OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,965
- 25,330
Dogo amelazwa hospital gani tukammalizie kabisa.
Bado tunahitaji kusajiri vijana wengi kama hawa [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapo unataka ushauri gani?
Story ipo nusu, hatujui ilo duka alimfungulia kwa makubaliano gani, umiliki ulionesha ni wa nani n.k
Nina jamaa yangu alipoachana na demu ( demu alienda kwa jamaa mwingine), mshkaji alichukua Kila kitu alichomnunuliaga, nakumbuka wakati tunaondoka eneo la tukio, jamaa alichukua hadi chupi zilizokuwa kwenye kamba. Namuuliza jamaa, sasa hizi chupi siungemuachia, wewe utazifanyia Nini? Jamaa anasema Sina uhakika but zitapata kazi mbele ya safari, akawa anafutia viatu.
Sasa huyu kamfungulia duka, alaf anakosa maamuzi?
Aiseee, ni ukatili wa kutisha alioufanya jamaa yako.Sasa hapo unataka ushauri gani?
Story ipo nusu, hatujui ilo duka alimfungulia kwa makubaliano gani, umiliki ulionesha ni wa nani n.k
Nina jamaa yangu alipoachana na demu ( demu alienda kwa jamaa mwingine), mshkaji alichukua Kila kitu alichomnunuliaga, nakumbuka wakati tunaondoka eneo la tukio, jamaa alichukua hadi chupi zilizokuwa kwenye kamba. Namuuliza jamaa, sasa hizi chupi siungemuachia, wewe utazifanyia Nini? Jamaa anasema Sina uhakika but zitapata kazi mbele ya safari, akawa anafutia viatu.
Sasa huyu kamfungulia duka, alaf anakosa maamuzi?
Roger that!Alpha 2! Man Down! Man Down! We request immediate Backup! Over!
Alpha 2 do you copy?
Jamaa alikutema akavuta colonizer from UKWala asijali yote maisha mbona mimi niliwahi fanya hivyoo jamaa akamuoa mzungu ila waleo Mungu anitupi mie mwana wake
Sometimes uchaw tunajifunzia kwao[emoji1787][emoji1787]Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.
Upumbavu kiwango cha SGR. Upewe mtaji kisha umpe demu? DahKuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.
Mwanamke huyo awe mke au mama mzazi, na sio demu.Sasa shida nn, Ukiwekeza Kwa mwanamke Pesa au Mali.
Akakuacha na kwenda Kwa mwingine kama ilivyo Kwa huyo dogo
CHUKUA KILA KILICHO CHAKO
Msiwaonee huruma Wanawake nao ni makatili wakati Fulani ,wangekua Malaika ,wasingewatenda mabaya.!!.
Alpha 1 be standby!Alpha 2! Man Down! Man Down! We request immediate Backup! Over!
Alpha 2 do you copy?
Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.