Ushauri kuhusu Mapenzi..

Ushauri kuhusu Mapenzi..

Unlucky, wale watu wema kwa kushauri huwa wanazidiwa zaidi na mambo yao wenyewe. Yaani, unakuta ni mshauri mzuri sana lakini yakimkuta yaliyomkuta mwenzake yanamuathiri sana kupita hata yule.

Mwenzake kama amelia na kuhuzunika sana, yeye atajaribu na njia mbadala za kujiondoa uhai.

They can't handle what they advice others.
Ni kweli,in some other things Niko weak,but kwenye ishu ya mapenzi I'm little bit strong I can say. What I need is a person nimuelezee tu nitoe dukuduku langu la situation iliyopo mbele yangu baaaasiiiii
 
Hilo halina ubishi, mara nying pia nmeshauri watu mbalmbal nawakapona ila yanaponikuta mm mambo yte nlyomshaur afanye il kupoteza mawazo juu ya jambo hilo huw naona haztafanya kazi,
Polee,lakini ukishakuwa na self awareness u can handle them. Na sio vibaya kuomba ushauri kwa watu wengine. No body is perfect
 
Mara nyingi mtu akiwa na stress mfn za mapenzi- utaskia mtu anakshauri ji-keep busy na kazi,soma vitabu,jichanganye na marafiki,sikiliza muziki, toka out,to me siwezi kufanya hata kimoja mfano niseme nisome vitabu, au nisikilize muziki lazma wazo litakuja nafanya hichi kitu sahiv kwaajr ya nini-jibu litakuwa C kwaajr ya ile stress, hapox2 nagail kufanya nabak kimya nagugumia maumivu.
Hivo vitu huwa vinasaidia. Lakini,usitegemee kitakacho nisaidia Mimi ndicho kitakachokusaidia wewe. Hapana, kila mtu na maumivu yake,yanazidiana. Wengine huumia lakini s sana,sasa Kama Una mpenzi tu mkaachana,halafu mwenye mchumba a month ahead anafunga ndoa akakataliwa,Hapo maumivu yatalingana?? So,kuongea na mtu unae muamini ukaelezea tatizo ni moja ya Ku solve tatizo. That's what I believe
 
Ukiheshimu watu wengine haupungukiwi kitu,instead unajijengea na kujiongezea kitu. Kwenu hakuna wakubwa wa kukufundisha heshima kwa wengine? Siombi uniheshimu, laki ni nakushauri jiheshimu kwanza kabla hujaheshimu wengine,unaonekana hujiheshimu wala hujielewa.

Nimekuelewa sana, ni maoni yangu kaka, kama nimekukwaza samahani, Thats what I felt
 
Kumbe wewe mtia moyo na mtuliza maumivu mzuri eeh... haya hilo nimelihifadhi
it just happen automatically. Nilikwa nashangaa watu wengi wananifuata na wengine wanaleta rafiki zao kwangu. Nikawaulza niliowahi ongea nayo,what's special I told you? Akanijibu you tell me a lot,and they mean a lot of some things to me...
Basi Ndio hivyo
 
Pole yake sana huyo mwanamke.. Aendelee kukaza hivyo hivyo asije toa kizembe kwa mtu ambae hana nia nae, wakati alikuwa anabana vizuri tu...

Inasikitisha na inapendeza...


cc: mahondaw
 
it just happen automatically. Nilikwa nashangaa watu wengi wananifuata na wengine wanaleta rafiki zao kwangu. Nikawaulza niliowahi ongea nayo,what's special I told you? Akanijibu you tell me a lot,and they mean a lot of some things to me...
Basi Ndio hivyo
Hongera.
 
Kumbe wewe mtia moyo na mtuliza maumivu mzuri eeh... haya hilo nimelihifadhi
Hahahaaha relato kuwa makini sana na huyu kijana. Ukiyatafakari maneno yake kwa undani utajua anamaanisha nini.
 
Hahahaaha relato kuwa makini sana na huyu kijana. Ukiyatafakari maneno yake kwa undani utajua anamaanisha nini.
Ndugu umenifedhesha saana. Umenisikitisha saana na kuninyon'goshesha moyo...bwana alisema enendeeni mkaijaze dunia hakuishia hapo akatupasa ombeni nanyi mtapewa zaidi ya hapo akasema majaribu ni mtaji.

Na nimechukua hili jaribu lako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom