Ushauri kwa huyo dogo

Ushauri kwa huyo dogo

Wanawake wabinafsi sana aisee, watu wanavyosema hapa JF unafikiri utani ila dah ni kweli hawa viumbe ipo siku utaona rangi zao tu
 
Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.

Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.

Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.
Haya mauwaji tunayoshuhudia na kisikia yanachangiwa na mengi sana
 

Attachments

  • mwaisa_mtumbad-20220918-0001.jpg
    mwaisa_mtumbad-20220918-0001.jpg
    36.4 KB · Views: 10
Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.

Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.

Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.
🤣🤣🤣🤣
 
Mapenzi yameipiku Covid kwa statistics.
Okay, najitolea Turubai na viti bure kabisa.
 
Kawaida sana hiyo,ndio maana nawashauri sana vijana kwenda kufanya kazi ya biashara ya nyumbani ajenge uzoefu wa kurithi akili za maisha kwa wazazi.hapo mil 12 ilikuwa inamtosha ila ndio PAPUCHI.
Apo Kamfungulia Duka na Iphone makengeza matatu! Poor Boy😭
 
Sasa shida nn, Ukiwekeza Kwa mwanamke Pesa au Mali.

Akakuacha na kwenda Kwa mwingine kama ilivyo Kwa huyo dogo

CHUKUA KILA KILICHO CHAKO



Msiwaonee huruma Wanawake nao ni makatili wakati Fulani ,wangekua Malaika ,wasingewatenda mabaya.!!.
Kuna story Long time ago! Morogoro: Kuna sister Du Mmoja alikuwa anakaa maeneo sio mbali na Forest Secondary School. Jamaa alimnunulia Gari aina ya Toyota mark 2. Huyu sister Du enzi hizo Moro mjini yote Wakware walikuwa wanamgombania kama mpira wa kona! Ikaja siku jamaa aliemwonga Gari akamfuma na jamaa mwingine, Jamaa akafanya fujo ya kila Rangi na Gari akaipasua pasua vioo vyote- Bi mdada akaenda Police Kadi ya Gari jina la Mwanamke😭Jamaa akahamriwa na Police alitengeneze gari na awe mbali na Binti vinginevyo Atapelekwa Gerezani Kingolowira. Mwisho wa siku Mwanamke Alipwa na Bima Gari nyingine na ile ya Bwege akawa nazo 2! Sheria inakukataza ata kumsalimia. Jamaa akawa analia kidogokidogo bila kupiga kelele:: kama Duka lina jina la Mwanamke hapo jamaa awe mpole kwani Sheria aijui mtaji bi mdada aliupataje! Ila akunfanyia fujo kudai mali zake Atafungwa
 
Ujinga wa kuendekeza nyapu ,siku hizi hamna mapenzi wengi wapo kutumiza malengo Yao,....dah watu wanatafuta bahati kama hizo ....watu wapo mtaani huku na degree zao mtu haelewi anzie wapi ..dogo kazingua kinyama

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
angekunywa sumu kabisa,kwani ile ela kaka zake walimpa akampe demu wake;vijana wa hovyo hawatakiwi kuishi kabisa
 
Back
Top Bottom