[emoji23] [emoji23] [emoji23]Baby nilifiwa na babu wa jirani yangu,mchango sijatoa yani mpaka leo.
Sijui nafanyaje na ile nauli si nikanunua begi[emoji17] [emoji17] [emoji17]
mmmmmmh daaaah mimi mpaka naoa wala sijawai sikia vikelele vya aina hio kwa mke na mahusiano yetu yalikua ya muda mrefu tuu.na kasoma mpaka sasa tuna familia nikikosa basi nikiwa nacho asante Mungu sometime mahusiano yenu muwe mnaomba Mungu.