Ushauri: Kuna mapenzi ya kweli kwa huyu mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Sina uhakika kama mtoa post anawaelewa kwa sababu kama ameshindwa kuhandle inshu ndogo kiasi hicho nina mashaka naye huko mbele kwenye mahusiano itakuwaje. Mimi sikushauri umuache au uendelee naye ila nakushauri kikomaze kichwa chako kifanye kazi barabara then usipaniki mkuu usiwaamini sana wadada ambao hata mwaka haujamaliza kuwa nao katika mahusiano, how is it kama huo uliompa amempa basha ake wa zamani?? Kwani umemkuta bikra huyo?? Utajuaje kama yupo na jamaa ake wanakupiga??? Mwisho bint akikukubalia usiwe na haraka sana mara ooh ndoa sijui mke take time ujiridhishe kwamba hapo ni mahali salama si kwa magonjwa la hasha kwa kuwekeza kwa ajili ya kuwa mke. Kama unataka uendelee naye uchukue jukumu la kumtengeneza awe mke umbadilishe tabia, mshape aendane sehemu kubwa na wewe kama mtakavyokubaliana.
Kichwa kifanye kazi hicho umekilemaza mno...!!!!
 
mmmmmmh daaaah mimi mpaka naoa wala sijawai sikia vikelele vya aina hio kwa mke na mahusiano yetu yalikua ya muda mrefu tuu.na kasoma mpaka sasa tuna familia nikikosa basi nikiwa nacho asante Mungu sometime mahusiano yenu muwe mnaomba Mungu.
 
Huyo ni mwanamke kwakuwa ana uke

Unaweza ukawa naye kwa ajili ya kula bata pesa iwapo zimekuchosha

Lakini kwa kuishi naye....hamnamo mtu ndani yake
Unaweza siku umemuacha ndani unarudi anakwambia ameuza TV akachangie kitchen party ya shost yake
 
Wanaume wanaojali hivu mko wapi? Ungekuwa wangu numgekupenda na kukuheshimu had I uchoke, daima ningemshukuru mungu kuwa na bahati ya kupendwa na wewe?

Back to topic piga chini huyo anakutumia tu..
Mwambie hivi...
.." Fulani nilidhani ungefaa tutengeneze familia kumbe sivyo, asante."
Usimtukane wala kubadilisha maneno makali.
 
Habari zenu wapendwa?

Nianze hivi! Miezi 5 iliyopita nilikutana na binti mmoja hivi na nikafanikiwa kutengeneza mahusiano naye. Lengo kubwa lilikuwa kufunga naye ndoa kwa kuwa nilimpenda sana, lakini huyu mwezangu hakuwa ameajiriwa na mimi nimeajiriwa.

Tuliishi mikoa tofauti kwa sababu mkoa ninaofanyia kazi ni tofauti na yeye alipo, pia alipo yeye, mimi kule ndo nyumbani, hivyo kila ninapopata likizo huwa nakwenda kusabahi ndugu kwasababu hiyo basi nikamwambia kwa kuwa huna kashughuli kanakoweza kukufanya upate mia mbili mia mbili, ni shughuli ipi unayoweza kuifanya, ikakusaidia hadi tutakapofunga ndoa? Maana si muda wote ninaweza kuwa na hela utakapohitaji hivyo hiyo shughuli inaweza kukusaidia.

Akaniambia kuwa anaweza kununua bidhaa za wanawake kama madera, viatu vya kike, mikoba na kukopesha, hivyo angehitaji mtaji wa kama 500,000, mimi nikampa 400, 000 nikamwambia anzia hiyo na kweli akaanza, but tatizo lilianza pale siku moja aliponiambia kuwa kuna simu ndugu yake anauza, yenye thamani ya 450,000 ila anaiuza kwa shilingi 250,000, hivyo anataka ainunue, ila mimi nikapinga hilo nikamwambia, shughulika na hiyo biashara kwanza, ikichanganyia vizuri mbona unaweza kununua simu ya aina yoyote? Lakini mwezangu akawa kama amebisha hivi hivyo sikutaka kubishana naye, ingawa alikuwa na simu nyingine aina ya tecno W3, aliamua kuinunua na ile kwa kutoa pesa ya mtaji.

Bahati mbaya alipokwenda saloon ile simu aliyonunua 250,000 aliibiwa. Aliniomba radhi kwa kilichotokea na mimi nilimuelewa ingawa aliniambia hata nipa jukumu la kununua simu nyingine, na mimi nikakaa kimya, bdae ikabidi auze ile tecno w3 ili arudishe hela ya mtaji, maana aliitumia kununua ile simu aliyoibiwa saloon.

Baada ya kuuza hiyo tecno w3 akawa hana simu so nikamuonea huruma nikampa 70,000 akaongezea nyengine akaenda kununua smart nyengine, sasa hapo kipindi cha katikati elfu ishirini ishirini nyingi tu nimetuma kwake, so nikifanya majumlisho kama 800,000 imetumika wake ukijumlisha na mtaji niliompa.

Sasa juzi kati kaniambia kuwa ameambiwa kuwa achangie jiko la gas kwa ajili ya harusi ya ndugu yake, mimi nikamuuliza wanakupa majukumu hayo kwani wewe una kazi? Nikamwambia sasa hivi sina pesa, maamuzi aliyochukua ni kuuza ile simu niliyomchangia 70,000 kununua, ili akanunue jiko la gas kwa ajili ya huyo ndugu yake anayeolewa.

Sasa sakata likapamba moto aliponiambia kuwa hana simu hivyo nimpe 30,000 akanunue simu ndogo, nikamwambia sina, vumilia nitakupa, akaniambia kanikopee, nikamwambia siwezi kwenda kukopa, akaniambia sasa wewe ni mwanaume gani huna hata akiba ya 30,000? Nikamuuliza mbona wewe huna hiyo 30,000, akanambia siwezi kuwa na mwanaume ambaye hana uwezo wa kunisaidia nikiwa nadharula ya pesa Kama hivi. Nikamwambia sawa mama.

Ushauri wenu wadau kuna mapenzi ya kweli hapa?

Au nimepotea njia?
Mkuu pole sana ila tambua mapenzi ya mbali ndo matatizo yake unamjengea uwezo wa kukusahau na kuweza kuixhi bila wewe huyo hata kama anakupenda bathi ni kwa axilimia chache sana pole msahau tengeneza maisha vuta picha hizo pesa ulizokuwa ukimpa endapo ungenunua hata kuku tu ungekuwa mbali pole tena
 
Habari zenu wapendwa?

Nianze hivi! Miezi 5 iliyopita nilikutana na binti mmoja hivi na nikafanikiwa kutengeneza mahusiano naye. Lengo kubwa lilikuwa kufunga naye ndoa kwa kuwa nilimpenda sana, lakini huyu mwezangu hakuwa ameajiriwa na mimi nimeajiriwa.

Tuliishi mikoa tofauti kwa sababu mkoa ninaofanyia kazi ni tofauti na yeye alipo, pia alipo yeye, mimi kule ndo nyumbani, hivyo kila ninapopata likizo huwa nakwenda kusabahi ndugu kwasababu hiyo basi nikamwambia kwa kuwa huna kashughuli kanakoweza kukufanya upate mia mbili mia mbili, ni shughuli ipi unayoweza kuifanya, ikakusaidia hadi tutakapofunga ndoa? Maana si muda wote ninaweza kuwa na hela utakapohitaji hivyo hiyo shughuli inaweza kukusaidia.

Akaniambia kuwa anaweza kununua bidhaa za wanawake kama madera, viatu vya kike, mikoba na kukopesha, hivyo angehitaji mtaji wa kama 500,000, mimi nikampa 400, 000 nikamwambia anzia hiyo na kweli akaanza, but tatizo lilianza pale siku moja aliponiambia kuwa kuna simu ndugu yake anauza, yenye thamani ya 450,000 ila anaiuza kwa shilingi 250,000, hivyo anataka ainunue, ila mimi nikapinga hilo nikamwambia, shughulika na hiyo biashara kwanza, ikichanganyia vizuri mbona unaweza kununua simu ya aina yoyote? Lakini mwezangu akawa kama amebisha hivi hivyo sikutaka kubishana naye, ingawa alikuwa na simu nyingine aina ya tecno W3, aliamua kuinunua na ile kwa kutoa pesa ya mtaji.

Bahati mbaya alipokwenda saloon ile simu aliyonunua 250,000 aliibiwa. Aliniomba radhi kwa kilichotokea na mimi nilimuelewa ingawa aliniambia hata nipa jukumu la kununua simu nyingine, na mimi nikakaa kimya, bdae ikabidi auze ile tecno w3 ili arudishe hela ya mtaji, maana aliitumia kununua ile simu aliyoibiwa saloon.

Baada ya kuuza hiyo tecno w3 akawa hana simu so nikamuonea huruma nikampa 70,000 akaongezea nyengine akaenda kununua smart nyengine, sasa hapo kipindi cha katikati elfu ishirini ishirini nyingi tu nimetuma kwake, so nikifanya majumlisho kama 800,000 imetumika wake ukijumlisha na mtaji niliompa.

Sasa juzi kati kaniambia kuwa ameambiwa kuwa achangie jiko la gas kwa ajili ya harusi ya ndugu yake, mimi nikamuuliza wanakupa majukumu hayo kwani wewe una kazi? Nikamwambia sasa hivi sina pesa, maamuzi aliyochukua ni kuuza ile simu niliyomchangia 70,000 kununua, ili akanunue jiko la gas kwa ajili ya huyo ndugu yake anayeolewa.

Sasa sakata likapamba moto aliponiambia kuwa hana simu hivyo nimpe 30,000 akanunue simu ndogo, nikamwambia sina, vumilia nitakupa, akaniambia kanikopee, nikamwambia siwezi kwenda kukopa, akaniambia sasa wewe ni mwanaume gani huna hata akiba ya 30,000? Nikamuuliza mbona wewe huna hiyo 30,000, akanambia siwezi kuwa na mwanaume ambaye hana uwezo wa kunisaidia nikiwa nadharula ya pesa Kama hivi. Nikamwambia sawa mama.

Ushauri wenu wadau kuna mapenzi ya kweli hapa?

Au nimepotea njia?
Jamani hapo huna MKE, kwanza hajui bajet, pili. Mpenda anasa tatu anakuzarau huwez kusema mwanaume gan wakat umempa ,mtaji na matumiz mengine, soma nyakat, afu kumbe shule nayo inasaidia mwanaume anakutoa mbali hivyo huwez kumsikiliza na kumweshimu, sipoo kwa kwel
 
KUNA HAJA KWELI YA KUOMBA USHAURI HAPO?
 
Wanaume wanaojali hivu mko wapi? Ungekuwa wangu numgekupenda na kukuheshimu had I uchoke, daima ningemshukuru mungu kuwa na bahati ya kupendwa na wewe?

Back to topic piga chini huyo anakutumia tu..
Mwambie hivi...
.." Fulani nilidhani ungefaa tutengeneze familia kumbe sivyo, asante."
Usimtukane wala kubadilisha maneno makali.
Ahsante mkuu! Kwa kutambua thamani ya kupendwa
 
Jamani hapo huna MKE, kwanza hajui bajet, pili. Mpenda anasa tatu anakuzarau huwez kusema mwanaume gan wakat umempa ,mtaji na matumiz mengine, soma nyakat, afu kumbe shule nayo inasaidia mwanaume anakutoa mbali hivyo huwez kumsikiliza na kumweshimu, sipoo kwa kwel
Hapo kwenye shule mkuu nakataa, mtu anaweza kuwa nayo shule Kama yeye na akashindwa kuitumia.
 
Sioni dalili zozote nzuri hapa kwa hizi figusi figusi za kuishi na mtu wa aina hii, asiekua na uvumilivu wowote, sio msikivu, tamaa mbele, umimi, kejeli na dharau, mkuu toka nduki fasta maana mwanamke mwenye wasifu huo hapo juu huwa mara nyingi hawadumu kwenye ndoa, na basi ujue ndoa itakushinda na kama una hasira unaweza mpiga pasipo penda,
 
Ahsante mkuu
 
Baby ile hela laki ya nauli naomba urudishe,hujaja kwangu mpaka leo halafu umeshakula muamala
Baby nilifiwa na babu wa jirani yangu,mchango sijatoa yani mpaka leo.
Sijui nafanyaje na ile nauli si nikanunua begi[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom