Ushauri: Kuna mapenzi ya kweli kwa huyu mwanamke?

Status
Not open for further replies.
usijali MZEE TOLA
anza upya tu, hiyo laki 8 na pesa extra zitarudi tu
na huyo mwanamke nae atarudi kichwa chini ..
halafu na wewe anzisha kabiashara basi..
 
Mkuu unapoteza muda hapo uyo mwanamke hana Vision wala Mission

Huyo yupo anaendeshwa na matukio hata iyo biashara ulimlazimisha tu
Mindset yake na wewe unavyotaka awe ni maji na mafuta

Fanya maamuzi haraka unapoteza resources zako hapo
 
Mkuu pole sana kwa jambo hilo.Kaka huyo si mwanamke wa ndoa.

Ukiachia yote mwanamke wa kuoa akusikilize na awe na hofu na wewe.Umemshauri vitu 3 vyote kapiga chini kwa lugha fupi anakudharau.

Tambua mwanamke anayekusumbua wakati wa uchumba ukimuoa atakutesa.Ukiachia mbali dharau zake huyo mwanamke anaonekana anatamaa na mambo makubwa hakufai kimaendeleo.

Sito kuambia umuache ila jiandae mateso.Kuna kipindi atakuambia uuzee nyumba ununue gari kisa bei ya gari ni rahisi...
.Kaa chini ufikirie maisha yako
 
Ahsante mkuu
 
Ubarikiwe Sana mkuu kwa ushauri wako maridhawa
 
Yani Huyo hana mapenzi na wewe hata chembe anataka akuchune asepe zak
 
Kimbia km kimbunga hilo ni Bomu LA nyuklia siku likilipuka utajua ninamaanisha nn,,, au ndio ushatekwa tuambizane mapema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom