Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,055
- 14,685
- Thread starter
- #21
Acha hizi Excuse bhana Komaa kwenye InterviewKwani Rushwa sikuhizi imekwishwa? Utapata kazi ila mpaka nafasi za watu wao wanaojuana zikijaa... kama bado hazijajaa hata ukijibu maswali yote na yanyongeza kazi sahau..
Sent using Jamii Forums mobile app