Sasa Halima ana njaa Gani na amekia mbunge kwa miaka 15Shida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.
Wanajiendekeza tu. Miaka yote hii waliyokuwepo bungeni kwa nini wasijiwekeze. Wana posho na malupulupu kibao. Mfano ukiingia tu kuna mkopo wa zaidi ya milioni 500 za gari. Bado maposho mengine. Yanatosha sana kukufanya uushi vizuri tu. Halima ana mashamba ya maparachichi huko njombe zaidi ya heka 100Shida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.
Halima aliishasema anatamani aendelee na Chadema isipokuwa kama watamfungia milango hapo ndipo ataangalia namna nyingine. Halima is very firm i trust her. Bulaya yuko sahihi kurudi CCM ndiko alikokulia sawa na Halima kwa Chadema.Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
haitaji maana ni mbinafsi, anajiona yeye ndio yeye anaweza kila kitu, mjuaji, hana busara, anatumia mdomo wake vibaya, yaan yeye anaona ana akili saaanaaa, wenye akili wako wanawaza kuishi mwezin, wanawaza wanaweza je kubadilisha maisha ya binadamu kisayansi na sio kupiga mdomo maana mdomo kila mtu anayo,Lisu hahitaji kusaidiwa, katafute hao mnaowasaidiaga ndio uwatishe.
We ngedere jishauri ww huna uwezo wa kumshauri Halima, sk zote hzo ushawahi kumshauri? Bwege kwlNimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Poyoyo kwl, utamlisha? Siasa ndio maisha yake, chadomo imeshakufa we zombieNimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
We kenge tuliza hilo tako pambana na mambo, mburukenge unatoa povu kuna mtu unamlisha?Achana na malaya nchi ina watu mil 64 mnakosa watu potential mnakalia kuwalilia watu malaya design ya Mdee,bulaya,Hanje,Kaboyoka,Mwaifunga,Matiko,na wasenge kadhaa!! Nayemhurumia hapo ni Mama yangu Lwamlaza huwa namheshimu lkn naye akienda basi tena nae namuweka kwenye jalala natulia
Sahihi: Waliofukuzwa Chadema.Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA
Ni ngumu. Ukiangalia Dr. Slaa anavyo jitahidi kurudisha heshima yake lakini bado matamshi yake yanamsuta...labda chaumma au act kutamfaa zaidi.
..lakini wabunge 19 wana kazi ya ziada kurudisha imani ya wapenda mabadiliko waliyopewa wakati wakiwa chadema.
..nadhani wananchi bado wanatamani kusikia toka kwa wabunge 19 hatua kwa hatua kwa utaratibu gani walifika bungeni.
miaka yote aliyokaa Bungeni, kama hajaweza kuitibu njaa, basi hata hiyo miaka mitano haitomsaidia kitu. asikilize USHAURI murua huo hapo juuShida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.
Mi nazisemea hizo malayaWe kenge tuliza hilo tako pambana na mambo, mburukenge unatoa povu kuna mtu unamlisha?
Kimsingi ninakubaliana na ushauri wako, hasa unapomhusu mtu kama huyu Binti ambaye alionekana kuwa na ari ya kuwatumikia waTanzania kwa dhati ya moyo wake.Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Ccm ndo ilishajifia iko kwenye mbeleko za vyombo vya dola siku vinaamua kucheza fair ccm kwaheri mkaunde vikundi vya uasiPoyoyo kwl, utamlisha? Siasa ndio maisha yake, chadomo imeshakufa we zombie
Mnapoteza muda kujadili hizo malaya,,,wtz mil64 tukose watu potential wa kupambaniq chama mpaka mzitamani Malaya zirudi chamaniKimsingi ninakubaliana na ushauri wako, hasa unapomhusu mtu kama huyu Binti ambaye alionekana kuwa na ari ya kuwatumikia waTanzania kwa dhati ya moyo wake.
Tatizo la nyakati hizi ni msukumo unaobebwa na utumishi huo kwa wananchi. Hiyo mistari miwili niliyoinyanyua hapo juu ni wazi kuwa sababu kuu ya kuingia kwenye siasa ni kujitafutia maslahi binafsi, mbele kwanza kabla ya kitu kingine chochote. Hili ndilo limefanya siasa iwe ya hovyo, hasa chini ya utawala huu wa CCM.
Halima arudi ndani ya CHAMA, kwa lengo la kukijenga chama kiweze kufikia malengo waliyo nayo kwa manufaa ya nchi hii.
Asirudi ndani ya chama, kama lengo lake kuu ni kutafuta uongozi ili afaidike yeye kwa mgongo wa waTanzania.
Kama lengo ni hilo, ni bora aingie CCM, kama walivyo fanya wenzie.
Wakati lissu anapata div 1.7 ilboru baba ako alikuwa kijijini anauza taputapu kijijini na kuvalishwa ma tishirt ya ccm huku akiwa miguu pekuhaitaji maana ni mbinafsi, anajiona yeye ndio yeye anaweza kila kitu, mjuaji, hana busara, anatumia mdomo wake vibaya, yaan yeye anaona ana akili saaanaaa, wenye akili wako wanawaza kuishi mwezin, wanawaza wanaweza je kubadilisha maisha ya binadamu kisayansi na sio kupiga mdomo maana mdomo kila mtu anayo,
Angekuwa karibu yako kwa ushauri uo angekudhaba Kelbu moja takatifu, yani we unamshauri mwenzako akae na njaa!?Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.