Papa he's old enough, nimeona mahali ana prefer pa kumzika, yaweza kuwa maamuzi yake ya sasa ni msukumo wa wasaidizi wake wa karibu.
mimi nlikuwa mkatoliki,lakini tamgu papa aongee ule ushetani,,,nahamia sabatoMababa,
Huu ni ushauri mdogo kwenu maana naamini mmejaa hekima na elimu ya kutosha kufahamu kinachoendelea. Ombi langu kwenu ni moja tu!
Msitoke kutetea hiyo document iliyotolewa na Vatican bali simamieni mafundisho ya Kanisa tuliyopokea ama kwa maandishi au kwa mapokeo kama anavyosema mtume Paulo.
Ni vizuri kuongea kuliko kukaa kimya huku waamini wakiwa kwenye mtanziko wa yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao.
Kwa waamini wenzangu, kama huwezi kuipata na kuisoma mwenyewe hiyo document usitoe maoni yoyote kwa kupitia taarifa pekee za vyombo vya habari.
Hatari zaidi ni kuwasikiliza watu ambao hawalijui Kanisa, hawajui mafundisho ya Kanisa na wengine wamejaa chuki hata kabla ya taarifa kama hizi.
Uhai wa Kanisa upo mikononi mwa Kristo na yeye mwenyewe alishatuhakikishia Kanisa halitoshindwa. Let's watch and pray [emoji120]
Weka hiyo document kwanza tuione mkuu.Mababa,

eti unamkamata mwanaume mwenzako, na midevu yake na matako yaliyojaa sugu alafu unamfira!!!!! kweli??????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UPUUZI wenye PHDTukisema dini ni utapeli watu hawaelewi. Mungu ama kitu kinachoitwa Mungu hakipo.
Common sense tu inakataa kwamba mwanaume hawezi kumuoa mwanaume mwenzake akawa anamto.mba na bado eti 'mungu' akabariki.
Achaneni na dini, ni utapeli.
Anti-Catholicism.Mababa,
Huu ni ushauri mdogo kwenu maana naamini mmejaa hekima na elimu ya kutosha kufahamu kinachoendelea. Ombi langu kwenu ni moja tu!
Msitoke kutetea hiyo document iliyotolewa na Vatican bali simamieni mafundisho ya Kanisa tuliyopokea ama kwa maandishi au kwa mapokeo kama anavyosema mtume Paulo.
Ni vizuri kuongea kuliko kukaa kimya huku waamini wakiwa kwenye mtanziko wa yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao.
Kwa waamini wenzangu, kama huwezi kuipata na kuisoma mwenyewe hiyo document usitoe maoni yoyote kwa kupitia taarifa pekee za vyombo vya habari.
Hatari zaidi ni kuwasikiliza watu ambao hawalijui Kanisa, hawajui mafundisho ya Kanisa na wengine wamejaa chuki hata kabla ya taarifa kama hizi.
Uhai wa Kanisa upo mikononi mwa Kristo na yeye mwenyewe alishatuhakikishia Kanisa halitoshindwa. Let's watch and pray [emoji120]
Ni kweli kabisa,wale wenye mihemko tunawaangalia tuu.Mkuu siungi mkono wala kukubaliana na habari ya ushoga, ila twende kwenye uhalisia, hatuombei iwe hivyo na Mungu aepushilie mbali lakini ndio tuseme imetokea mwanao amekuwa shoga, utatumia approach gani kuliendea swala hili!
Mkuu hii changamoto ya ushoga ni kama ilivyo kuwa janga la Ukimwi miaka ya 90. Ukimwi sasa hivi sio habari ya kutisha kama mwanzo! Tuwe na Akiba ya maneno!
naona mnaanza kujitokeza waziwazi wazee wa tigoNi kweli kabisa,wale wenye mihemko tunawaangalia tuu.