Ushauri kwa dada zangu

Ushauri kwa dada zangu

Haya mambo wanawake mnayapuuzia ila ya athari kubwa pengine hata kwa carrier zenu. Inaweza isikuathiri wewe ikamuathiri mdogo wako au binamu yako.

Kuna binti nilisoma naye chuo ni kazuri kiukweli ila jana tu kuna mtu sijui wamekorofishana hata sielewi kafungua account Instagram kapost picha za huyo binti akiwa na birthday suit. Nasikia amelazwa kwa sasa mungu amjaalie nguvu arejee kwenye afya yake. Ila wanadamu tujifunze mapenzi ya kutumiana picha hizo siyo mapenzi hiyo ni porno.
 
Ni kweli kaka, ila naguswa sana na maisha ya dada zangu. Ninaye mtu ambaye tabia yake iko kama nilivyoandika. Nimejaribu kumshauri naonekana namfundisha namna ya kuishi, niki withdraw troops atasema wanaume ni mbwa tu ili hali yeye kajitia ukiziwi na wala hata hataki kusikia.
Huwa nachukiaga sana pale nionapo wanaume tunapoonekana watu wabaya na tusiona malenho mema kwa wenzetu ilihali wengine tunajitahidi kumfanya mwanamke asijisikie amelaaniwa bali mwenye Bahati.

Hakika kunatabia zinasikitisha sana...

Cc: mahondaw
 
Mkuu acha watutumie nude lakini kuoa tutaoa waliovaa ushungi
 
Kama sasa hivi wanavaa nusu uchi,je hao watoto wakikua si watakuwa uchi kabisa karne hiyo?Mkuu let her be,me sipendi mke wangu ajifunike funike basi tu,akienda akikutana na mamaake,mama mkwe wangu anaulizwa mbona umevaa hivi anamjibu mume wangu yule pale hajalalamika.Tafuta ambaye unataka ajifunike huyo muache mkuu!

Sawa mkuu
 
Waendelee kuvaa hivyo hivyo nasi wapita njia tupunguze stress
Nimeipenda comment yako brother.
Nimecheka mwenyewe tu.

Kuna tuliyeonana kwenye mishe mishe mjini, tukapeana namba fresh kabisa na mtongozano ukawa vizuri.

Nilimpenda kiasi hadi nikawa nawaza kwa sauti. Nilitamani kama angekuwa wife material. Ila aliponitajia jina analotumia FB nikamcheck! Niliishiwa pozi lote!

Tulibaki kuwa wapenzi watoanaji wa nyege tu. Sikuwahi kuzungumzia suala la kuishi pamoja tena. Ilikuwa mwendo wa kugegeda tu.
 
ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom