Ushauri kuhusu kuweka milango ya nje ya chuma

Ushauri kuhusu kuweka milango ya nje ya chuma

Wdl

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
191
Reaction score
186
Wadau nimeona kuweka mlango wa mbao na grill kwa milango ya nje kwenye nyumba ya kuishi haipendezi kama kuweka milango ya chuma hasa ya Uturuki na China.
Naona kujua ni milango ipi imara ya chuma na naweza kuipata wapi.
Ahsante.
 
Mizuri,
Sema Ina changamoto ya makelele,
Pia suala la kutu sio la kubeza Apo baadae
 
Unajenga nyumba nzuri kwa gharama kubwa finishing unakuja haribu kwa kuweka milango ya chuma upo seriously kweli acha ogopa gharama nyumba yako haijawa jera uweke mlango wa chuma ili iweje
 
Mimi mwenyewe ndio kitu natamani. Sipendi mlango uwe na grill kwa nje. Wekeni hapa hizo design
 
Back
Top Bottom