Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,041
- 2,815
Yanaanza kama safari twende fulani ukaone. Kumbe yana nguvu ni hatari ukishanasa ndo upone...ya mwenzako sikia omba yasikupate...kizaizai kweli mapenzi yanauma...waweza gombana na ndugu...rafiki akawa mbaya....
Yananyima furaha...yanakosesha raha. Tena usiombe kupenda uliempenda ajue... Haya dj mlete kijana aserebuke
Yananyima furaha...yanakosesha raha. Tena usiombe kupenda uliempenda ajue... Haya dj mlete kijana aserebuke