Chadema wamejifunza nini kwa CUF?

Chadema wamejifunza nini kwa CUF?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,666
Reaction score
15,034
Lipumba aliondoka mwenyewe Cuf, baadae akarudi kwa nguvu kubwa na kupewa cuf na hatimae maalim akafukuzwa cuf. Kosa la cuf ya maalim ya kutomfukuza Lipumba pale pale alipoondoka tu na kukimbilia Rwanda

Chadema wamejifunza nini?
Kambaya ndani ya chadema hayumo?
Let us wait and see; time will tell.
 
Back
Top Bottom