Ushauri kuhusu matumizi ya Technology

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Wakuu ningependa kutoa ushauri wa kujifunza technology kutokana na dunia tuliyo nayo kwa sasa. Kwa mfano kipindi hiki Ni kigumu kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kwa Nchi ya Tanzania.

Hivyo kwa sasa watumiaji wa VPN wamekngezeka. Hivyo tujifunze ugunduzi na ufanisi Katika Technology.
 
Ngoja waje uwape muongozo...

Wewe unafahamu kabisa VPN ni illegal alafu mnataka kufundishana...




Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom