kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 2,303
- 2,767
wewe acha kutetea ushoga uliohalalishwa na papa mimi mwenyewe nimeshahama ukatoliki kabisa!!!,,,,,,papa kasema wazi"makasisi wanaruhusiwa kubariki ndoa za jinsia moja".......................okoa ROHO yako wewe jamaa,,,ukifa ukatoliki haukupeleki mbinguni mazee!!Roman Catholic Church haifanyi kazi kwa taharifa za vijiweni
Msimamo wa Kanisa na Papa uko wazi
Kazi ya Kanisa ni kuwaombea mashoga wabadilike hiyo habari ya kubariki ndoa za mazhoga waachie BBC na Anglican Church huko Uingereza
Kwa tabia mnazotuonyesha humu ndani za kutukana watu na kushabikia mauaji kwa jina la mungu wenu hiyo dini yako hatuitaki ni bora ya ushogaMnaletewa ugaidi wa imani mnatakiwa muamke
Kwenye uislam hakuna huu upuuzi karibuni sana hamjachelewa
du!! mzungu anakata mauno kama saida karoli!!
HE!!! "bora ushoga!!!".....wewe lazima utakuwa PUNGA!!Kwa tabia mnazotuonyesha humu ndani za kutukana watu na kushabikia mauaji kwa jina la mungu wenu hiyo dini yako hatuitaki ni bora ya ushoga
Ugaidi na ushogadu!! mzungu anakata mauno kama saida karoli!!
HE!!! "bora ushoga!!!".....wewe lazima utakuwa PUNGA!!
Alietengeneza MPIRA hajawahi kuwa mchezaji nguri kama aliowatengenezea.
Kwahio anavyotaka Sasa hivi uwe SHOGA unahisi sasa hivi ndo anakwambia kitu cha ukweli na sahihi kukifanya na kwamba kuhusu mambo ya dini yalikua n uongo.
Huu ni upotoshaji wa BBC. Kanisa katoliki halijabadili kitu chochote kwenye ufungaji wa ndoaMababa,
Huu ni ushauri mdogo kwenu maana naamini mmejaa hekima na elimu ya kutosha kufahamu kinachoendelea. Ombi langu kwenu ni moja tu!
Msitoke kutetea hiyo document iliyotolewa na Vatican bali simamieni mafundisho ya Kanisa tuliyopokea ama kwa maandishi au kwa mapokeo kama anavyosema mtume Paulo.
Ni vizuri kuongea kuliko kukaa kimya huku waamini wakiwa kwenye mtanziko wa yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao.
Kwa waamini wenzangu, kama huwezi kuipata na kuisoma mwenyewe hiyo document usitoe maoni yoyote kwa kupitia taarifa pekee za vyombo vya habari.
Hatari zaidi ni kuwasikiliza watu ambao hawalijui Kanisa, hawajui mafundisho ya Kanisa na wengine wamejaa chuki hata kabla ya taarifa kama hizi.
Uhai wa Kanisa upo mikononi mwa Kristo na yeye mwenyewe alishatuhakikishia Kanisa halitoshindwa. Let's watch and pray
Huu ni upotoshaji wa BBC. Kanisa katoliki halijabadili kitu chochote kwenye Sheria ya ufungaji wa ndoaKwisha habari yenu
Yaani mnauona uchoko na usagaji kama vile jambo jema
Mmepotea na kupotoka hampo kwenye njia sahihi mnatakiwa mujitathmini
Kumbe ni mzungu huyo?du!! mzungu anakata mauno kama saida karoli!!
HE!!! "bora ushoga!!!".....wewe lazima utakuwa PUNGA!!
Hii quote ni fake. Si kawaida ya viongozi wa China kukosoa kijumla hivi watu au mataifa yasiyo na uadui na China. Especially Afrika. Hii ni propaganda ya “Africanists”. Walishatoa nukuu nyingine fake ya mwelekeo huu ikidaiwa kuwa ya Kim Jong Un.
Al-Qaeda? Al-Shabab?? IS?Mnaletewa ugaidi wa imani mnatakiwa muamke
Kwenye uislam hakuna huu upuuzi karibuni sana hamjachelewa
Hii quote ni fake. Si kawaida ya viongozi wa China kukosoa kijumla hivi watu au mataifa yasiyo na uadui na China. Especially Afrika. Hii ni propaganda ya “Africanists”. Walishatoa nukuu nyingine fake ya mwelekeo huu ikidaiwa kuwa ya Kim Jong Un.
Kinachojulikana ni Xi kuitahadharisha jamii ya Wachina kuhusu athari za dini za kigeni kwa mustakabali wa taifa lao.
Nukuu ni fake SI kwa sababu nilizoandika bali hiyo ni FACT. Xi hakuwahi kusema hayo. Hii ni lazima ijulikane, hata kama maneno yaliyomo yana maana.1. Daaah! Kwamba nukuu ni fake na sababu zako ndizo hizo? Madogo yana nafuu.
2. Tuachane mnukuuliwa, ziko points 5 pale hudhani kuwa zinatuhusu?
Hudhani badala ya kujadili watu tungejadili hoja hizo?
Mjanja M1 huwa ana namna yake pendwa ya hukitomisha. Mkuu ikikupendeza tafadhali: "kazi kweli kweli."
Nukuu ni fake SI kwa sababu nilizoandika bali hiyo ni FACT. Xi hakuwahi kusema hayo. Hii ni lazima ijulikane, hata kama maneno yaliyomo yana maana.
Yaliyomo kwenye nukuu ni hoja fikirishi zinazoweza kujadiliwa ingawa baadhi hazijaandikwa kistaarabu kumvutia mlengwa kujadili. Km “… stupidity of the black people…”. Hiyo siyo kauli ya kumvutia mlengwa. Na ninavyofahamu diplomatic etiquette ya Wachina, si rahisi kwa mtu kama Xi kupayuka hivyo kuhusu watu weusi. The quote is fake - as a matter of fact.
Rais wa China kamaliza kila kitu.
Walikua wenzenu wanasema hivyo, leo wanaulizwa "ulisema Fulani ampe mwanae sumu, leo wee je hizo sumu duniani zimekwishaa"Binafsi mwanangu akiwa shoga huyo ni marehemu kwanjia yoyote.
Pumba tupu...Huu ni upotoshaji wa BBC. Kanisa katoliki halijabadili kitu chochote kwenye ufungaji wa ndoa
Ndoa ya katoliki imeshikilia pale pale kwamba Mwanaume atamuacha baba yake na mama yake Naye wataambatana na MKEWE nao watakua mwili mmoja. MWANZO 2:24, MATHAYO 19:5
Kumbuken
Huu ni upotoshaji wa BBC. Kanisa katoliki halijabadili kitu chochote kwenye Sheria ya ufungaji wa ndoa
Ndoa ya katoliki imeshikilia pale pale kwamba Mwanaume atamuacha baba yake na mama yake Naye wataambatana na MKEWE nao watakua mwili mmoja. MWANZO 2:24, MATHAYO 19:5 Na kamwe kanisa halitokaa ligeuze hili andiko.
Kumbuken kwamba waandishi wa BBC Ni uingereza na Uingereza ni ANGLICAN. kwahiyo tunapo letewa taarifa sio sawa na kile kilicho semwa. Na Hawa ANGLICANS walishakubali huu upuuzi\UCHAFU. sasa wana FORCE dunia iamini na CATHOLIC wamo.
YESU aliwaita WAANDISHI wa habari wanafki kwasababu kama hizi ZA UPOTOSHAJI
SOMA MATHAYO 23:15 Usiache kusoma
Pia Embu tafuteni tofauti kati ya Blessing and Marriage KWANZA
WEZI, MATEJA, MALAYA MASHOGA wote tupo nao kwenye jamii na wanaenda kuombewa hadi kwa MWAMPOSA na Kwa manabii wengine na Misikitini pia wapo maana huwezi mjua kwa macho
Lakin mwamposa au hao wachungaji au mashehe hawawezi Jua wamebariki watu waaina gani
PROPAGANDA ZA BBC ZISIWACHANGANYE.
MISIMAMO YA KANISA IPO PALEPALE KWENYE SUALA LA MARRIAGE\DOA
KabisaaaaHakuna ujanja ujanja kwenye uislamu hapo ndipo nawasifu kwasababu A huwa inatamkwa A na haibadiliki
wanamchezesha yesu sindimba baada ya tangazo la papa.