Ushauri kuhusu mwanamke mkavu ukeni

Ushauri kuhusu mwanamke mkavu ukeni

Kwa hiyo unateleza tu kama kambale estugo?
Muone

Sasa huku ziwani full kutafuna hao dagaa

Utelazi ndiyo maana nilikuwa najishangaa,kumbe

Mjep Shikamoo
Screenshot_20221029-103815.jpg
 
Mi sio tabibu ila ushauri wa kiufundi.
Hapo mkuu jaribu kuwa anapiga deki sanaaa.Yan try even half an hour we piga deki kitaalam hakunaga ukavu wa namna hiyi mkuu niamini mimi
 
Wasalaaam wandugu, naomba msaada tutani.

Mimi nina mwenza wangu ambaye tumekuwa wote kwa muda sasa na sasa hivi tupo katika hatua za uchumba wa ndoa. Huyu mtu kiukweli twapendana hasa, twajaliana na kuthaminiana sana (namzidi miaka mitano na mimi ni mwanaume wake wa kwanza).

Shida ipo hapa, huyu mtu wangu kiukweli anakauka sana na mara nyingi sana huwa ni kama tunalazimisha kufanya mapenzi. Nimetumia njia nyingi sana kumuandaa, muda mwingi sana lakini tukianza tu unakuta ni mkavu, japokuwa tukiwa tunaendelea kila kitu kinakua sawa na anayamwaga.

Hii hali imekuwa inanikata sana moto, maana mara nyingi mkimaliza kufanya mapenzi basi hawezi tena mpaka zipite siku tatu ama nne ndiyo atakuwa tayari. Japo napo hali inakua ngumu mwanzoni.

Naombeni msaada njia sahihi ya kumuondolea hili tatizo, maana naona kabisa nakua sipo sawa kifikra inapokuja suala la tendo.

IMG_1134.jpg

Tumia Saliva Bob!!!
 
Back
Top Bottom