Ushauri kuhusu mwanamke mkavu ukeni

Ushauri kuhusu mwanamke mkavu ukeni

mzizi1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
265
Reaction score
708
Wasalaaam wandugu, naomba msaada tutani.

Mimi nina mwenza wangu ambaye tumekuwa wote kwa muda sasa na sasa hivi tupo katika hatua za uchumba wa ndoa. Huyu mtu kiukweli twapendana hasa, twajaliana na kuthaminiana sana (namzidi miaka mitano na mimi ni mwanaume wake wa kwanza).

Shida ipo hapa, huyu mtu wangu kiukweli anakauka sana na mara nyingi sana huwa ni kama tunalazimisha kufanya mapenzi. Nimetumia njia nyingi sana kumuandaa, muda mwingi sana lakini tukianza tu unakuta ni mkavu, japokuwa tukiwa tunaendelea kila kitu kinakua sawa na anayamwaga.

Hii hali imekuwa inanikata sana moto, maana mara nyingi mkimaliza kufanya mapenzi basi hawezi tena mpaka zipite siku tatu ama nne ndiyo atakuwa tayari. Japo napo hali inakua ngumu mwanzoni.

Naombeni msaada njia sahihi ya kumuondolea hili tatizo, maana naona kabisa nakua sipo sawa kifikra inapokuja suala la tendo.
 
Umemuoa?au unakula tu mbususa ya watu,mwanamke mkavu ukeni badala ufurahie,hivi hushawahi kutana na **** chemchem??yani ina maji mpaka unalowanisha godoro
Mkuu mbususu ikiwa kavu Sana , utamu wakujegeja hua unapungua , siku zote wanaume kwa wanawake hua tunafuata utelezi aisee, sasa utelezi usipokuwepo inakua ni kero
 
Wasalaaam wandugu, naomba msaada tutani.

Mimi nina mwenza wangu ambaye tumekuwa wote kwa muda sasa na sasa hivi tupo katika hatua za uchumba wa ndoa. Huyu mtu kiukweli twapendana hasa, twajaliana na kuthaminiana sana (namzidi miaka mitano na mimi ni mwanaume wake wa kwanza).

Shida ipo hapa, huyu mtu wangu kiukweli anakauka sana na mara nyingi sana huwa ni kama tunalazimisha kufanya mapenzi. Nimetumia njia nyingi sana kumuandaa, muda mwingi sana lakini tukianza tu unakuta ni mkavu, japokuwa tukiwa tunaendelea kila kitu kinakua sawa na anayamwaga.

Hii hali imekuwa inanikata sana moto, maana mara nyingi mkimaliza kufanya mapenzi basi hawezi tena mpaka zipite siku tatu ama nne ndiyo atakuwa tayari. Japo napo hali inakua ngumu mwanzoni.

Naombeni msaada njia sahihi ya kumuondolea hili tatizo, maana naona kabisa nakua sipo sawa kifikra inapokuja suala la tendo.
Ale Sana ndizi za kupika
 
Sema hapo kwenye kulazimishana tendo imekaa ovyo, inaonekana feelings zake zipo mbali maybe na pia haelewi sana hayo mambo labda kakulia kidini au amekua akiamini ni dhambi kubwa kufanya hvyo kwahyo anakuwa hafurahii sana na hajiachii ipasavyo, kwamm hapo nisingeweza maana niki feel tu mtu afeel mchezo mood inakata au nianze kulazimisha sana pia mood inapotea kwahyo kwa kipindi kirefu ningepotezea mazima
 
Wasalaaam wandugu, naomba msaada tutani.

Mimi nina mwenza wangu ambaye tumekuwa wote kwa muda sasa na sasa hivi tupo katika hatua za uchumba wa ndoa. Huyu mtu kiukweli twapendana hasa, twajaliana na kuthaminiana sana (namzidi miaka mitano na mimi ni mwanaume wake wa kwanza).

Shida ipo hapa, huyu mtu wangu kiukweli anakauka sana na mara nyingi sana huwa ni kama tunalazimisha kufanya mapenzi. Nimetumia njia nyingi sana kumuandaa, muda mwingi sana lakini tukianza tu unakuta ni mkavu, japokuwa tukiwa tunaendelea kila kitu kinakua sawa na anayamwaga.

Hii hali imekuwa inanikata sana moto, maana mara nyingi mkimaliza kufanya mapenzi basi hawezi tena mpaka zipite siku tatu ama nne ndiyo atakuwa tayari. Japo napo hali inakua ngumu mwanzoni.

Naombeni msaada njia sahihi ya kumuondolea hili tatizo, maana naona kabisa nakua sipo sawa kifikra inapokuja suala la tendo.

Kule Bukoba zipo dawa za kuongeza maji, watafute magwiji wa huko
 
Muoe kwanza, mwenzio hataki zambi ila bado hana nguvu ya kuishinda zambi ya uasherati kama wewe. Pili mpende na mdekeze ajione she is the luckiest girl in this part of the word . Akihisi na kuona anapendwa sijui uwa inakuaje muda wote huwa wamelowa...talking from my experiences
 
Back
Top Bottom