Ushauri kuhusu mwanamke mkavu ukeni

Ushauri kuhusu mwanamke mkavu ukeni

Nimejaribu kufikiri kuhusu wanaonunua malaya barabarani.

1.Hakupendi.
2.Hana hisia na wewe.
3.Hakuna kuandaana.

Ukavu wa hapo si ni balaa tupu.
 
Mi ni mkavu ila Nina mwanaume ni kero ana maji balaa hapo hadi tunafuta Mara tatu kuendelea na mchezo na akikojoa ndo kama mnaelea baharini sasa sipati picha akikutana na wale wenye mabwawa
 
Mwanaume wako ana maji!!? Duuuuh! Maji kwa maana ya love juice au? sijaelewa vizuri mwanaume anakuwa na maji???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kufikiri kuhusu wanaonunua malaya barabarani.

1.Hakupendi.
2.Hana hisia na wewe.
3.Hakuna kuandaana.

Ukavu wa hapo si ni balaa tupu.
wanakua na mafuta la sivyo nyuchi itachanika
 
Wasalaaam wandugu, naomba msaada tutani.

Mimi nina mwenza wangu ambaye tumekuwa wote kwa muda sasa na sasa hivi tupo katika hatua za uchumba wa ndoa. Huyu mtu kiukweli twapendana hasa, twajaliana na kuthaminiana sana (namzidi miaka mitano na mimi ni mwanaume wake wa kwanza).

Shida ipo hapa, huyu mtu wangu kiukweli anakauka sana na mara nyingi sana huwa ni kama tunalazimisha kufanya mapenzi. Nimetumia njia nyingi sana kumuandaa, muda mwingi sana lakini tukianza tu unakuta ni mkavu, japokuwa tukiwa tunaendelea kila kitu kinakua sawa na anayamwaga.

Hii hali imekuwa inanikata sana moto, maana mara nyingi mkimaliza kufanya mapenzi basi hawezi tena mpaka zipite siku tatu ama nne ndiyo atakuwa tayari. Japo napo hali inakua ngumu mwanzoni.

Naombeni msaada njia sahihi ya kumuondolea hili tatizo, maana naona kabisa nakua sipo sawa kifikra inapokuja suala la tendo.
Mwambie aloweke bamia usiku asubuhi anywe glass moja na jioni.. Siku tatu tu ataona mabadiliko.. Ila
 
Wasalaaam wandugu, naomba msaada tutani.

Mimi nina mwenza wangu ambaye tumekuwa wote kwa muda sasa na sasa hivi tupo katika hatua za uchumba wa ndoa. Huyu mtu kiukweli twapendana hasa, twajaliana na kuthaminiana sana (namzidi miaka mitano na mimi ni mwanaume wake wa kwanza).

Shida ipo hapa, huyu mtu wangu kiukweli anakauka sana na mara nyingi sana huwa ni kama tunalazimisha kufanya mapenzi. Nimetumia njia nyingi sana kumuandaa, muda mwingi sana lakini tukianza tu unakuta ni mkavu, japokuwa tukiwa tunaendelea kila kitu kinakua sawa na anayamwaga.

Hii hali imekuwa inanikata sana moto, maana mara nyingi mkimaliza kufanya mapenzi basi hawezi tena mpaka zipite siku tatu ama nne ndiyo atakuwa tayari. Japo napo hali inakua ngumu mwanzoni.

Naombeni msaada njia sahihi ya kumuondolea hili tatizo, maana naona kabisa nakua sipo sawa kifikra inapokuja suala la tendo.
Kusikiliza upande mmja si sawa uenda ww nae hujui kumuandaa unafanya kama vile kuku yani panua niingize.
Kwa staili hyo sahau kuhusu kuloana
 
Mi ni mkavu ila Nina mwanaume ni kero ana maji balaa hapo hadi tunafuta Mara tatu kuendelea na mchezo na akikojoa ndo kama mnaelea baharini sasa sipati picha akikutana na wale wenye mabwawa
Balaa tupu,ataogelea
 
Nunua ky jelly uwe unaanza nayo,lakini pia acheni uasherati mpka muoane ndegelesi zenu
 
Wasalaaam wandugu, naomba msaada tutani.

Mimi nina mwenza wangu ambaye tumekuwa wote kwa muda sasa na sasa hivi tupo katika hatua za uchumba wa ndoa. Huyu mtu kiukweli twapendana hasa, twajaliana na kuthaminiana sana (namzidi miaka mitano na mimi ni mwanaume wake wa kwanza).

Shida ipo hapa, huyu mtu wangu kiukweli anakauka sana na mara nyingi sana huwa ni kama tunalazimisha kufanya mapenzi. Nimetumia njia nyingi sana kumuandaa, muda mwingi sana lakini tukianza tu unakuta ni mkavu, japokuwa tukiwa tunaendelea kila kitu kinakua sawa na anayamwaga.

Hii hali imekuwa inanikata sana moto, maana mara nyingi mkimaliza kufanya mapenzi basi hawezi tena mpaka zipite siku tatu ama nne ndiyo atakuwa tayari. Japo napo hali inakua ngumu mwanzoni.

Naombeni msaada njia sahihi ya kumuondolea hili tatizo, maana naona kabisa nakua sipo sawa kifikra inapokuja suala la tendo.
Paka sewe mzee
 
Mkuu una hakika anakupenda na ana kufeel...? Maana feelings tu na maneno yako mpaka unafika home toka job wntu ndembendembe...unafanya maandalizi gani mzee?
 
Back
Top Bottom