Ushauri kwa ACT na pongezi kwa CHADEMA

Ushauri kwa ACT na pongezi kwa CHADEMA

Jambo lolote unalolifanya kwa hasira mwisho wake huwa hauna baraka!! Watanzania wa leo ni werevu mno - sidhani kama kuna chama chochote kilichopo ama kitakachoanzishwa ambacho hakitaipinga CCM kwa vitendo hadharani, chama cha namna hicho hakitakuwa nafasi kwa siasa za nchi hii.

Mpaka hapo kilipo chama hiki hakieleweki kama ni cha Upinzania ama ni cha kujaribu kudhoofisha upinzani, hasa kugawanya kura za wapinzani 2015 ili CCM ipete. Kuondoa dhana hii vichwani mwa watanzani itakuwa ni kazi ngumu mno, sababu ya matendo ya hawa makada wanayohubiri majukwaani.

Tujiulize ni kwa nini watanzania wanafurahia mno ujio wa UKAWA - jibu ni rahisi wanataka CCM iondoke madarakani haraka iwezekanavyo maana wameichoka. wanataka wapinzani wote waunganishe nguvu.

Sasa ipo wapi nafasi ya chama cha upinzani ambacho hakitaonyesha nia ya dhati ya kuunganisha nguvu pamoja na wapinzani wenzake ili kuishambulia CCM - badala yake kuanza kuvishambulia vyama vingine vya upinzani na kuiacha CCM ikitamba?

Kwa strategic plan hii, hiki chama hakifiki popote.
 
Hivi kitila bado una matumaini kuwa mtafika popote ni hiyo ACT labda muache kufadhiliwa na CCM vinginevyo mtatumika kwa muda tu na watanzania wataendela kuwapuuza tu.
hao wanapita tu
 
MKUMBO siasa za kubebwe zimepita wakati, utabebwa mpaka lini? unadhani uko sahihi kwenye mambo haya ili hali unakosea sana na unatumika vibaya; UKIONA MTU ANAUKATA UDSM ujue anatumiwa na watawala, tuliona wapinzani wa kweli wananyimwa mikataba mipya ile hali bado wanahitajika iwe wewe unapewa sifa na vyeo kila asubuhi???
 
Mimi binafsi sikatai kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa ila kwa mtindo huu unaanzisha chama kwa hasira, sidhan kama patakuwa na muda wa kujenga chama bali ni kumkomoa yule uliyegombana nae,na huo si upinzan, upinzani ni sera hata kama ni za uongo lakin lengo ni kuleta chachu ya maendeleo,kwa uelewa wangu kuanzisha chama si kazi bali kazi ni kukijenga,mfano ccj kilijifia chenyewe bila kuuwawa na mtu yeyote.

Ushauri wangu ni heri ACT wangerudi chadema waombe radhi tusonge mbele na kujenga upinzani imara au muende ccm tu tujue moja maana mikutano yao mingi inafadhiliwa na ccm sasa hapo kuna upinzani?pia niwapongeze chadema kwa kutufumbua macho watz,na kwa uthubutu wa kutimua anayekwenda kinyume na chama,na kwa misimamo yenu hata kama chadema itakwisha{siombei} hadi hapo mmetusaidia hata chadema wanapokosea na wao ni binadam penye ukweli lazima tuseme. Hongereni chadema muwe na mshikamano mpaka kieleweke.

Hivi sharti la kuwa mpinzani ni lazima uwe chadema? pia CHADEMA imebadilika nini hadi waliojitoa au kufukuzwa waombe kurud?

Nafikir ndio kwanza chadema inaning'inia na punde itaanguka. Kwa kulijua hilo ndio maana wakaazima damu kwa wafu wenzao, kwa kudhirisha ni div 5 hawajui kuwa haiwezekani kupata damu hai kwa maiti.

Lingine naomba ufahamu. ACT haijaanzishwa kwaajili ya kuishambulia CHADEMA au CCM. Bali ACT imeanzishwa ili kuleta mabadiliko chanya ktk maisha ya mtanzania na kupambana na vikwazo vya mabadiliko hayo.

Kama CCM au CHADEMA ndio vikwazo venyewe jua hilo si kosa la ACT bali ni kosa la kazi.

