Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,488
- 2,622
....ondoa hiyo 'kama'.,sema mtashikilia msimamo wenu!..Kwahiyo unatushauri tuwe kama Bunge Butu na Mahakama Kibogoyo ili ajiskie always Right.
Huyo Mungu uliemuomba ambariki huyo mvunja katiba ungeanza kwa herufi ndogo jina lake isomeke 'mungu' na sio "Mungu"
Tena tuliosema atakua one term president tulikosea hata term moja hatamaliza kama tutashikilia msimamo wetu Septemba mosi na tunaweza kuigeuza ajenda ikawa ya kumng'oa ikulu.
He should be careful of what he wish for!
..si huwaga mnajinasibu hata Mandela alikaa jela zaidi ya miongo miwili,nendeni sasa to that extreme end KAMA kweli mna dhamira ya dhati ya ukombozi kwa wananchi maskini!
....tena na nyie viongozi viongozi muwe frontline.,sio mnatoa matamko tu huku nyie mnapigwa na viyoyozi!