Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,381
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
ajulikan halipo, wewe mwenzako anachapa kaz unakuja kusema ajulikan, si amechukua na form leo au. unadhan amepoteana km wewe huku ujielewiHamna mwanasiasa alieniuma kama yule dogo wa arumeru joshua nassari. Dogo alikuwa ana potential kubwa sana kuja kuwa giant wa siasa za Tanzania... sema ndio hivyo tamaa za vyeo zikamuingia leo hii hata hajulikani yupo wapi!
Chama chake kipi tena? Chadema wameisha mtimua na sidhani kama wana nia nae. Uzuri bado ana options. Ajiunge na ACT-WAZALENDO au Chaumma. Wote hao ni wapinzani. Lakini hata akienda CCM anaweza kuwa Mpina mwengine. Au anaweza kuwa mwana harakati huru. Options ziko nyingi tu...namshauri astaafu siasa.
..uamuzi wa kwenda bungeni bila ridhaa ya chama chake, hawezi kuukwepa, au kuurekebisha.
Hata wakipata ubunge thamani yao itakuwa imeshuka sana. Na huko waliko itabidi wawe chawa kuliko chawa original.Hama hama ya vyama inapotezaga watu makini sana kwenye uwanja wa siasa kama wakina matiko na Bulaya Wakikosa Ubunge jua ndo bye bye kwenye siasa za Tanzania labda wakumbukwe kwenye UDC na RC basi ila kisiasa ndo wameenda kujimaliza bora wangetulia miaka mitano ipite Mbona Masele wa shinyanga alivumilia now karudi kwenye Game
Chama chake kipi tena? Chadema wameisha mtimua na sidhani kama wana nia nae. Uzuri bado ana options. Ajiunge na ACT-WAZALENDO au Chaumma. Wote hao ni wapinzani. Lakini hata akienda CCM anaweza kuwa Mpina mwengine. Au anaweza kuwa mwana harakati huru. Options ziko nyingi tu.
Amandla...
Sawaajulikan halipo, wewe mwenzako anachapa kaz unakuja kusema ajulikan, si amechukua na form leo au. unadhan amepoteana km wewe huku ujielewi
Halima kwa sasa sio mwanachama wa CHADEMA. Alishafukuzwa yeye na wale wenzie 18 ambao wanatengeneza kile kinachitwa covid 19.Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
We unaota kweli, chama kinajifia we unasema eti tishio, kinamtisha nani? Hiyo njia ndio waliopitishwa nccr na cuf na hakuna alie survive. Ccm ni dude hatari sana.CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Lisu hahitaji kusaidiwa, katafute hao mnaowasaidiaga ndio uwatishe.kwahiyo sio Covid 19 tena, au mmesau mlivyokuwa mnamkejeli, hiv unafaham halima ccm ndio umemfariji mpaka hapo alipo na anajua mwoyoni mwake. labda mzee wa busara km Mbowe arudi ila sio huyu mtu asiyekuwa na hekima wala busara na mropokaji. ndio maana hata hakuna mtu anayemsaidia huko maakaman maana hana shukrani sana akitoka anaanza na yule aliyemsaidia bila hata kuwa na aibu
Mlifanikiwa zamani, kizazi hiki mmeukalia. Na kwa kukusaidia tu, CUF ilikufa baada ya Maalim Seif kuihama. Cdm inaweza kupotea mtu mwenye misimamo kama Lisu akiondoka, na kikaongozwa na mtu kama Mbowe.We unaota kweli, chama kinajifia we unasema eti tishio, kinamtisha nani? Hiyo njia ndio waliopitishwa nccr na cuf na hakuna alie survive. Ccm ni dude hatari sana.
Na matusi mliyomtukana miaka yote hii mitano unaisemea.Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Mbona tayari ccm wameshafanikiwa kuiua chadema, chadema kwisha habari yake, wenye akili wote wameshaondoka chadema yamebakia manyumbu tu yanadanganyana, mnaimba no reform no election wakati watu wanachukua fomu kushiriki uchaguzi.Mlifanikiwa zamani, kizazi hiki mmeukalia. Na kwa kukusaidia tu, CUF ilikufa baada ya Maalim Seif kuihama. Cdm inaweza kupotea mtu mwenye misimamo kama Lisu akiondoka, na kikaongozwa na mtu kama Mbowe.
Nasema hivi, kama mlifanikiwa basi ni zamani. Kwa sasa kizazi kimeamka. Watu kuchukua fomu ndio dalili za cdm kufa? Ccm inatakiwa iiue cdm kwenye uwanja wa siasa na box la kura. Vyombo vya dola havitakaa viweze kwa kizazi kilichoamka.Mbona tayari ccm wameshafanikiwa kuiua chadema, chadema kwisha habari yake, wenye akili wote wameshaondoka chadema yamebakia manyumbu tu yanadanganyana, mnaimba no reform no election wakati watu wanachukua fomu kushiriki uchaguzi.
iku akirudi halima ccm dah nitafurahiiiiHuyo lazima amfuate bebi wake Esther Bulaya huko mbogamboga.