaliwa katika vichwa vya watanzania haikumithilika.

Hoja hii ndio iliyoijenga na kuitambulisha CHADEMA kwa watanzania, imani ya watanzania kwa CHADEMA ilitokana na hoja hii. CHADEMA wakaachana na hoja hii kimzaha mzaha kabisa. Hoja iliyobeba UHAI wao.

3. Kuunda AJENDA mpya ya MFUMO.

Baada ya kuzika hoja ya UFISADI wakaibua hoja mpya ya MFUMO, wakawaambia watanzania kuwa ajenda yao ni kuondoa mfumo, kwani wamegundua kuwa tatizo sio WEZI, wala rushwa bali ni mfumo ndio unatengeneza wezi na rushwa – hoja ya hovyo kabisa.

Hoja hii si tu kuwa HAIKUELEWEKA kwa Watanzania lakini imeendelea kuwa MAZINGAOMBWE hata kwa wasomi wenye ufahamu kujua kusudi na maana halisi ya MFUMO kama inavyotumiwa na CHADEMA.

4. MBOWE kuendelea kuwa M/kiti wa CHADEMA.

Miaka ya nyuma kidogo, nilieleza doubts zangu katika uwezo na maarifa ya MBOWE katika kuki-transform chama na kukiwezesha kushika dola, sikueleweka, labda sasa nitaeleweka. Lakini hata nikieleweka sasa, it’s too late, Chadema imeshapoteza watu muhimu, wasomi wenye maarifa, viongozi wenye uzalendo na kweli katika mioyo yao, wamepoteza waadilifu na sifa ya uadilifu, Chadema ya leo iko mikononi mwa wezi na mafisadi wa nchi hii, hakuna namna wanaweza kuondoka kirahisi, hata ikiwa MBOWE atajiuzulu sasa.

Mbowe betrayed principles and pillars of the family, amedanganywa akadanganyika, amepoteza legitimacy ya ku-lead the family, amekiuka misingi na commitment in the family – He must be disposed.

5. CHADEMA hawana utaratibu wa kujifanyia TATHMINI.

Chama makini hujifanyia tathmini kila jioni,kila mwezi, kila mwaka na kila baada ya tukio kubwa kama la uchaguzi. Chadema wanahitaji in-depth evaluation lakini najua kwa hakika hawatofanya kwani wao wanaamini kuwa wao ni intelligent kupindukia, hivyo hawakosei na hivyo hawana utaratibu wa kurudi mezani kujitathmini. Hili ni kosa la msingi kabisa, maana kama wangelikuwa wanafanya tathmini wasingelikubali LOWASSA kuwa mgombea wao wa milele (maana amejitangaza kuwa 2020 yumo).

Kwa makosa hayo, yote ya aina mbili yale ya msingi na hata yale ya kijinga CHADEMA imepoteza LOYALTY kwa watanzania, hawaaminiki tena, ndio maana wamepoteza uchaguzi uliopita na watapoteza zaidi.

Katika kitu kigumu ku-regain ni LOYALTY (UAMINIFU) kwani uaminifu ni kama roho, ikiachana na mwili haiwezi kurudi kwenye mwili huo. Once it’s gone, it is gone forever wenye akili mwili ukiachana na roho wanauchukua mwili huo na kuuzika haraka kabla haujaanza kuharibika na kutoa harufu mbaya, CHADEMA imeachana na ROHO yake, wenye akili wanajua kuwa MAITI mahala pake KABURINI.
Naona umetumika na kubakia makapi,wachana na cdm na mbowe ataendelea kuwatoa kamasi hadi majizi wa nchi hii wote wang'oke waliojazana ndani ya ccm
 
Chadema ina ombwe la uongozi...hawaaminiki,hawana uhalali....japo wameongeza uwakilishi bungeni ni kama mbegu zilizopandwa kwenye miba zitaota lakini hazitamea kama ilivyokuwa Mrema 1995..Mgombea hatodumu kwenye siasa na wameuwa talent nyingi mno kwauamuzi huu...!
Hivi na wewe unajiita GT?
 
Hoja yako Bi Shonza ina ukweli ndani yake. Chadema inabid ifanye in-depth evaluation na kuchukua hatua za kurudi kwenye misingi yake.
Kweli magamba cdm imewakamata sehemu mbaya,dadeeeeekiiiiiiiii kila siku lazima muitaje cdm ndio mpate buku 7
 
Kijana "ujanja mwingi mbele kiza"...dispose ni nene la kiingereza lenye maana uza/tupa/ ondoa kitu kilichotumika....
Ha ha haa...you just don't realize how lucky you are dude! If only idiocy was painful, you'd be writhing in agony!
images

Level of idiocy​

If a cluttered desk is a sign of a cluttered mind, of what, then, is an empty desk a sign?”
Albert Einstein
 
Hii mijitu iliyotokea chadomo na kuhamia CCM ni bure tu.

