GODLOVEME
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,644
- 498
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Niliumia sana niliposikia Bwana huyu alienda CDM kwa lengo la kukivuruga Chadema through Zitto. Naumia sana kumwona Zitto ambaye alikubali kutumika kwenye sera za udini na ukabila zilizokuwa zinahasisiwa na CCM through the weak point Zitto kwa Hissani ya wachumia Tumbo Associate Prof Kitla mkumbo
kitila umekimbia au upo