Ushauri kuhusu Subaru Forestar

Tumewaza kitu kimoja.
Huyu anataka maoni ya wengine kuhusu Subaru.
hizo nyingine mbwembwe tu
 
We mnunulie tuu...maana adi kukuambia STi means kwamba anaifahamu vizuri sana, sio mtu aliye kurupuka nakukuambia kuwa anaitaka iyo mashine ,wachache sana aswa kwa wanawake wanao jua hiyo bidhaa. Mtafutie hii hapa chini. ATTACH]176125[/ATTACH]
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1407529285.785206.jpg
    41.4 KB · Views: 203

Tatizo la kutoroka milembe ndiyo linakutesa wakati unamuoa uliomba ushauri jamii forum? kama jibu ni hapana kamalizie dozi milembe ndipo utafahamu kwa nini nimekujibu hivi.
 
Una akili kweli? Hivi ni kila kitu lazima ukiseme mbele za watu? Uwe ukijua kuwa kwa hili umebugi brother! Uwe na mipaka.
 

Mwana nimekugongea like hapo juu. ulioa ukiwa na miaka 14
Ulifunga ndoa mwaka 2008 kisha 2014 ukamaliza form 6.
 
Dah, August ndo hii.
Wadau hivi EPL inaanza lini?
 
kaka linabwia mafuta hiloooooo mi naona tutasumbuana kaka

Mafuta,spare parts Subaru Forester iko juu sana,sana sana!!!!!zingatia hiyo gari ataitumia mji gani,mji kama Dar penye madereva wengi vichaa hiyo itakupasua kichwa,mf ikivunjwa taa ya nyuma bei yake 400,000/350,000,taa mbele iko bei sawa na nyuma,indicotor moja sio chini ya 200,000,bumper la mbele 1.2/1.5mil,radiotor/condensor vyote sio chini 1.6mil,(hizi ni bei za used)tuseme imepigwa bonge la mzinga kwa mbele ikulazimu kununua norse cut(kipande cha mbele kikiwa na kila kitu)hesabu yake mpaka gari irudi mtaani utaacha hapo hela ya kununua Ist au Passo mpyaaa,kwenye chassis ndo penye balaa zaidi then spare zake waeza kuwa na cash ukashindwa kuzipata unaambiwa uagize mpya hizo bei za mpya ukiwa vibaya kifedha gari utafugia kuku uwani,nisikutishe sana mkuu angalia kama mfuko wako umekaa vizuri mnunulie wife hiyo gari kweli ni nzuri but ndo hivyo,nimechangia nkiwa na xperience na hizo makitu so sijabahatisha.
 

Hiyo gari siyo Subaru hiyo ni chevlorete. Kufwatana na nembo yake ya Mbele
 
Mwanaume ndo kichwa, ukisema basing on arguments basi umemaliza na akisusa tumia yote mwenyewe
 
...hiyo gari haili mafuta kihivyo, mnunulie forester 5tb Ina cc 1998, I used to ride it for a while now, iko poa Sana.
 
...na suala la kukimbia Ni yeye mwenyewe ingawa hiyo gari Ina turbo, so kama Ni ruff Ryder, hapo amefika
 
Ushauri wangu forester tatizo spea. Hayo mengine kwamba umefanikiwa,,v8 ni fiksi tuu.
 
sema anatafuta sababu ya kukunyima tu tunda wala gari si tatizo,kapata serengeti boy huyo
 
Umiliki VX V8 halafu ulalamikie mafuta ya SUBARU???!!!!
Are you serious???!!!

Biashara gani hizo zinashindwa kuhudumia SUBARU???!!! Tena kwa mafuta tu???!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…