teh teh teh! bado mkuuKimbia km kimbunga hilo ni Bomu LA nyuklia siku likilipuka utajua ninamaanisha nn,,, au ndio ushatekwa tuambizane mapema
Ahsante mkuuMkuu jitahid kuwekeza moyo acha hyo michezo ya kuwekeza pesa kwenye mapenz cc wenzio mwanamke akitaka moyo wetu achukue lakin michezo ya kupeana mshiko tumeacha
daaa polee sana kk angu,,nmesomaa kwa uchungu sanaHabari zenu wapendwa?
Nianze hivi! Miezi 5 iliyopita nilikutana na binti mmoja hivi na nikafanikiwa kutengeneza mahusiano naye. Lengo kubwa lilikuwa kufunga naye ndoa kwa kuwa nilimpenda sana, lakini huyu mwezangu hakuwa ameajiriwa na mimi nimeajiriwa.
Tuliishi mikoa tofauti kwa sababu mkoa ninaofanyia kazi ni tofauti na yeye alipo, pia alipo yeye, mimi kule ndo nyumbani, hivyo kila ninapopata likizo huwa nakwenda kusabahi ndugu kwasababu hiyo basi nikamwambia kwa kuwa huna kashughuli kanakoweza kukufanya upate mia mbili mia mbili, ni shughuli ipi unayoweza kuifanya, ikakusaidia hadi tutakapofunga ndoa? Maana si muda wote ninaweza kuwa na hela utakapohitaji hivyo hiyo shughuli inaweza kukusaidia.
Akaniambia kuwa anaweza kununua bidhaa za wanawake kama madera, viatu vya kike, mikoba na kukopesha, hivyo angehitaji mtaji wa kama 500,000, mimi nikampa 400, 000 nikamwambia anzia hiyo na kweli akaanza, but tatizo lilianza pale siku moja aliponiambia kuwa kuna simu ndugu yake anauza, yenye thamani ya 450,000 ila anaiuza kwa shilingi 250,000, hivyo anataka ainunue, ila mimi nikapinga hilo nikamwambia, shughulika na hiyo biashara kwanza, ikichanganyia vizuri mbona unaweza kununua simu ya aina yoyote? Lakini mwezangu akawa kama amebisha hivi hivyo sikutaka kubishana naye, ingawa alikuwa na simu nyingine aina ya tecno W3, aliamua kuinunua na ile kwa kutoa pesa ya mtaji.
Bahati mbaya alipokwenda saloon ile simu aliyonunua 250,000 aliibiwa. Aliniomba radhi kwa kilichotokea na mimi nilimuelewa ingawa aliniambia hata nipa jukumu la kununua simu nyingine, na mimi nikakaa kimya, bdae ikabidi auze ile tecno w3 ili arudishe hela ya mtaji, maana aliitumia kununua ile simu aliyoibiwa saloon.
Baada ya kuuza hiyo tecno w3 akawa hana simu so nikamuonea huruma nikampa 70,000 akaongezea nyengine akaenda kununua smart nyengine, sasa hapo kipindi cha katikati elfu ishirini ishirini nyingi tu nimetuma kwake, so nikifanya majumlisho kama 800,000 imetumika wake ukijumlisha na mtaji niliompa.
Sasa juzi kati kaniambia kuwa ameambiwa kuwa achangie jiko la gas kwa ajili ya harusi ya ndugu yake, mimi nikamuuliza wanakupa majukumu hayo kwani wewe una kazi? Nikamwambia sasa hivi sina pesa, maamuzi aliyochukua ni kuuza ile simu niliyomchangia 70,000 kununua, ili akanunue jiko la gas kwa ajili ya huyo ndugu yake anayeolewa.
Sasa sakata likapamba moto aliponiambia kuwa hana simu hivyo nimpe 30,000 akanunue simu ndogo, nikamwambia sina, vumilia nitakupa, akaniambia kanikopee, nikamwambia siwezi kwenda kukopa, akaniambia sasa wewe ni mwanaume gani huna hata akiba ya 30,000? Nikamuuliza mbona wewe huna hiyo 30,000, akanambia siwezi kuwa na mwanaume ambaye hana uwezo wa kunisaidia nikiwa nadharula ya pesa Kama hivi. Nikamwambia sawa mama.
Ushauri wenu wadau kuna mapenzi ya kweli hapa?
Au nimepotea njia?
Ahsante sana mkuu!daaa polee sana kk angu,,nmesomaa kwa uchungu sana
Hawa viumbe ni hawana shukrani kaka, hapo hapana mapenzi huyo dada kwanza inaonyesha ametawaliwa na ubinafsi, na pia kukosa shukrani, cha msingi endelea na mambo yako atakuja kuona umuhimu wako baadae, usipoteze muda kwa mtu asiye na fadhila, usawa wenyewe mgumu huu kuna mambo ya msingi ya kufanya, niamini lazima atakukumbukaHabari zenu wapendwa?
Nianze hivi! Miezi 5 iliyopita nilikutana na binti mmoja hivi na nikafanikiwa kutengeneza mahusiano naye. Lengo kubwa lilikuwa kufunga naye ndoa kwa kuwa nilimpenda sana, lakini huyu mwezangu hakuwa ameajiriwa na mimi nimeajiriwa.
Tuliishi mikoa tofauti kwa sababu mkoa ninaofanyia kazi ni tofauti na yeye alipo, pia alipo yeye, mimi kule ndo nyumbani, hivyo kila ninapopata likizo huwa nakwenda kusabahi ndugu kwasababu hiyo basi nikamwambia kwa kuwa huna kashughuli kanakoweza kukufanya upate mia mbili mia mbili, ni shughuli ipi unayoweza kuifanya, ikakusaidia hadi tutakapofunga ndoa? Maana si muda wote ninaweza kuwa na hela utakapohitaji hivyo hiyo shughuli inaweza kukusaidia.
Akaniambia kuwa anaweza kununua bidhaa za wanawake kama madera, viatu vya kike, mikoba na kukopesha, hivyo angehitaji mtaji wa kama 500,000, mimi nikampa 400, 000 nikamwambia anzia hiyo na kweli akaanza, but tatizo lilianza pale siku moja aliponiambia kuwa kuna simu ndugu yake anauza, yenye thamani ya 450,000 ila anaiuza kwa shilingi 250,000, hivyo anataka ainunue, ila mimi nikapinga hilo nikamwambia, shughulika na hiyo biashara kwanza, ikichanganyia vizuri mbona unaweza kununua simu ya aina yoyote? Lakini mwezangu akawa kama amebisha hivi hivyo sikutaka kubishana naye, ingawa alikuwa na simu nyingine aina ya tecno W3, aliamua kuinunua na ile kwa kutoa pesa ya mtaji.
Bahati mbaya alipokwenda saloon ile simu aliyonunua 250,000 aliibiwa. Aliniomba radhi kwa kilichotokea na mimi nilimuelewa ingawa aliniambia hata nipa jukumu la kununua simu nyingine, na mimi nikakaa kimya, bdae ikabidi auze ile tecno w3 ili arudishe hela ya mtaji, maana aliitumia kununua ile simu aliyoibiwa saloon.
Baada ya kuuza hiyo tecno w3 akawa hana simu so nikamuonea huruma nikampa 70,000 akaongezea nyengine akaenda kununua smart nyengine, sasa hapo kipindi cha katikati elfu ishirini ishirini nyingi tu nimetuma kwake, so nikifanya majumlisho kama 800,000 imetumika wake ukijumlisha na mtaji niliompa.
Sasa juzi kati kaniambia kuwa ameambiwa kuwa achangie jiko la gas kwa ajili ya harusi ya ndugu yake, mimi nikamuuliza wanakupa majukumu hayo kwani wewe una kazi? Nikamwambia sasa hivi sina pesa, maamuzi aliyochukua ni kuuza ile simu niliyomchangia 70,000 kununua, ili akanunue jiko la gas kwa ajili ya huyo ndugu yake anayeolewa.
Sasa sakata likapamba moto aliponiambia kuwa hana simu hivyo nimpe 30,000 akanunue simu ndogo, nikamwambia sina, vumilia nitakupa, akaniambia kanikopee, nikamwambia siwezi kwenda kukopa, akaniambia sasa wewe ni mwanaume gani huna hata akiba ya 30,000? Nikamuuliza mbona wewe huna hiyo 30,000, akanambia siwezi kuwa na mwanaume ambaye hana uwezo wa kunisaidia nikiwa nadharula ya pesa Kama hivi. Nikamwambia sawa mama.
Ushauri wenu wadau kuna mapenzi ya kweli hapa?
Au nimepotea njia?
Ahsante sana mkuu!
Ahsante mkuu! Kila jambo lina mwisho, ndo linaelekea mwisho hiliKaka utanisamehe kama nitakua nimekutukana, wewe ni mjinga tena shukuru umeajiriwa, ungekufa njaa, unatafuta mapenzi kwa jizi, tena hata hiyo simu hajapoteza aliuza kwa kua anajua we zoba tu.
Pole sana bro mm pia nlipitia ila alhamdulillah nliamua kukaa pembeni nlihisi kabsaaa hp sipendwi kinachopendwa huduma zng tu now hela yng ni yng napga biashara zng nkiplus na mshahara maisha saaaafi kabisa ujue nn kk kumhudumia mtu umpendae wala co ishu na huwezi kuhisi mzgo ama anakusumbua mtu unaenjoy yaani vle unatimiza wajibu wko km mwanaume ila kinachokera mwanamke kukuona mjinga kudhani umempenda sana so huwezi kumuacha unagharamia watu wanakula tu pga chini akishakutana wa wahuni wa mjini wammanuemanueeeeee ipo cku atajua umuhimu wko!Ahsante kwa ushauri mkuu
Sawa kabisa mkuuPole sana bro mm pia nlipitia ila alhamdulillah nliamua kukaa pembeni nlihisi kabsaaa hp sipendwi kinachopendwa huduma zng tu now hela yng ni yng napga biashara zng nkiplus na mshahara maisha saaaafi kabisa ujue nn kk kumhudumia mtu umpendae wala co ishu na huwezi kuhisi mzgo ama anakusumbua mtu unaenjoy yaani vle unatimiza wajibu wko km mwanaume ila kinachokera mwanamke kukuona mjinga kudhani umempenda sana so huwezi kumuacha unagharamia watu wanakula tu pga chini akishakutana wa wahuni wa mjini wammanuemanueeeeee ipo cku atajua umuhimu wko!
Kwa uzoefu wng najua atarudi tu hata baada ya miaka ila atarudi tu kwa njia yoyote ile c mpaka aseme "nimerudi" hyo ni baada ya kuona kumbe c wanaume wote wanajua kulea na kudekeza utanisikitisha sana kk ukikubali kumrudia!Ahsante mkuu! Kila jambo lina mwisho, ndo linaelekea mwisho hili