Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Kwahiyo unatushauri tuwe kama Bunge Butu na Mahakama Kibogoyo ili ajiskie always Right.

Huyo Mungu uliemuomba ambariki huyo mvunja katiba ungeanza kwa herufi ndogo jina lake isomeke 'mungu' na sio "Mungu"


Tena tuliosema atakua one term president tulikosea hata term moja hatamaliza kama tutashikilia msimamo wetu Septemba mosi na tunaweza kuigeuza ajenda ikawa ya kumng'oa ikulu.

He should be careful of what he wish for!

KUMBE MH RAIS ANAAHAKI KUKATAA MAANDAMANO NCHI MAANDAMO NCHI NZIMA KUMBE LENGO NI KUFANYA MAPINDUZI BADALA YA KUELEZEA MAPUNGUFU YA SERIKALI ILI YAREHEKEBISHWE...NADHANI VYOMBO VYA USALAMA VIANZE NA WEWE BEN SAANANE KWA KUTAKA KUTUMIA MAANDAMANO KUIPINDUA SERIKALA HALALI. KILA SIKU KWENYE KIKAO WEWE BEN SAANANE TUNABISHANA NA KUPISHANA JUU YA NIA HASA YA MAANDAMANO.HATUTAFANIKIWA KWA KUENDESHA VURUNGU NCHINI.
 
Pasco, Hizo sababu zako zote ndizo zinazofanya Chadema waseme kuwa inatosha. Tuweke ukuta ili Katiba isiendelee kuvunjwa na udikteta usiendelee kushamiri. Inatosha. Lazima kuwe na utawala wa sheria sasa. Inatosha. Lazima mihimili yote iwe sawa! Lazima wazalendo wa kweli wapinge hayo kwa nguvu bila woga! Namuunga mkono Magufuli kwa nia yake njema, lakini Chadema nao wana hoja!!!
 
Rais Magufuli na Uvunjaji wa Katiba.
Tuambiane ukweli, tangu rais Magufuli ameingia madarakani, sio mara moja au mbili amekuwa akitoa kauli tata, zinazokwenda kinyume cha katiba, mhimili wa Bunge na Mahakama ilipaswa kuingilia kati kwa kumcheck mkuu wa the executive, lakini vyombo hivyo vimekaa kimya


Nimesoma yote.

Ila kipengele hicho nimejikuta nakirudiarudia kukisoma mara kadhaa, hata sijui kwanini nimefanya hivyo...
 
Kwahiyo unatushauri tuwe kama Bunge Butu na Mahakama Kibogoyo ili ajiskie always Right.

Huyo Mungu uliemuomba ambariki huyo mvunja katiba ungeanza kwa herufi ndogo jina lake isomeke 'mungu' na sio "Mungu"


Tena tuliosema atakua one term president tulikosea hata term moja hatamaliza kama tutashikilia msimamo wetu Septemba mosi na tunaweza kuigeuza ajenda ikawa ya kumng'oa ikulu.

He should be careful of what he wish for!
 
Unajua kwa tanzania elimu ya siasa na uraia kuna mapungufu sana........
Kiukweli wapinzani pamoja na serikali wote wanamaeneo wanakosea pia wanapatia.........
Nikianza na wapinzani........hawa mlengo wa hoja zao zimekaa kukosoa serikali sio kwa lengo la kuijenga bali kuiharibia ili nao wapate ridhaa ya wananchi katika kuliongoza taifa.....hili si jambo zuri hata kidogo.......huu ni usanii kabisa....

Nitawapa mfano wa inshu ya sukari.........wabunge wengi wa upinzani walichachamaa sana kwa kuwaambia wananchi kuwa serikali haiwatakii mema kwa kuzia uagizaji wa sukari usio fuata taratibu za kisheria za biashara katika manunuzi........nakumbuka walituhadaa wananchi kuwa sukari haitokuja kushuka maana serikali inakosea......leo hapa mimi nipo kilimanjaro nimetoka kununua sukari kilo 1800. Tokea ilipokuwa 3000. Sasa najiuliza huwa wapinzani wakiongea wanatumia taarifa za wapi.......maana ni kama wanapotosha uma.........mimi naona ni kama wanaweka jitihada nyingi kubeza jitihada zinazofanywa na kupotosha uma wa watanzania.......na asilimia kubwa ya watanzania si wafuatiliahi huwa wanajiridhisha na story za kusadikika ama za mtaani au post za facebook ambazo huwa wanaozipost hawajulikani ni akina nani plus wanamalengo gani.......

Swala la elimu......wanabeza sana maamuzi ya kuweka vigezo ambavyo vitarejesha thamani ya elimu sio kama sasa kila mtu anadegree uchwara halafu uwezo zero kazi kupiga domo tu.....wapinzani wanakazana kuropoka tu ili wapate hii popularity kama ya akina wema na diamond kwa kuropoka.......

Me nasema mh.raisi yupo sahihi kukataza hizi kelele zisizo na tija yeyote ........hawa wapinzani si muda wote.wapo sahihi......wanayohaki ya kuikanya......kuirekebisha na kuikosoa serikali.......ila sio kwa staili hii wanavyofanya ya kuibeza na kuikejeli badala ya kuishauri.............wapinzani hawaongei jipya kazi yao ni kubeza .Unapomkosoa mtu......toa suggestion ......au wazo mbadala ila sio unangojea mwenzako akosee ndipo povu likutoke........tena unatoa kauli za kuhatarisha amani na usalama wa raia........

serikali ni kweli inakosea kuwazuia wapinzani kuongea na uma lakini ni kwasababu wamegundua mnaitumia fursa hiyo kuongea vijembe.....na kukejeli serikali ndio maana wanawabana kwa kila namna .......hata ningekuwa mimi nisingeruhusu mtu ambaye hauna ridhaa ya kuendesha nchi uongee maneno ya uchochezi badala ya kutoa ushauri.......hii kitu alishaifanyaga mbatia mara moja tu......aliishauri serikali kuhusu kuhamisha maofisi yao maeneo ya posta na kuyasambaza maeneo mengine ili kupunguza msongamano wa foleni za magari asubuhi watu wanapokwenda makazini maana msongamano huu unaitia serikali hasara kila siku ya mabilioni......na ndio maana kikwete akamkubali sana akampa nafasi ubunge viti maalumu.........mrema huyo hapo amepewa nafasi anashirikiana na serikali......huo ndio upinzani wa ukweli unatakiwa kuwa sio hawa wakina zitto wanakwenda kusoma vitabu na notes za shule wanakuja kutuletea theory za utabiri hapa.....wanaboa sana......
Mchumi tumbo.....
 
SIYO KUMSIKIA ILA NDO TULICHOAMUA KIKAONI.
Mnaogopa nini kuandamana , mbona mimi tayari naandamana kwenye mtandao!
254481.jpg
 
Nasita kukuamini maana sikujui....

KAWAIDA UNAFANYA MAANDAMANO KABLA YA KUFIKA ENEO LA KUHUTUBIA.KWENYE KIKAO TULIBIASHANA NJISI YA KUMAGE PROCESS..JE WATU WAENDE KWENYE ENEO LA MIKUTANO BIAL KUFANYA MAANDAMANO AU WATU WAFANYE MAANDAMANO KWENDA KWENYE ENEO LA MKUTANO.WENGI WAKASEMA TUKIFANYA MAANADAMANO NA VYOMBO VYA HABARI VIKIWA VINGI NDO TUTAIBOMOA SERIKALI NA CCM KWANI KUANDAMANA KUNAAMSHA HAMASA.
 
It never occurred to me that Pasco is a coward! He's scared of being gassed or sprayed with that pepper water. He's afraid of dying as if he thinks everybody'll live for lever. You were born once and there's a day you'll die.

Tumechoka kudanganywa kama watoto wadogo, huyu mkakonko hawezi kutupelekesha hivi bila kuhojiwa. Yeye anasema hapa kazi tu (kazi zenyewe ziko wapi) sisi tunasema tuko ngagari (cuf) na tutapambana hadi kieleweke (cdm).

Magufuli sio mungu na hawezi kukomesha rushwa wakati anawalinda wezi wa Epa, Kiwira Coal Mines, Tegeta Escrow na huko kwenye vitalu vya gesi.

Tarehe 01 mwezi wa tisa mwaka 2016 operation UKUTA lazima itikise Tanzania. HERI KUFA WENGI ILI WATAOBAKI WAPATE MAISHA BORA
 
Ajaribu kufanya kwani na yeye atafanywa tu!!

The world is watching......na Tanzania ni sawa na tone la maji katikati ya maji ya bahari!!

I hope, umenipata.....n
Haki ya kwenda chooni ni haki ya msingi, darasani mwanafunzi akimtaarifu mwalimu mwenye dhamana kuwa anahitaji kwenda chooni akamkatalia kwa ubabe kisha akajisaidia kwenye nguo naye akamuadhibu na kumuumiza lazima atachukuliwa hatua..
Mikutano ipo kisheria, kuizuia kwa mdomo kibabe haikubaliki. Yeye atume tuu hao askari wake waue watu halafu tuone kama atapona.
Nimegundua hao wanao msapoti hawampendi, wanataka aishie pabaya kama viongozi wengine Afrika walio ishia Uholanzi.
Anashindwa nini kubadili kwanza sheria wakati anao wabunge wengi wa kusema ndiyo na sheria ikabadilika?
Tanzania ni sehemu ya dunia na inaangalia tuu nini kitatokea watie timu hapa. Asituharibie nchi bwana
 
It never occurred to me that Pasco is a coward! He's scared of being gassed or sprayed with that pepper water. He's afraid of dying as if he thinks everybody'll live for lever. You were born once and there's a day you'll die.

Tumechoka kudanganywa kama watoto wadogo, huyu mkakonko hawezi kutupelekesha hivi bila kuhojiwa. Yeye anasema hapa kazi tu (kazi zenyewe ziko wapi) sisi tunasema tuko ngagari (cuf) na tutapambana hadi kieleweke (cdm).

Magufuli sio mungu na hawezi kuvaa na hana uzuri wowote wa kukomesha rushwa wakati anawalinda wezi wa Epa, Kiwira Coal Mines, Tegeta Escrow na huko kwenye vitalu vya gesi.

Tarehe 01 mwezi wa tisa mwaka 2016 operation UKUTA lazima itikise Tanzania. HERI KUFA WENGI ILI WATAOBAKI WAPATE MAISHA BORA
Great words....


Mm nilizani IPTL ingetaifishwa na serekali kama bunge lilivyo adhimia....

Mm nilizan waliochukuwa Mapesa ya escrow thru Stanbank kwa marumbesa wangekuwa Jela sasahivi...lakin wapi?
 
Uzuri wa kitu ninachopenda kwa Magufuli....atafanya anachokisema,hana msalia mtume kwa vichwa maji na wenye viburi na alishasema ana mkataba wa miaka mitano na wananchi wake tu basi.....sasa nyie Warombo mnataka mkaandamane kahama huku majimbo yenu yako salama tu
Hebu nisaidie hivi kwenye Bajeti ya Mwaka huu 18% anatakiwa ailipe nani kwenye miamala ya Pesa
 
Lmza tumuadabishe inchi hii inaongozwa kwa sheria na ktba huwezi kuwaongoza watu wote milioni 40 ww peke yako bila msaada wa watu kutoka nje nchi hii ni kubwa kwan watu wakifanya siasa yy anazurika na nn au anapungukiwa na nini hv kuna tatzo gn watu wameenda kufanya mkutano wao police wakawa wanalinda na baada ya mkutano wakaondoka kwa mfano hapo nn utakua umepoteza vt vingine sio lazima utumie akili kubwa
 
Back
Top Bottom