Ushauri kwa ACT na pongezi kwa CHADEMA

Ushauri kwa ACT na pongezi kwa CHADEMA

kinyesi.
kwanini sasa mnajipendekeza kwa CUF na NCCR? juzi mmewaita ccm B mara sisimizi leo hii mnawapigia maguti. hamuoni hata aibu? nyie ni wapumbavu tu.

Wewe kweli ni msaliti mkuu mzoefu. MMM.

Hujui kama CHADEMA ndio chama kikuu cha UPINZANI Tanzania?

Huo usomi wako danganya familia yako tu.

Unamponza Zitto. Umemfanya kawa mnyonge na hana mvuto tena.

Hujui kosa? Upinzani ni CHADEMA.
 
Mimi binafsi sikatai kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa ila kwa mtindo huu unaanzisha chama kwa hasira, sidhan kama patakuwa na muda wa kujenga chama bali ni kumkomoa yule uliyegombana nae,na huo si upinzan, upinzani ni sera hata kama ni za uongo lakin lengo ni kuleta chachu ya maendeleo,kwa uelewa wangu kuanzisha chama si kazi bali kazi ni kukijenga,mfano ccj kilijifia chenyewe bila kuuwawa na mtu yeyote.

Ushauri wangu ni heri ACT wangerudi chadema waombe radhi tusonge mbele na kujenga upinzani imara au muende ccm tu tujue moja maana mikutano yao mingi inafadhiliwa na ccm sasa hapo kuna upinzani?pia niwapongeze chadema kwa kutufumbua macho watz,na kwa uthubutu wa kutimua anayekwenda kinyume na chama,na kwa misimamo yenu hata kama chadema itakwisha{siombei} hadi hapo mmetusaidia hata chadema wanapokosea na wao ni binadam penye ukweli lazima tuseme. Hongereni chadema muwe na mshikamano mpaka kieleweke.

Hivi ni chama gani chenye hati miliki ya kufanya siasa hapa nchini eitha kuwa chama tawala au chama/vyama vya upinzani?
 
kinyesi.
kwanini sasa mnajipendekeza kwa CUF na NCCR? juzi mmewaita ccm B mara sisimizi leo hii mnawapigia maguti. hamuoni hata aibu? nyie ni wapumbavu tu.

Mbona matusi ka mjamzito.

Umeamua kuja na IDs fake kutukana?

Siasa ni mkakati, usiwe unakariri.
Siasa huendana na wakati.

Msomi gani usielijua hili?
 
Hao ni wanafiki wanarudisha maendeleo nyuma, waseme kama ni moto ama baridi.

Siyo unafiki wa kujifanya wanaupinzani kazi wanazoyanya ni kubeba chama tawala.

USA kuna vyama vingapi?

Wameambiwa waingie kati ya vyma hivi vikubwa ccm ana Chadema siyo huo UNAFIKI

mkuu unataka ibaki chadema na ccm tu wakati chadema inakufa!
 
Hivi ni chama gani chenye hati miliki ya kufanya siasa hapa nchini eitha kuwa chama tawala au chama/vyama vya upinzani?
Multiple IDs hazitowasaidia,

Mnajijua na hivyo vyama vinajulikana.

Mnatumiaka kutucheleweshea ukombozi wa kweli wa taifa letu.

Tumikeni na mmeanza kwa hila mtaishia hapo hapo.
 
mkuu unataka ibaki chadema na ccm tu wakati chadema inakufa!

Kamaninakufa ndio unatakiwa kuifufua.

Kujionga na maccm kwabupande ama kuvaa kanzu ya upinzani maana yake nini?

Kama unaona CHADEMA inakufa ongeza nguvu,

Utakuwa wa maana kamaa ukisema maccm yanakufa tungekuelewa.

Mwandishi mchumia tumbo. Ongezeni IDs ziwasaidie kujitekenya na kujikuna.

Hamfiki popote. Wanafiki wasaliti wakubwa
 
Mbona haujengi hoja bali unaishia kulalama@Skillionare

Analalama aliesema kuna watu wanamfitinisha na Mbowe.

Could be you. Watch out jamaa analalama sana hata leo msiban kasema hana raha kuna watu wanamchonganisha.

Wewe ni mmoja wapo.
 
Mbona matusi ka mjamzito.

Umeamua kuja na IDs fake kutukana?

Siasa ni mkakati, usiwe unakariri.
Siasa huendana na wakati.

Msomi gani usielijua hili?
unamaanisha nini unaposema upinzani ni chadema?
 
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?

Lakini mwl wangu Mkumbo huoni kuanzisha taasisi unatakiwa kua na watu/nguvu kazi makini?Ndio wewe utashi wako kisiasa tunaujua,ila watu kama kina mchange na wapo wengi walioshindwa uchaguzi CDM wakakimbilia huko watasaidiaje safari ya chama kukua?na hamuoni wananchi watashindwa kuwaelewa mnapowaponda wapinzani wenzenu?sasa hizi ndio siasa safi kaka?
 
Prof. Kitila. Naomba kupewa majibu kwa mswali yangu machache. Katiba ndio msingi mzima wa kupata uongozi na utekelezaji wa sera mbali mbali za nchi. ACT kama chama cha siasa malengo yake makuu ni kushika wadhifa/dola,

Je katiba iliyopendekezwa itakiwezesha chama chenu kushika dola?
Kama Jibu ni ndio je ukipata wabunge ambao wote ni darasa la saba ama form iv, je baraza lako la mawaziri utaliundaje?
Kama jibu ni hapana kwa nini mmekaa kimya wakati wa mchakato wa BMK, na hata baada ya kupatikana kwa rasimu?

Kwa ukimya huo tukisema nyie ACT ni sehemu ya wale waliogeuza bunge kuwa disco mtakataa?

Tangu ACT imekua hai, ni jambo lipi mmelifanya kwa maslahi ya Jamii ambalo mnaweza sema bila ACT lisingewezekana?
 
Ahsante. Lakini ni vizuri ukawa muwazi zaidi ni kivipi wanachama wetu wanajisemea kwamba CDM watatutambua? Kama taasisi tuna itikadi, falsafa na misingi iliyo wazi kabisa na viongozi wetu wanatembea nayo hiyo. Vijana wetu wanafundishwa siasa za kujenga hoja kwa sababu hatuamini kabisa kwamba siasa ni mchezo mchafu. Kama chama kinachofuata falsafa ya unyerere tunakubaliana na kuzingatia siasa safi kama moja ya visababishi vya maendeleo. Tuache hisia.

Hongera sana prof. tuliuona uwezo wa kijana wenu Mchange alipohojiwa Star TV na JJ Mnyika. Kijana wenu hajijui kama yupo CDM, ACT au CCM. au bado hajahitimu mafunzo? Ludovic yule wa Mwigulu naye ni kijana wenu?
 
hili linamgusa hadi moyoni na hawezi kulijibu. MNAFIKI KWELI HUYU

Mdunya..., huyu jamaa namfahamu fika kwani tulikuwa naye Pond a.k.a kwa mzee wa shamba (PUGU High School) tukaingia naye udsm na harakati za kuwafunza adabu wa akina Suzane Lyimo, mama Bali, Prof. Mlama, Prof. Luhanga tulizifanya wote. Hapo tulikuwa tunapigania wanadaruso....sasa kaona anachelewa kuufikia ufalme kwa kusimamia ukweli, kaamua kufanya kama wazungu wanavyosema....IF YOU CAN NOT FIGHT THEM, JOIN THEM...
 
Hakuna aliyetoka upinzani akarudi CCM either Directly au Indirectly akadumu kisiasa! HEBU nitajieni unayemjue aliyekuwa upinzani akapata umaarufu halafu baadaye akahamia CCM na bado nji maarufu! USITEME BG kwa karanga za kuonjeshwa! Baada ya 2015 hakutakuwa na chama kinaitwa ACT, hao jamaa wana act tu their own political film kama jina la chama chao!
 
Back
Top Bottom