Ushauri kuhusu mkopo wa gari

Ushauri kuhusu mkopo wa gari

Hongera mkuu kwa kuamua kujikwamua. Ila pole pia kwa mihangaiko.

Kotokana na kipato ulichoweka hapo juu, ningekushauri utafute gari isiyozidi 1500cc kwa sababu zifuatazo.

1) Ushuru wa TRA (Road License) ni nafuu kwa gari ndogo < 1500cc
2) Uta-save pia kwenye mafuta. Matumizi makubwa ya gari yapo kwenye mafuta, na sio service wala spea.
3) Service ya engine ndogo ni bei ndogo sana, tofauti na engine kubwa.

Kwa collora Premio, sijawahi ona yenye engine ya 1500cc, ila nafahamu ipo ya 1600cc na ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana. Spea pia zipo na bei ni nafuu sana. Ila kuna Premio za 2000cc, hizo sifahamu utumiaji wake wa mafuta ukoje, labda mdau mwingine atufahamishe.

Ila pia, unaweza jaribu Toyota Raum, ni 1500cc na utumiaji wa mafuta ni mzuri. Spea pia zipo nyingi na bei ni nafuu. (In fact, Raum inatumia spea za corrolla, na engine yake ni ile ile ya Toyota Starlet)

Mambo mengine ya jinsi ya kupata mkopo, ngoja tusubiri wadau tuone wanalipi la kuchangia.

mchanganua umenifumbua macho.
 
nina uwezo wa kulipa 300000/=
kwa mwezi.

bahati mbaya sidhani kama kuna banker atakaye kubali kukukata 80% kama loan repayment. The max they can go ni kati ya 40-60%. fanya uchunguzi kwanza, pia fikiria fuel, maintenace, kama utalaza ofisi ya chama-ulinzi, gharama zako mwenyewe za kuishi, etc
 
Hongera mkuu kwa kuamua kujikwamua. Ila pole pia kwa mihangaiko.

Kotokana na kipato ulichoweka hapo juu, ningekushauri utafute gari isiyozidi 1500cc kwa sababu zifuatazo.

1) Ushuru wa TRA (Road License) ni nafuu kwa gari ndogo < 1500cc
2) Uta-save pia kwenye mafuta. Matumizi makubwa ya gari yapo kwenye mafuta, na sio service wala spea.
3) Service ya engine ndogo ni bei ndogo sana, tofauti na engine kubwa.

Kwa collora Premio, sijawahi ona yenye engine ya 1500cc, ila nafahamu ipo ya 1600cc na ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana. Spea pia zipo na bei ni nafuu sana. Ila kuna Premio za 2000cc, hizo sifahamu utumiaji wake wa mafuta ukoje, labda mdau mwingine atufahamishe.

Ila pia, unaweza jaribu Toyota Raum, ni 1500cc na utumiaji wa mafuta ni mzuri. Spea pia zipo nyingi na bei ni nafuu. (In fact, Raum inatumia spea za corrolla, na engine yake ni ile ile ya Toyota Starlet)

Mambo mengine ya jinsi ya kupata mkopo, ngoja tusubiri wadau tuone wanalipi la kuchangia.

Ramthods,

Hebu nijulishe kuhusu Corolla Spacio XG Edition 1ZZ Engine...

Asante
 
Habari wanajf;
mimi ni mtumishi wa umma na kipato changu ni Tsh 400000/=(take home)
nataka kukopa mojawapo ya gari hizi forester/ suzuki escudo/corona premio.
Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)
msaada jamani nshachoka kupanda dala dala.

Tutakufanyia utafiti wa watu wanao toa mikopo, ila ingekuwa vizuri ungetujaalia jinsia yako maana watoa mikopo wengine wapo jenda sensitivu:hungry:
 
Askofu,

Corolla Spacio XG Edition zipo zenye 1800cc, hizi zinatumia engine ya 1ZZ-FE, na zipo za 1500cc ambazo zinatumia engine ya 1NZ-FE.

Engine ya 1NZ-FE inatumika kwenye Toyota IST, Corolla RunX, Toyota Allex, Corolla Fielder etc.

Kwa kifupi, engine zote za 1NZ-FE na 1ZZ-FE zinatumika kwenye magari mengi sana.

Ila, kama ilivyo kawaida, gari nyingi mpya huwa na shida ya spea kidogo na bei huwa juu. Lakini kutokana na engine ya 1ZZ na 1NZ kuwa na matumizi katika gari nyingi, hakuta kuwa na ishu ya spea sana kwenye engine. Isipokuwa, spea zitakuwa ishu kwenye Body Parts, kama vile taa, side mirrors n.k.

Engine zote zina VVT-i, hivyo tegemea matumizi mazuri ya mafuta.

Bei ya manunuzi pia ipo juu. Gari zinazotumia engine nilizozitaja hapo juu, nyingi FOB ni $3,600. Kwa mahesabu ya haraka, kuifikisha hapa home na kuitoa bandarini, andaa kitu kama 11M kwenda mbele.

Kama budget yako ni nzuri, tafuta Spacio XG Edition 1,500cc. Hii gari iko safi mzee, kuanzia interior hadi exterior design, performace and fuel economy. Ila, kutokana na suala la body parts kuwa expensive, tafuta Comprehensive Insurance, just in case umegongwa au umegonga gari ya mwenzako.

Kwa kifupi. Kama wewe ni mwendeshaji mzuri wa gari, itakuchukua mwaka mmoja na nusu au miwili (pengine hata zaidi) kabla hujaanza kutafuta spea ilala. So upatikanaji wa spea sio ishu sana kama wewe ni mtunzaji mzuri wa gari. Ishu ipo kwenye fuel consumption, maana hilo haliepukiki.

Mengineyo:

Kama budget ya Spacio XG haijakaa sawa, check Toyota Corolla Fielder XG Edition. Zote zinatumia engine hiyo hiyo, tofauti body tu! Utumiaji wake wa mafuta ni mzuri sana. Ukitoa macho sana kwenye internet, unaweza ukaingiza hichi kitu hapa nyumbani kwa 6.5M - 7.4M. Kazi kwako.
 
vp kuhusu SUZUKI JIMMY na swift?

Asante sana Ramthods,
Nitaangalia Fielder ingawa shepu yake hainifurahishi...lol

Mungu akubariki
Nakutakia sikukuu njema
 
Sio mbaya pia ukipata nissan march, duet, vitz na funcargo haya ni magari ambayo yanaweza kuendana na kipato chako. Magari unayoyata ni ghali na matumizi yake ya mafuta ni makubwa isipokuwa kama upo kwenye bara bara za vumbi zenye mashimo sana au tope jingi, basi ni vyema ukatafuta suzuki eskudo kwa sababu ni 4Wheel drive.
 
Kwa mshahara huo sidhani utaweza kumudu gari hapa mjini ukitilia maanani kwamba on average lazima uweke petrol ya shs. 10,000.= kwa siku; bado spear na bado kula yako na wanao kutegemea. Pia bado riba ya benk ambayo on avrage ni 22% katika benki zetu hapa nchini.

Vipi pikipiki? Napona ndo size yako.
 
umeshajenga?au umepanga?nakushauri kwa pesa hiyo waweza pata kiwanja kitunda,bunju,mbezi luis kuliko kununua gari kama una kwako sawa corolla limited nzuri au ka suzuki 3 doors
 
Sio mbaya pia ukipata nissan march, duet, vitz na funcargo haya

Samahani nikurekebishe kidogo mkuu!

Nissan March, Duet, Vitz sio gari za kununua! Furn gargo sio mbaya sana pia!
 
vp kuhusu SUZUKI JIMMY na swift?

KAA MBALi na hizo gari mkuu! Spea hakuna.

Wiki hii, kuna jamaa ametoa engine ya swift, ameweka ya Toyota 4A (Corolla). Hakuna spea kabisa mji mzima!

Tatizo dogo tu litakufanya ununue gear box impya na engine mpya!
 
we umesomea mambo ya magari nini!
 
Tutakufanyia utafiti wa watu wanao toa mikopo, ila ingekuwa vizuri ungetujaalia jinsia yako maana watoa mikopo wengine wapo jenda sensitivu:hungry:

jinsia ni ke,
 
umeshajenga?au umepanga?nakushauri kwa pesa hiyo waweza pata kiwanja kitunda,bunju,mbezi luis kuliko kununua gari kama una kwako sawa corolla limited nzuri au ka suzuki 3 doors

nina kiwanja but nikifikiria kujenga ndio napata kichaa kabisa.
 
Samahani nikurekebishe kidogo mkuu!

Nissan March, Duet, Vitz sio gari za kununua! Furn gargo sio mbaya sana pia!

thanks a lot ramthods,but nasubiri kujua kama kuna sehemu wanakopesha gari kama gari?
 
Samahani nikurekebishe kidogo mkuu!

Nissan March, Duet, Vitz sio gari za kununua! Furn gargo sio mbaya sana pia!

Naomba msaada hapo, umeshauri kuwa hizo gari hapo juu si gari nzuri kwa vipi wakati engine ni <1500 halafu pia eg Vits ina 1000 na ni V.V.T-i, naomba ushauri wako kwani nataka kumchukulia shemeji yenu kati ya gari hizo, otherwise ushauri wako wa kitaalamu umenisaidia /umetusaidia saaaaaana tu
 
Habari wanajf;
mimi ni mtumishi wa umma na kipato changu ni Tsh 400000/=(take home)
nataka kukopa mojawapo ya gari hizi forester/ suzuki escudo/corona premio.
Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)
msaada jamani nshachoka kupanda dala dala.

Kwa take home hiyo, nenda kakope mkopo wa muda mrefu, CRDB Bank.
Utatakiwa kwenda na :-
1. copy yako ya appointment letter, ili kuthibitisha wewe ni permenent pensionable.
2. Slip za miezi 3.
3.Watakupa form itakayosainiwa na mwajiri as guarantee.
4. Utakopeshwa mshahara wako wa mwezi mara miaka 4 hivyo ni 400,000 x 12 x 3 =14,400,000/=
5. Utaulipa mkopo huo ndani ya kipindi cha miaka 6 with interest ya 10%, hivyo kila mwezi utalipa 220,000/=
4. Kwa vile take home yako ni 400,000 na wewe unaweza kulipa deni la 300,000 kwa mwezi, lazima uithibitishie benki, una other source of income ili waweze kukata more than 50% ya net, kisheria, benki wanaruhusiwa kukata only 33% ya gross.
5. Kwa milioni 14,400,000 unaweza kumiliki your dream car, but think of running cost na durability, usije kumaliza kulipa deni na gari kuishia juu ya mawe.
6. Ushauri wa gari la kununua, kama wewe ni kijana na una familia ya kizungu, watoto wawili, nakushauri nunua Suzuki Alto, 660 cc. Ukiagiza direct kutoka Japan, inauzwa Dola 400. Mpaka kufika Dar ita cost dola 2,000 kwa T-Shilings ni milioni 3 tuu! Kwa vile wewe ni mserekali, utalipia ushuru wa 5% only ukijumlisha na bima na usajili, haitazidi 500,000.

Gharama halisi za kuagiza toka itccars.com ni kama ifuatavyo

Suzuki Alto (Hatchback)
Stock Id :

This Vehicle has been Sold
Top of Form

Bottom of Form

http://japanesecarclub.com/car_description.php?id=6099
Click on image to enlarge

Manufactured Year : April, 2000

Manufactured In : Japan

Model Type : LX-660CC,5 DOOR

PRO -FORMA INVOICE

Nagoya
Japan
info@japanesecarclub.com
www.japanececarclub.com

Consignee/Importer
Dar es Salaam Tanzania-0
TANZAN

Invoice No1:
ITC
Order No & Date:
Customer No:

Invoice For:
1 UNIT OF USED VEHCILE
Shipped in Good Order & Condition Per S.S.
Sailing On:
--
Final Destination
TANZANIA
Port of Loading
Nagoya
Port of Discharge:
DAR-ES-SALAAM

Shipping Mark & Package No.
Description of Vehcile(s)
Units
Stock Price
ITC CARS
DAR-ES-SALAAM
Case:ITC/6099
Made In JAPAN

SUZUKI HATCH,Year
2000
650 CC GASOLINE
Chassis#:HA12S

1
US$ 389.00
Transportation Fee to Port for Stock ID : 6099
US$ 30.00
Freight charges for Stock ID 6099
US$ 720.00
Custom Charges
US$ 150.00 x 1
US$ 150.00
Document Charges
US$ 150.00 x 1
US$ 150.00
Insurance Cost
US$ 0.00 x 1
US$ 0.00
Service Fees
US$ 200.00 x 1
US$ 200.00
Inspection Fees
US$ 300.00 x 1
US$ 300.00
Other Cost
US$ 200.00 x 1
US$ 200.00
Fedex Cost
US$ 80.00
US$ 80.00
Discount Per/Unit
US$ 0.00 x 1
US$ 0.00
Total C&F DAR-ES-SALAAM
2
US $ 2,219.00

Back
Top Bottom