Njano5
 
Kitila Mkumbo wa kweli alikuwa Pugu High School na Rais wa Daruso.....huyu wa sasa ni mchumia tumbo tu. Kumbuka tulipofanikisha kukupatia Urais wa Daruso,tulikataa utawala usituingilie kwenye mambo yetu, ukalisimamia hilo, na kumbuka Jenerali Ulimwengu alitoa comments gani alipokuja UDSM na kukuona?....Leo umeamua kutumikia tumbo, haraka haraka umepewa na seneti Associate Professor, huna paper nyingi kama Dr.Manya lakini bado umekuwa Associate, Dr.Manya amekutangulia Udsm, lakini tayari wewe umekuwa Associate, wewe na Kasavubu mko kundi moja ...mnatumika na watawala.
 
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Mkuu, heshima kwako, naomba unifahamishe kitu kidogo, siku ile mlipofanya kongamano juu ya katiba mpya pale Nkrumah hall, kongamano ambalo lilihudhuliwa na vigogo wa CCM na kurushwa 'live' na TBC, ambapo wewe ulitoa mchango wako, na mwishowe mheshimiwa Lukuvi alipokuwa anafunga kongamano alikusifia sana kwamba wewe ni msomi mzuri halafu akakupa pole kwa yaliyokukuta i.e kufukuzwa uanachama CHADEMA... alikupa kazi ya kufanya utafiti juu ya wapinzani (UKAWA) kutaka serikali tatu... na kwamba kuna kitu kimejificha nyuma yao... niambie ndugu yangu umefikia hatua gani katika utafiti huo?
 
Hivi sharti la kuwa mpinzani ni lazima uwe chadema? pia CHADEMA imebadilika nini hadi waliojitoa au kufukuzwa waombe kurud?

Nafikir ndio kwanza chadema inaning'inia na punde itaanguka. Kwa kulijua hilo ndio maana wakaazima damu kwa wafu wenzao, kwa kudhirisha ni div 5 hawajui kuwa haiwezekani kupata damu hai kwa maiti.

Lingine naomba ufahamu. ACT haijaanzishwa kwaajili ya kuishambulia CHADEMA au CCM. Bali ACT imeanzishwa ili kuleta mabadiliko chanya ktk maisha ya mtanzania na kupambana na vikwazo vya mabadiliko hayo.

Kama CCM au CHADEMA ndio vikwazo venyewe jua hilo si kosa la ACT bali ni kosa la kazi.

Njano5
Dotto, mbona unajichanganya mwenyewe! soma hayo mandishi yako kwenye rangi nyekundu halafu linganisha na hayo kwenye blue...
 
Ahsante. Lakini ni vizuri ukawa muwazi zaidi ni kivipi wanachama wetu wanajisemea kwamba CDM watatutambua? Kama taasisi tuna itikadi, falsafa na misingi iliyo wazi kabisa na viongozi wetu wanatembea nayo hiyo. Vijana wetu wanafundishwa siasa za kujenga hoja kwa sababu hatuamini kabisa kwamba siasa ni mchezo mchafu. Kama chama kinachofuata falsafa ya unyerere tunakubaliana na kuzingatia siasa safi kama moja ya visababishi vya maendeleo. Tuache hisia.

kwenye kila mkutano wa ACT wao maneno na madongo yaoni yanaelekezwa kwa chadema tu,as if chadema ndio chama tawala.au nyie ACT vision yenu kuu ni kuwa chama pinzani sio chama tawala?
KITILA kila mkutano wa ACT wao wamekuwa ni kuiponda chadema tuu,kwani ccm hamuioni?..kazi ya chama pinzani ni kui keep on toes chama tawala sio kuwa na feud na fellow opposition parties.
 
Hivi sharti la kuwa mpinzani ni lazima uwe chadema? pia CHADEMA imebadilika nini hadi waliojitoa au kufukuzwa waombe kurud?

Nafikir ndio kwanza chadema inaning'inia na punde itaanguka. Kwa kulijua hilo ndio maana wakaazima damu kwa wafu wenzao, kwa kudhirisha ni div 5 hawajui kuwa haiwezekani kupata damu hai kwa maiti.
yaani wewe ndio hamnazo kabisa

Lingine naomba ufahamu. ACT haijaanzishwa kwaajili ya kuishambulia CHADEMA au CCM. Bali ACT imeanzishwa ili kuleta mabadiliko chanya ktk maisha ya mtanzania na kupambana na vikwazo vya mabadiliko hayo.

Kama CCM au CHADEMA ndio vikwazo venyewe jua hilo si kosa la ACT bali ni kosa la kazi.

Njano5

yaani wewe ndio hamnazo kabisaa,ebu cheki unavyotokwa na povu jingi mpaka unaonyesha kwenye andiko lako,,hivi wewe Div one au two yako imekufikisha wapi katika taifa hili,umeifanyia nini hili taifa hata ukitangulia mbele ya haki tubaki tunakukumbuka?
tafakari kwa makini before yapping kijana ,siasa za tambo za elimu majigambo ya DIV ulizopata shule hazina nafasi in modern politics,siku hizi hatuchagui elimu tunamchagua mtu ambaye ana capability ya ku deliver sio mtu anae brag brag mara DIV 5 mara DIV 1 kama wewe..hauna nafasi kwenyepolitico ya yale.
 
Ahsante. Lakini ni vizuri ukawa muwazi zaidi ni kivipi wanachama wetu wanajisemea kwamba CDM watatutambua? Kama taasisi tuna itikadi, falsafa na misingi iliyo wazi kabisa na viongozi wetu wanatembea nayo hiyo. Vijana wetu wanafundishwa siasa za kujenga hoja kwa sababu hatuamini kabisa kwamba siasa ni mchezo mchafu. Kama chama kinachofuata falsafa ya unyerere tunakubaliana na kuzingatia siasa safi kama moja ya visababishi vya maendeleo. Tuache hisia.

Profesa heshima kwako, Siasa ni mchezo mchafu ndo maana hata waliomo katika siasa nao ni wachafuu...
 
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?

Ama kweli amtegemeae mwanadam amelaaniwa,Ktk watu tuliowadhani wamekomaa kisiasa na wenye uwezo mkubwa ktk nyanja ya siasa ulikuwepo..mkumbo umejishusha mno..yaani km nchi hii %kubwa ya waalimu ni km wewe..ni dhahiri misingi ya kidemokrasia itaendelea kuwa hivi hivi Tz.
 
Hivi kwamini NCCR hawakuwashupali CUF walipotishia kuwa chama kikuu cha upinzani?

Hata CUF haikuwasakama chadema pale Mbowe aliposhirikiana na Rostsm Azizi kuihujumu CUF ili CCM kibaki madarakani.

Kwanini leo chadema wanafanya siasa za woga na kutokujiamini?

Mlitegemea kuwa mkiwafukuza wanachama wenu ungekuwa mwisho ws wao kufanya siasa?

ACT wanamalengi mazuri sana ya kuiondoa ccm Madarakani.

Hivyo inayohaki kupokea wanachama toka chama chochote cha siasa.

Mmezoea kuishi kwa uongo,sasa watanzanoa wameshawajua rangi yenu.

Endeleeni kumwunga mkono Lowassa kupitia Press release za mzee Ndesamburo,maana 2015 hamna Mgombea.

ACT endrleeni kijiimarisha,hiki ndio chama kitakacholeta mabadiliko ya kweli.

Vyama vya ukoo tumewaachia wenyewe wamalizoe ruzuku za mwisho mwisho
 
Ukiona chama kinatajwatajwa basi ujue hicho ni tishio,sasa naanza kuamini kuwa ACT inawakosesha usingizi wahafidhina wasiopenda kukosolewa.
 
Narudia tena, Siasa safi za nyakati hizi ni zile zinazojielekeza kuiondoa CCM madarakani na sio zinazoisaidia kuning'inia madarakani.
Mkuu hapa umemaliza, Mtu yeyote anayekishambulia chama kingine cha Upinzani huyo hana tofauti na CCM si mpinzani wa kweli hata kidogo. Sasa Kama ACT wanabisha basi waendelee na itikadi yao ya kuishambulia CDM ili wauone mwisho wao.
 
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?

kwanza
kosa gani
  1. Kosa la kwanza waraka wako ulikuwa wa siri kinyume na taratibu za chama chako
  2. waraka ulikuwa umejaa matusi kwenye uongozi uliokuwepo kitu amabocho ni kinyume na taratibu na chama chako na hata ethic za uongozi wa kikundi chochote
  3. etc
pili
kutila hili swala liko very simple for associate Prof to understand kwanini muda wote vijana wenu wanapigana na chadema chama ambacho kwa uelewa wao mdogo wandhani
 
Ahsante. Lakini ni vizuri ukawa muwazi zaidi ni kivipi wanachama wetu wanajisemea kwamba CDM watatutambua? Kama taasisi tuna itikadi, falsafa na misingi iliyo wazi kabisa na viongozi wetu wanatembea nayo hiyo. Vijana wetu wanafundishwa siasa za kujenga hoja kwa sababu hatuamini kabisa kwamba siasa ni mchezo mchafu. Kama chama kinachofuata falsafa ya unyerere tunakubaliana na kuzingatia siasa safi kama moja ya visababishi vya maendeleo. Tuache hisia.

kitila mchezo uliokuwa unaandika waraka wa siri ulikuwa wa kidemocrasia, Mchezo wa kuwatumia wale vijana wa chuo kuwatukana viongozi wao ulikuwa wa kidemocrasia Ukijafanya wewe ni muhuni watu wanakufanyai a uhuni zaidi

Mwalimu acha kutafuta huruma za watanzania, kama ulitaka kucheza mchezo mchafu ukawahiwa ...........shame on you

kingine cha msingi unapocheza dili zako za kukiua chadema jua watu wameelimika njoo vizuri, watu wanakufahamu who are ulikuja chadema kwa malengo gani

NB
Ni ngumu kuwaaminisha watanzania kuwa CDM ni sawa na CCM kitu unachotaka kufanya
 
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?

Prof: Mkumbo leo umetoka hadharani na ACT? ........kila kitu sasa kweupe uwe mvumilivu lakini AU kina Njano watakuja kukupa tafu?.
Swali kwako. Watanzania wanahitaji nini kati ya hivi?
1. Utitiri wa vyama?
2. Mipango na Sera za kwenye makaratasi ambao wanaziimba ni kama kasuku hawafuati wala kuamini?
3. Mpinzani wa Chadema

Mwisho sijasikia Kauli ya ACT juu ya Mchakato wa Bunge la Katiba na Matokeo yake ......
 
Hivi sharti la kuwa mpinzani ni lazima uwe chadema? pia CHADEMA imebadilika nini hadi waliojitoa au kufukuzwa waombe kurud?

Nafikir ndio kwanza chadema inaning'inia na punde itaanguka. Kwa kulijua hilo ndio maana wakaazima damu kwa wafu wenzao, kwa kudhirisha ni div 5 hawajui kuwa haiwezekani kupata damu hai kwa maiti.

Lingine naomba ufahamu. ACT haijaanzishwa kwaajili ya kuishambulia CHADEMA au CCM. Bali ACT imeanzishwa ili kuleta mabadiliko chanya ktk maisha ya mtanzania na kupambana na vikwazo vya mabadiliko hayo.

Kama CCM au CHADEMA ndio vikwazo venyewe jua hilo si kosa la ACT bali ni kosa la kazi.

Njano5

katika watu ambo kidogo wameshindwa kujielewa ni wewe, unamwaibishwa mwalimuwangu #kitila mkumbo ambao niliwai kumweshimu sana ingwa because unaongea maneno ya kanga sifahamu even unafahamu what are you speaking about
 
Hivi sharti la kuwa mpinzani ni lazima uwe chadema? pia CHADEMA imebadilika nini hadi waliojitoa au kufukuzwa waombe kurud?

Nafikir ndio kwanza chadema inaning'inia na punde itaanguka. Kwa kulijua hilo ndio maana wakaazima damu kwa wafu wenzao, kwa kudhirisha ni div 5 hawajui kuwa haiwezekani kupata damu hai kwa maiti.

Lingine naomba ufahamu. ACT haijaanzishwa kwaajili ya kuishambulia CHADEMA au CCM. Bali ACT imeanzishwa ili kuleta mabadiliko chanya ktk maisha ya mtanzania na kupambana na vikwazo vya mabadiliko hayo.

Kama CCM au CHADEMA ndio vikwazo venyewe jua hilo si kosa la ACT bali ni kosa la kazi.

Njano5

Hahaha hapo Kwenye Red ya kufundishwa changanya na yako. ni mwendo wa kukaririshwa na ni kwakiasi gani mnatafuata na kuyatekeleza hicho ndicho kipimo kikubwa.
 
Back
Top Bottom