Ushauri kwa ACT na pongezi kwa CHADEMA

Ushauri kwa ACT na pongezi kwa CHADEMA

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,602
Reaction score
3,781
Mimi binafsi sikatai kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa ila kwa mtindo huu unaanzisha chama kwa hasira, sidhan kama patakuwa na muda wa kujenga chama bali ni kumkomoa yule uliyegombana nae,na huo si upinzan, upinzani ni sera hata kama ni za uongo lakin lengo ni kuleta chachu ya maendeleo,kwa uelewa wangu kuanzisha chama si kazi bali kazi ni kukijenga,mfano ccj kilijifia chenyewe bila kuuwawa na mtu yeyote.

Ushauri wangu ni heri ACT wangerudi chadema waombe radhi tusonge mbele na kujenga upinzani imara au muende ccm tu tujue moja maana mikutano yao mingi inafadhiliwa na ccm sasa hapo kuna upinzani?pia niwapongeze chadema kwa kutufumbua macho watz,na kwa uthubutu wa kutimua anayekwenda kinyume na chama,na kwa misimamo yenu hata kama chadema itakwisha{siombei} hadi hapo mmetusaidia hata chadema wanapokosea na wao ni binadam penye ukweli lazima tuseme. Hongereni chadema muwe na mshikamano mpaka kieleweke.
 
Mimi binafsi sikatai kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa ila kwa mtindo huu unaanzisha chama kwa hasira,
sidhan kama patakuwa na muda wa kujenga chama bali ni kumkomoa yule uliyegombana nae,na huo si upinzan,
upinzani ni sera hata kama ni za uongo lakin lengo ni kuleta chachu ya maendeleo,kwa uelewa wangu kuanzisha chama
si kazi bali kazi ni kukijenga,mfano ccj kilijifia chenyewe bila kuuwawa na mtu yeyote,ushauri wangu ni heri ACT wangerudi chadema waombe radhi tusonge mbele na kujenga upinzani imara au muende ccm tu tujue moja maana
mikutano yao mingi inafadhiliwa na ccm sasa hapo kuna upinzani?pia niwapongeze chadema kwa kutufumbua macho
watz,na kwa uthubutu wa kutimua anayekwenda kinyume na chama,na kwa misimamo yenu hata kama chadema
itakwisha{siombei} hadi hapo mmetusaidia hata chadema wanapokosea na wao ni binadam penye ukweli lazima tuseme.
Hongereni chadema muwe na mshikamano mpaka kieleweke.

Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
 
Wewe si msomi bana sasa hapo hilo swali lako halihitajiki kilichokuwa kinahitajika ni kujibu kile kilkichoandikwa yaani kuanzisha chama cha Upinzani kwa hasira tu kwa kuwa mmefukuzwa Chadema wasomi wengine bana lol hawa wasomi wa Tanganyika wanatupa maswali mengi bila ya majibu yaani walivyopata usomi wao.Jibu swali jakhee
 
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?

Kitila heshima kwako kaka, chama chenu kimejipambanua vizuri na tunawaombea muendelee vema. Ila napenda nikuulize, hivi ni lini nchi hii uandishi na mipango mingi mizuri imewahi kuwa tatizo. Tatizo la nchi ni utekelezaji wa mipango hiyo. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa linaonekana kujikita hata kwenye chama chenu chenye mtazamo mbadala. Ukijaribu kuangalia wengi wa wanachama wenu wanaimba misingi yenu kumi mdomono, lakini utekelezaji ni kama wanajisemea cdm watatutambua. Ni vyema mkawafunda wanachama wenu siasa za majitaka zitawapunguzia imani mnayotaka kuijenga kwa umma. Hamtakuwa na tofauti na wale wanaosema tumetengeneza katiba bora eti tu kisa imewaudhi wapinzani. Kwa elimu na uelewa wako jitahidi kurekebisha pungufu hilo vinginevyo itakuwa kama signature ya mwajf mmoja isemayo" sisi miafrika ndivyo tulivyo"
 
Mimi binafsi sikatai kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa ila kwa mtindo huu unaanzisha chama kwa hasira, sidhan kama patakuwa na muda wa kujenga chama bali ni kumkomoa yule uliyegombana nae,na huo si upinzan, upinzani ni sera hata kama ni za uongo lakin lengo ni kuleta chachu ya maendeleo,kwa uelewa wangu kuanzisha chama si kazi bali kazi ni kukijenga,mfano ccj kilijifia chenyewe bila kuuwawa na mtu yeyote.

Ushauri wangu ni heri ACT wangerudi chadema waombe radhi tusonge mbele na kujenga upinzani imara au muende ccm tu tujue moja maana mikutano yao mingi inafadhiliwa na ccm sasa hapo kuna upinzani?pia niwapongeze chadema kwa kutufumbua macho watz,na kwa uthubutu wa kutimua anayekwenda kinyume na chama,na kwa misimamo yenu hata kama chadema itakwisha{siombei} hadi hapo mmetusaidia hata chadema wanapokosea na wao ni binadam penye ukweli lazima tuseme. Hongereni chadema muwe na mshikamano mpaka kieleweke.

katika Paragraph ya kwanza ulikuwa na HOJA bahati mbaya sana umeiua hoja yako kwa paragraph ya PILI kwa kuingiza maneno yasiyokuwa na ushahidi.

1. Unajua kuwa Edwin Mtei Muasisi wa CHADEMA aliwahi kuwa mwanachama wa TANU na Miongoni mwa wanachama waanzilishi wa CCM mwaka wa 1977. Ni Nini kilimuondoa CCM na kuunda CHADEMA? Historia inaonyesha kuwa Hakuna Chama cha Upinzani hapa Nchini ambacho kimeanzishwa na watu ambao hawajawahi kutoka kwenye chama kingine hapo kabla.

2. Unawatuhumu viongozi na wanachama wa AcT kuwa wanapokea ruzuku kutoka CCM, na Bado unasema warudi CHADEMA wakaombe radhi. Logically embu fikiria, kama unachosema ni kweli kuwa ACT wanapokea pesa kutoka CCM at the same time unawaambia warudi CHADEMA, wanaCHADEMA na uongozi wa CHADEMA utakuwa na Imani gani na watu wanaopokea pesa kutoka CCM? au wakirudi CHADEMA wataacha kupokea hizo pesa unazowatuhumu nazo?

3. Inawezekana unaonyesha hofu ya kuwa huenda strategically CHADEMA ikapoteza katika uchaguzi ujao kutokana na kugawana kura nyingi na ACT kwani kwa trend inayoonekana mpaka sasa wanaojiunga na ACT wengi ni wale waliokuwa wanachama wa CHADEMA, kitu ambacho ni kweli kabisa, wanachama hao ni wale ambao uongozi aidha wa Matawi au Jimbo au Wilaya umekuwa ukiwanyanyasa na kuwatuhumu kuwa ni wasaliti,. Hapa kimkakati ulipaswa kuwashauri CHADEMA kuacha mara moja Ajenda ya usaliti maana inakigawa chama na hata ikiwezekana CHADEMA itafute suruhu na wanachama iliowatimua kwa makosa ya kusingiziwa ili wakijenge CHAMA na kujiandaa kwa 2015.
 
Vita yetu ya sera ni dhidi ya ccm tu ,hivi vikundi vidogovidogo havitunyimi usingizi maana tunajua vinatumiwa na anayewatumia kama mipira ya kiume ya usiku,unaanzisha chama badalabya kupambana na adui wa nchi we unapambana na mpinzani mwezako inadhani jamii,inayojitambua itakuelewa?
 
Kitila heshima kwako kaka, chama chenu kimejipambanua vizuri na tunawaombea muendelee vema. Ila napenda nikuulize, hivi ni lini nchi hii uandishi na mipango mingi mizuri imewahi kuwa tatizo. Tatizo la nchi ni utekelezaji wa mipango hiyo. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa linaonekana kujikita hata kwenye chama chenu chenye mtazamo mbadala. Ukijaribu kuangalia wengi wa wanachama wenu wanaimba misingi yenu kumi mdomono, lakini utekelezaji ni kama wanajisemea cdm watatutambua. Ni vyema mkawafunda wanachama wenu siasa za majitaka zitawapunguzia imani mnayotaka kuijenga kwa umma. Hamtakuwa na tofauti na wale wanaosema tumetengeneza katiba bora eti tu kisa imewaudhi wapinzani. Kwa elimu na uelewa wako jitahidi kurekebisha pungufu hilo vinginevyo itakuwa kama signature ya mwajf mmoja isemayo" sisi miafrika ndivyo tulivyo"

Ahsante. Lakini ni vizuri ukawa muwazi zaidi ni kivipi wanachama wetu wanajisemea kwamba CDM watatutambua? Kama taasisi tuna itikadi, falsafa na misingi iliyo wazi kabisa na viongozi wetu wanatembea nayo hiyo. Vijana wetu wanafundishwa siasa za kujenga hoja kwa sababu hatuamini kabisa kwamba siasa ni mchezo mchafu. Kama chama kinachofuata falsafa ya unyerere tunakubaliana na kuzingatia siasa safi kama moja ya visababishi vya maendeleo. Tuache hisia.
 
