Ushauri kwa dada zangu

Ushauri kwa dada zangu

Mambo yao waachie wenyewe...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw

Ni kweli kaka, ila naguswa sana na maisha ya dada zangu. Ninaye mtu ambaye tabia yake iko kama nilivyoandika. Nimejaribu kumshauri naonekana namfundisha namna ya kuishi, niki withdraw troops atasema wanaume ni mbwa tu ili hali yeye kajitia ukiziwi na wala hata hataki kusikia.
Huwa nachukiaga sana pale nionapo wanaume tunapoonekana watu wabaya na tusiona malenho mema kwa wenzetu ilihali wengine tunajitahidi kumfanya mwanamke asijisikie amelaaniwa bali mwenye Bahati.
 
Kama sasa hivi wanavaa nusu uchi,je hao watoto wakikua si watakuwa uchi kabisa karne hiyo?Mkuu let her be,me sipendi mke wangu ajifunike funike basi tu,akienda akikutana na mamaake,mama mkwe wangu anaulizwa mbona umevaa hivi anamjibu mume wangu yule pale hajalalamika.Tafuta ambaye unataka ajifunike huyo muache mkuu!
 
Wewe ndo mume sasa wengine mafurushi
 
Back
Top Bottom