hilo litakuwa gari lenu la mojakwamoja hadi lichakae mkalitupe jalalani maana mkilichoka halinunuliwi ngooo lamda mtoe zawadi, kwanza gari ya mashindano na hili jam la dar atapaa nalo wapi? kama amechoka rav4 mnunulie baby walker bana au spacio huu ni ushauri wabureeeeeeeeee
mfanyakazi wa serekari miak 7 ana gari mbili na nyumba tatu na bishara kadhaa,,,,, safi sana kijana ila...... dah twambie basi mwenzetu una save viipi mshahara? au ndo yale mambo yetu ya ufis........di
nadhani mashindano ya magari ya dakar yanakabia kuanza so anataka kujiunga kwenye mashindano aoneshe kipaji chake chengine,na sio kupija hela tu kunako serikali....
Kama una landcruiser v8 ambalo ni kama kiwanda( inabugia mafuta). Utashindwaje hiyo subaru. Besides umesema maisha ni mazuri so hela ipo. Then ndio mahali pake pa kutumia