Chadema ni wajinga sana, wanaamini wao ndio binadam peke yao na wao ndio wapinzani peke yao na wao ndio wana akili peke yao. Ni mazuzu matupu
 
Mkuu hii ni nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi. Mtanzania yeyote ana haki ya kuhama Chama au kuanzisha chama cha siasa kwa utaratibu uliowekwa na sheria za nchi. Haya mambo ya kusema waombe msamaha ili warudi CCM au waende CCM wanakopewa pesa( kwa mujibu wako) ni kama kuingilia uhuru wao. Mtu akiitwa Msaliti na ukamfukuza then unamuambia arudi kukuomba msamaha hapo sasa wewe uliyemfukuza inaonekana hujiamini kwa hatua ulizochukua... na sifikiri CDM kama Taaasisi wana mawazo kama yako!!. Waacheni wafanye wanachoona kinawafaa ili mradi hawavunji sheria za nchi.
 
Ahsante. Lakini ni vizuri ukawa muwazi zaidi ni kivipi wanachama wetu wanajisemea kwamba CDM watatutambua? Kama taasisi tuna itikadi, falsafa na misingi iliyo wazi kabisa na viongozi wetu wanatembea nayo hiyo. Vijana wetu wanafundishwa siasa za kujenga hoja kwa sababu hatuamini kabisa kwamba siasa ni mchezo mchafu. Kama chama kinachofuata falsafa ya unyerere tunakubaliana na kuzingatia siasa safi kama moja ya visababishi vya maendeleo. Tuache hisia.

Mlikimbiana hazarani na kukutana mafichoni.... Sasa mmeanza kukutana hazarani....... soma hapa alipoandika mwenzako ambapo mmekutana kwa gear ya Nyerere Day...

Nilikuwa nimeshika nafasi ya tatu darasani nyuma ya Ramadhan Kalukula na Haki Manyaga. Bibi Colleta alinishika mkono mpaka duka la Viatu, Bora Shoes na kuninunulia jozi yangu ya kwanza ya viatu. Viatu vile viliitwa Asante Salim, aliyekuwa Waziri Mkuu wa mwisho wa Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa anajaribu kubadili hali mbaya iliyokuwepo. Hivyo ndivyo nilivyopata viatu vyangu vya kwanza vya shule. Shukrani kwa sera nzuri ya ujamaa, mshikamano na upendo.

Hizo ni enzi.

Zitto Z. Kabwe

Chanzo: Zitto na Demokrasia
 
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?

Wewe kweli ni msaliti mkuu mzoefu. MMM.

Hujui kama CHADEMA ndio chama kikuu cha UPINZANI Tanzania?

Huo usomi wako danganya familia yako tu.

Unamponza Zitto. Umemfanya kawa mnyonge na hana mvuto tena.

Hujui kosa? Upinzani ni CHADEMA.
 
Mkuu hii ni nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi. Mtanzania yeyote ana haki ya kuhama Chama au kuanzisha chama cha siasa kwa utaratibu uliowekwa na sheria za nchi. Haya mambo ya kusema waombe msamaha ili warudi CCM au waende CCM wanakopewa pesa( kwa mujibu wako) ni kama kuingilia uhuru wao. Mtu akiitwa Msaliti na ukamfukuza then unamuambia arudi kukuomba msamaha hapo sasa wewe uliyemfukuza inaonekana hujiamini kwa hatua ulizochukua... na sifikiri CDM kama Taaasisi wana mawazo kama yako!!. Waacheni wafanye wanachoona kinawafaa ili mradi hawavunji sheria za nchi.

Hao ni wanafiki wanarudisha maendeleo nyuma, waseme kama ni moto ama baridi.

Siyo unafiki wa kujifanya wanaupinzani kazi wanazoyanya ni kubeba chama tawala.

USA kuna vyama vingapi?

Wameambiwa waingie kati ya vyma hivi vikubwa ccm ana Chadema siyo huo UNAFIKI
 
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?

Ni lazime mtambue kwamba priority ya watanzania ni kuiondoa CCM Madarakani, hizo mbwembwe za vyama kuwa na itikadi tofauti hatuzihitaji muda huu.
 
Hivi kitila bado una matumaini kuwa mtafika popote ni hiyo ACT labda muache kufadhiliwa na CCM vinginevyo mtatumika kwa muda tu na watanzania wataendela kuwapuuza tu.
 
Ahsante. Lakini ni vizuri ukawa muwazi zaidi ni kivipi wanachama wetu wanajisemea kwamba CDM watatutambua? Kama taasisi tuna itikadi, falsafa na misingi iliyo wazi kabisa na viongozi wetu wanatembea nayo hiyo. Vijana wetu wanafundishwa siasa za kujenga hoja kwa sababu hatuamini kabisa kwamba siasa ni mchezo mchafu. Kama chama kinachofuata falsafa ya unyerere tunakubaliana na kuzingatia siasa safi kama moja ya visababishi vya maendeleo. Tuache hisia.

Narudia tena, Siasa safi za nyakati hizi ni zile zinazojielekeza kuiondoa CCM madarakani na sio zinazoisaidia kuning'inia madarakani.
 
Back
Top Bottom