Ushauri kwa ewe Kijana unayesaka Ajira.

Ushauri kwa ewe Kijana unayesaka Ajira.

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,324
Reaction score
13,771
Kimsingi Tanzania Imekua ina wasomi wa kila aina usitegemee utaitwa interview mkiwa watatu au 10 Never.

Hebu mjitahidi kufanya maandalizi kama kweli unatafuta Ajira inashangaza wote wahitimu mwenzako kapata written 98% wewe unapata 0%, 5% , 10% au 9% inaonesha ni jinsi gani Ulivyo mweupe Kichwani Kuhusu kile Ulichokisomea.

Nimeshangaa Watu wanaanza Ku wapakazia Utumishi hasa kwa waliopiga Written Juzi hakuna Cha Undugu pale Utumishi wewe faulu tuu utapata kazi acheni Imani potofu watu wanaangia wakiwa shallow mno.

Yaani Graduates mi nilishangaa Kijana Mmoja alivyoona ile panel ya Oral tuu akadondoka Chini kwanini Mnakua Nervous kiasi hicho, Jaribu Ku control emotions zako za Kukosa kazi pia Jitahidi ujiamini ,Confidence yako iwe silaha hapa nagundua zile presentation za Chuo huwa zina Msaada Vyuo Vingine havifanyi hizi.

Wakuu hebu jitahidini Kuvijua Vitu Muhimu katika Course yako pia Tumia Vitu kama YouTube kila Topic ukiipata ipo mle watakufundisha tuu Kazi hazitolewi Bure Utumishi.
 
Ni Kweli lakini elimu yetu ina matatizo kuna uzi niliuleta hapa kuhusu Uhusiano wa elimu yetu na kazi husika, Kuna mabadiliko makubwa yanahitajika
 
Kimsingi Tanzania Imekua ina wasomi wa kila aina usitegemee utaitwa interview mkiwa watatu au 10 Never.

Hebu mjitahidi kufanya maandalizi kama kweli unatafuta Ajira inashangaza wote wahitimu mwenzako kapata written 98% wewe unapata 0%, 5% , 10% au 9% inaonesha ni jinsi gani Ulivyo mweupe Kichwani Kuhusu kile Ulichokisomea.

Nimeshangaa Watu wanaanza Ku wapakazia Utumishi hasa kwa waliopiga Written Juzi hakuna Cha Undugu pale Utumishi wewe faulu tuu utapata kazi acheni Imani potofu watu wanaangia wakiwa shallow mno.

Yaani Graduates mi nilishangaa Kijana Mmoja alivyoona ile panel ya Oral tuu akadondoka Chini kwanini Mnakua Nervous kiasi hicho, Jaribu Ku control emotions zako za Kukosa kazi pia Jitahidi ujiamini ,Confidence yako iwe silaha hapa nagundua zile presentation za Chuo huwa zina Msaada Vyuo Vingine havifanyi hizi.

Wakuu hebu jitahidini Kuvijua Vitu Muhimu katika Course yako pia Tumia Vitu kama YouTube kila Topic ukiipata ipo mle watakufundisha tuu Kazi hazitolewi Bure Utumishi.
lakn Aliyepata 98% written Practical cjui kamapta nn any way mm ni mwajiriwa sugu
 
utumishi nao wababaisha tu upate written 90% ukija pata oral 50% mwenzako alipata written 60% oral 60 anachukuliwa yeye

kwa nini msitafute wastani na oral na written mmekalia kuchukua wazungumzaji zaidi ndo maana siasa haziishi

alafu matokeo ya oral mnaficha ili kutuchakachua vizuri, hamna lolote nyie tukiwabana madudu yenu lazima mdondoke kwa pressure kama huyo jamaa.
 
Kimsingi Tanzania Imekua ina wasomi wa kila aina usitegemee utaitwa interview mkiwa watatu au 10 Never.

Hebu mjitahidi kufanya maandalizi kama kweli unatafuta Ajira inashangaza wote wahitimu mwenzako kapata written 98% wewe unapata 0%, 5% , 10% au 9% inaonesha ni jinsi gani Ulivyo mweupe Kichwani Kuhusu kile Ulichokisomea.

Nimeshangaa Watu wanaanza Ku wapakazia Utumishi hasa kwa waliopiga Written Juzi hakuna Cha Undugu pale Utumishi wewe faulu tuu utapata kazi acheni Imani potofu watu wanaangia wakiwa shallow mno.

Yaani Graduates mi nilishangaa Kijana Mmoja alivyoona ile panel ya Oral tuu akadondoka Chini kwanini Mnakua Nervous kiasi hicho, Jaribu Ku control emotions zako za Kukosa kazi pia Jitahidi ujiamini ,Confidence yako iwe silaha hapa nagundua zile presentation za Chuo huwa zina Msaada Vyuo Vingine havifanyi hizi.

Wakuu hebu jitahidini Kuvijua Vitu Muhimu katika Course yako pia Tumia Vitu kama YouTube kila Topic ukiipata ipo mle watakufundisha tuu Kazi hazitolewi Bure Utumishi.
Dah umeongea ukweli mtupu mkuu. Mm niliwahiombwa na recruitment agency fulani kuwasaidia usaili hawa wa wahasibu kwani hyo fani yangu. Jmn niliumia moyo. Watu kujieleza ni shida. Sawa kiingereza hatuko perfect kiviile ila hata tense tu shida!! Mbaya zaidi hyo nafasi iliyokua inagombewa kulikua na mdada anajitolea anafanya yaleyale wiyotangaza yaani job description lkn bidada alishindwa kujieleza imagine.halafu huku viongozi wanakimbiza shirikisho la afrika mashariki. Kazi ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Troll F umeamua sasa kutupa madini ya kupata interview baada ya kujiajiri kupiga mwamba.
 
Hahahhha kudondoka kwenye chumba cha udahili ni udhaifu mkubwa sana,
Hata mm sikupi ajira aisee....pia ni kweri zile presentation ni muhimu sana mana kidogo unazoea kusimama mbele ya watu wengi.
 
"Self confidence" ni muhimu sana katika maisha siku zote, jitahidi kumjengea mtoto/watoto wako uwezo wa kujiamini tangu wakiwa wadogo. Kivipi?, kuna namna nyinyi tu. Moja wapo ni kumpa nafasi/uhuru wa kujieleza, mfano kama unautaratibu wa kusali kila kila siku kabla ya kulala mpe mtoto nafasi ya kusoma neno la Mungu na kutoa tafakari ya neno kuhusu fundisho/nasaha kutokana na neno la siku hiyo. Namna nyingine ni kwenda naye kusali kila wiki (j2/ijumaa) na ashiriki katika ratiba mbalimbali za huko kanisani, mfano kusoma neno la Mungu, kuimba kwaya, kutumikia shughuli mbalimbali za kanisa, n.k...

"Life+time"...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi Tanzania Imekua ina wasomi wa kila aina usitegemee utaitwa interview mkiwa watatu au 10 Never.

Hebu mjitahidi kufanya maandalizi kama kweli unatafuta Ajira inashangaza wote wahitimu mwenzako kapata written 98% wewe unapata 0%, 5% , 10% au 9% inaonesha ni jinsi gani Ulivyo mweupe Kichwani Kuhusu kile Ulichokisomea.

Nimeshangaa Watu wanaanza Ku wapakazia Utumishi hasa kwa waliopiga Written Juzi hakuna Cha Undugu pale Utumishi wewe faulu tuu utapata kazi acheni Imani potofu watu wanaangia wakiwa shallow mno.

Yaani Graduates mi nilishangaa Kijana Mmoja alivyoona ile panel ya Oral tuu akadondoka Chini kwanini Mnakua Nervous kiasi hicho, Jaribu Ku control emotions zako za Kukosa kazi pia Jitahidi ujiamini ,Confidence yako iwe silaha hapa nagundua zile presentation za Chuo huwa zina Msaada Vyuo Vingine havifanyi hizi.

Wakuu hebu jitahidini Kuvijua Vitu Muhimu katika Course yako pia Tumia Vitu kama YouTube kila Topic ukiipata ipo mle watakufundisha tuu Kazi hazitolewi Bure Utumishi.
Kwani Rushwa sikuhizi imekwishwa? Utapata kazi ila mpaka nafasi za watu wao wanaojuana zikijaa... kama bado hazijajaa hata ukijibu maswali yote na yanyongeza kazi sahau..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom