Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

cdhani kama atapata
 
Utapata umeweka priority ya ngapi
 
vipi mkuu Mimi Nina DDD Kwenye physics, chemistry na biology Nina S kwenye BAM na F kwenye GS nitakuwa na cut of point ya ngapi na course gani unanishauri kusoma na doctor of medicine itakubali?
udaktar inawezekana kama competition sio kubwa but kama mlifaulu wengi MD ni ngumu
 
samahani kwa maswali mengi kaka....vipi kuhusu course ya physiotherapy kuna ndugu yangu kaomba hapo KCMC na kwenye gb wameandika capacity ni watu 30 na competition ilokuwepo ni watu 55 vipi idadi ya wanafunzi kwa course hiyo?
 
first year walikua almost 49 so kama kafaulu fresh watamchukua
 
samahani kwa maswali mengi kaka....vipi kuhusu course ya physiotherapy kuna ndugu yangu kaomba hapo KCMC na kwenye gb wameandika capacity ni watu 30 na competition ilokuwepo ni watu 55 vipi idadi ya wanafunzi kwa course hiyo?
hao 55 si walioweka 1st choice tu, anaezaenda ata wa 5th choice kama kafaulu na nne zake za juu zimegoma na yule aliyeweka 1st akabaki
 
mfano kama ikitokea walioweka first choice wote wana two na wale walioweka 2nd na 3rd choise wana ONE na first choice zao zimegoma je wale wenye two wataachwa wabebwe wale wenye one au?
 
lazima wapewe, kikubwa ni ufaulu ndo TCU wanaangalia, priority ni vision ya muombaji tu anayowapa TCU kama mwongozo waanze hapa kwenda pale ambayo wataijaji kwa matokea ya muombaji.
 
mwanafunzi aliyefaulu akiachwa akachukuliwa mwingine aliye na ufaulu wa kawaida na wote wapo kwenye round na coz sawa, anahaki ya kuwashtaki TCU
 
Jambo gum hilo.
Na ata kama ukiachwa lazma watatoa sabab ya kuachwa kwako.
Cha umuhmu umefaulu ondoa was was utasoma tu elim ya juu.
Nmejarbu kufikr tu mkuu.
 
Wakuu samahani nahitaji ushauri wenu katika hizi kozi nina gpa ya 3.9 diploma ya account toka TIA, nime apply hivi udsm bcom-accounting,udsm bcom-finance,tia-accounting,ardhi-science in accounting & finance. Kwa udsm wanatak o'level uwe na c ya b-maths sasa mimi sikupata C wakuu nilipata C ya book-keeping, ila nina B+ ya bussiness maths and statistics ya diploma! je hapo mtazamo wenu naweza pata chuo wapi wakuu?. Ahsanteh
 
Mkuu samahani nahitaji ushauri wenu katika hizi kozi nina gpa ya 3.9 diploma ya account toka TIA, nime apply hivi udsm bcom-accounting,udsm bcom-finance,tia-accounting,ardhi-science in accounting & finance. Kwa udsm wanatak o'level uwe na c ya b-maths sasa mimi sikupata C ya hilo somo bali nilipata C ya book-keeping wakuu ila nina B+ ya bussiness maths and statistics ya diploma! je hapo mtazamo wenu naweza pata chuo wapi wakuu?. Ahsanteh
 
lazima wapewe, kikubwa ni ufaulu ndo TCU wanaangalia, priority ni vision ya muombaji tu anayowapa TCU kama mwongozo waanze hapa kwenda pale ambayo wataijaji kwa matokea ya muombaji.
Umenena vizur mkuu inaonekana unawaelewa sana TCU....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…