Shule ilienda kusomea ujinga tu.
Hahahahahah umewafurahisha kweli kweli nyumbu wa Lowassa wamepata ata nguvu ya kutia neno Mmawia Nguruvi3 Mag3 The Boss siku hizi simuoni Mchambuzi. Wanafiki chama lenu limekufaaaa ndio ukweli Juliana yupo right hakuna anayeamini tapeli mara mbili mlitukosakosa kutuingiza mjini na wapiga dili wenu amtupati tena
 
Amini usiamini huwa sielewi Julian alipata distinction gani katika masomo yake maana she is reasoning as if has never ever been to school!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
- The first objective of any political party including CCM is to rule the country by creating a government. CHADEMA is not spared as it is not a charity organization it wants to rule. Msomi kama wewe ukishangaa chama kuwa more ambitious kuuda serikali inakuwa unaonyesha sehemu ya ujuwa wako katika siasa. Your lovely party imefanya mambo mengi sana mabaya na ya ajabu sana to insure it remains in power because it is its main and foremost objective.
- Will respond on other raised criticisms once you acknowledge your understanding of main and foremost political party objective as don't like to go on wasting time and precious calories on a politically dead body of like.
But i thought you already lost your time
 
Hahahahahah umewafurahisha kweli kweli nyumbu wa Lowassa wamepata ata nguvu ya kutia neno Mmawia Nguruvi3 Mag3 The Boss siku hizi simuoni Mchambuzi. Wanafiki chama lenu limekufaaaa ndio ukweli Juliana yupo right hakuna anayeamini tapeli mara mbili mlitukosakosa kutuingiza mjini na wapiga dili wenu amtupati tena
Wapiga dili? Una maana ya kivuko cha MV Dar es Salaam? Au una maana ya nyumba za serikali? Au una maana ya upotevu wa mabilioni Tanroads? Je una maana ya samaki wa Magufuli? Au una maana ya madudu ya TPA, TRA na mengineyo? Nugu yangu endelea kuuchapa usingizi, siku ukiamka utajua kwa nini mabadiliko yalipiganiwa toka 1990. Nakuacha na hii picha...tafakari tafadhali;

imageuploadedbyjamiiforums1456259342-079973-jpg.325048
 
Mkuu huyo hata ukikesha unampatatia orodha ya maovu na wizi wote uliofanywa chini ya magu hatakuelewa maana kesha nyweshwa maji ya bendera ya ccm
 
Kuwa Slaa aka bwana mihogo na msaliti wa digrii ya juu sana alikuwa akiwaibia siri za CHADEMA mnamwona wa maana. Ni aibu kwa mtu mwenye akili timamu kuthubutu kusema CCM ilishinda uchaguzu 2015. Mtu wa namna hii hana hofu ya Mungu.
Ccm ni ma nkurunzinza
 
Dada Shoza tulia huko ccm .......mambo ya chadema huyawez kabisa ......Chadema ikifa unapata faida kuliko hasara hivyo furahia uongoz huo mbaya wa Chadema ,,,,Tangu lini ukawa mshauri wa chadema ?? Chadema hakiwez kuwa na mshauri zezeta kama ww..ukitaka ujue nguvu ya chadema nchi hii mulize Mwenyekiti wako..... ilibid kwenye uchaguz watumie hila za kila namna ...ili mtangazwe washindi.Na hiki chama tangu mfukuzwe kimekuwa imara zaidi ,ww mwenyewe unajuav,aliye kufukuza mwenyewe ni mbunge wa kuchaguliwa John Heche ...ila ww ni mbunge wa viti maalum ,so kama ulishindwa kupigana ukapata jimbo unaweza kutushauri nn ?? Huna lolote kaa ulee familia yako chadema huwez pambana nayo...wachie kina mkapa,kikwete,makufuli na mwinyi....
 
Mwandishi maarufu wa Vitabu, Mmarekani mwenye asili ya Italia, anayeitwa MARIO PUZZO aliandika maneno yafuatayo katika moja ya vitabu vyake maarufu, kinachoitwa ‘’THE GODFATHER” ninamnukuu;
“We are a family, and the LOYALTY of the family must come before anything and everyone else. For if we honor that commitment, we will never be vanquished – but if we falter in that loyalty, we will all be CONDEMNED”

MWENYE - ENZI MUNGU alipomuumba mwanadamu alimpa MWONGOZO kisha akawatuma Mitume yake ije iufundishe muongozo huo kwa watu, kisha ikawekwa bayana kuwa atakayeufuata Muongozo huo ataongoka na atalipwa PEPO na atakayeuacha ataangamia na MOTONI yatakuwa ndio marejeo yake.

Katika Zaburi 51:6 inasema “Tazama wapendezwa na KWELI iliyo moyoni nawe utanijulisha hekima kwa siri” walio wakristo wenzangu wanafahamu mstari ukianza na neno ‘TAZAMA’ inamaanisha nini.

Baada ya utangulizi huo, kila mmoja wetu anajua kuwa LOWASSA kashindwa kwa aibu kwenye uchaguzi mkuu wa October 2015 na ni wazi kuwa MAGUFULI ndio rais wa AWAMU YA TANO wa Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA ambaye amekuwa ni MFANO WA KUIGWA duniani kote.

Naandika maneno haya, nikielezea kwa ufupi kabisa sababu zilizoipandisha na kuishusha CHADEMA hata kushindwa kwa aibu kabisa katika uchaguzi wa mwaka jana ili andiko hili liwe fursa ya kuamsha akili zao zilizolala.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA ilipanda na kukubalika kwa watanzania wengi kutoka na IMAGE ‘taswira” yake ya kutetea wanyonge, kutetea haki, uzalendo na kupinga ufisadi. Waki-stress katika hoja ya RUSHWA kama kiini cha Umasikini wa WATANZANIA.

Katika uchaguzi uliopita hali ilikuwa tofauti, walifanya makosa yatakayogharimu ‘uwepo’ wao katika ulingo wa siasa za nchi hii, makosa hayo ni kama yafuatayo;

Nitaanza kwa kifupi kueleza makosa ya kijinga waliyofanya CHADEMA kabla ya kuelezea yale ya msingi;

1. TAMAA – Viongozi wakuu wa CHADEMA walipata UROHO wa ghafla wa kutaka kuingia ikulu kwa namna yeyote, wakasahau misingi, wakaivunja UAMINIFU (LOYALTY) kwa wananchi walioujenga kwa miaka mingi na kwa nguvu kubwa iliyojumuisha DAMU ya watanzania. Tamaa ikawafumba macho, ikatawala akili zao, ladha ya madaraka ikatawala mioyo yao.

2. JEURI – Viongozi wa CHADEMA walipatwa na jeuri, jeuri ambayo asili yake ni FEDHA aliyokuja nayo EDWARD LOWASSA, wakadharau ushauri, wakapingana na wataalamu wao waliokuwa wakiwaamini miaka yote. Wakawashushua na kuwaona sio lolote si chochote pale walipowaeleza hatari ya kumpokea EDWARD ndani ya CHADEMA.

3. KIBRI – M/kiti wa CHADEMA na genge lake wakapatwa na kibri, wakaacha Mbachao kwa msala upitao. Wakawashambulia wenzao Slaa, lipumba na kila aliyepingana nao katika wazo lao la kumuweka EDO kuwa nahodha wa chombo chao. Wakaamini katika Edo na Matajiri wenzake wanaomuunga mkono. Ujuaji ukawa mwingi na kujiona wao ni zaidi ya kila mtu.

Ukiacha makosa hayo ya kijinga, lipo kosa la msingi kabisa walilofanya CHADEMA, nalo si jingine isipokuwa ni kosa la KUACHA MISINGI yake. CHADEMA iliundwa ama kuasisiwa ikiwa na values na commitment zifutazo;

1. Image ya unyonge, u-nyerere na Uzalendo.

Watanzania masikini waliiona CHADEMA kuwa ni chama chao, wakakichangia kwa mali kidogo walizonazo, wakajitoa kwa hali na mali, wakawa tayari kufa ili kuinusuru CHADEMA wakiamini kuwa ni chama chao.

Lakini CHADEMA ikaamua kuwasaliti Masikini wa Tanzania, wakaamua kuukataa U-nyerere [wakajivua image ya ukombozi] wakasikika wakimkosoa hadharani na kupayuka kuwa Nyerere hawezi kuwa Mungu. Wakajivua uzalendo, wakaacha kuchangisha na kutegemea ruzuku ya Edward na Rostam et al.

2. Kuzika HOJA ya UFISADI.

Chadema waliamua kuikataa, kuipinga na kujiweka mbali kabisa na HOJA ya kupinga UFISADI wakawa wako busy kuwasafisha mafisadi. Sidhani walifanya tathmini kiasi gani lakini confusion iliyozaliwa katika vichwa vya watanzania haikumithilika.

Hoja hii ndio iliyoijenga na kuitambulisha CHADEMA kwa watanzania, imani ya watanzania kwa CHADEMA ilitokana na hoja hii. CHADEMA wakaachana na hoja hii kimzaha mzaha kabisa. Hoja iliyobeba UHAI wao.

3. Kuunda AJENDA mpya ya MFUMO.

Baada ya kuzika hoja ya UFISADI wakaibua hoja mpya ya MFUMO, wakawaambia watanzania kuwa ajenda yao ni kuondoa mfumo, kwani wamegundua kuwa tatizo sio WEZI, wala rushwa bali ni mfumo ndio unatengeneza wezi na rushwa – hoja ya hovyo kabisa.

Hoja hii si tu kuwa HAIKUELEWEKA kwa Watanzania lakini imeendelea kuwa MAZINGAOMBWE hata kwa wasomi wenye ufahamu kujua kusudi na maana halisi ya MFUMO kama inavyotumiwa na CHADEMA.

4. MBOWE kuendelea kuwa M/kiti wa CHADEMA.

Miaka ya nyuma kidogo, nilieleza doubts zangu katika uwezo na maarifa ya MBOWE katika kuki-transform chama na kukiwezesha kushika dola, sikueleweka, labda sasa nitaeleweka. Lakini hata nikieleweka sasa, it’s too late, Chadema imeshapoteza watu muhimu, wasomi wenye maarifa, viongozi wenye uzalendo na kweli katika mioyo yao, wamepoteza waadilifu na sifa ya uadilifu, Chadema ya leo iko mikononi mwa wezi na mafisadi wa nchi hii, hakuna namna wanaweza kuondoka kirahisi, hata ikiwa MBOWE atajiuzulu sasa.

Mbowe betrayed principles and pillars of the family, amedanganywa akadanganyika, amepoteza legitimacy ya ku-lead the family, amekiuka misingi na commitment in the family – He must be disposed.

5. CHADEMA hawana utaratibu wa kujifanyia TATHMINI.

Chama makini hujifanyia tathmini kila jioni,kila mwezi, kila mwaka na kila baada ya tukio kubwa kama la uchaguzi. Chadema wanahitaji in-depth evaluation lakini najua kwa hakika hawatofanya kwani wao wanaamini kuwa wao ni intelligent kupindukia, hivyo hawakosei na hivyo hawana utaratibu wa kurudi mezani kujitathmini. Hili ni kosa la msingi kabisa, maana kama wangelikuwa wanafanya tathmini wasingelikubali LOWASSA kuwa mgombea wao wa milele (maana amejitangaza kuwa 2020 yumo).

Kwa makosa hayo, yote ya aina mbili yale ya msingi na hata yale ya kijinga CHADEMA imepoteza LOYALTY kwa watanzania, hawaaminiki tena, ndio maana wamepoteza uchaguzi uliopita na watapoteza zaidi.

Katika kitu kigumu ku-regain ni LOYALTY (UAMINIFU) kwani uaminifu ni kama roho, ikiachana na mwili haiwezi kurudi kwenye mwili huo. Once it’s gone, it is gone forever wenye akili mwili ukiachana na roho wanauchukua mwili huo na kuuzika haraka kabla haujaanza kuharibika na kutoa harufu mbaya, CHADEMA imeachana na ROHO yake, wenye akili wanajua kuwa MAITI mahala pake KABURINI.

View attachment 325157
Kwa kuwa umepata ubunge, hata kama ni wa viti maalum, achana na mambo yasiyokuhusu. Wewe uko CCM mambo ya CDM yanakuhusu nini? Mbona unampenda sana Mbowe? Mwandikie privately. Yaani pamoja na huo ubunge bado hujaridhika tu? Juliana Shonza, uliacha nini CHADEMA?
 
Chadema ina ombwe la uongozi...hawaaminiki,hawana uhalali....japo wameongeza uwakilishi bungeni ni kama mbegu zilizopandwa kwenye miba zitaota lakini hazitamea kama ilivyokuwa Mrema 1995..Mgombea hatodumu kwenye siasa na wameuwa talent nyingi mno kwauamuzi huu...!
.. Mkuu mtafute mtu anayeitwa Wassira umuulize uzoefu wake kwa kauli kama hii ya kwako, pia muulize ule utabiri wake ulitimia? Tahadhari!, ukienda kumuuliza huyo mzee uvae helmet.
 
Nami pia nasubiri nikusikie nini hicho ambacho kinadhihirisha Juliana hajatoa pointi. Kwa maoni yangu katoa hoja jarabati. Many of us had misgivings as soon as the Pied Piper of Hammelin moved to CDM. Frankly, our fears have been confirmed. My reading of Juliana's post is that CDM committed tactical and strategic errors, no, blunders. Nowhere in Juliana's writing do I detect a lack of understanding of the main objective of a political party.
So what?

She was sacked from CHADEMA for her political prostitution moraly and physically.

She has been rewarded with a parliamentary special seat for her evils to CHADENA by CCM.

She is itched all over for more immorality. Why don't you see the abomination? She is a shameless prostitute and CCM knows well her value and usage.

Honestly she needs to refrain from CHADEMA after her failure to pull it down.

Anyway good luck CCM who are behind her nosense.
 
Back
Top Bottom