Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 552
Naomba nisaidie BA of education in guidance and counselling ndo unakuwa mshauri nasaha au unaenda kufundisha km mwalimu na km mshaur nasaha Tanzania ajira zake zinapatikan? Pia kuna Ba of science in psychology and counselling ajira zipo na ukisoma education in psychology unakuwa mwanasaikolojia? Na wanasikolojia wanaajiriwa sehem gan na vp kwa TZ wanapata ajira?anaefaham pls anisaidiehuwezi na haifai kabisa wala usijupe matumaini. system ndo inachambu kwa hiyo kama hujafikisha inakutyupilia mbali, bora ingekua na binadamu mwenzio angeweza hata kukuone huruma
hakuna kozi ya afya na BINADAMU utakayoisoma ulale njaa, kwanza wataalamu ni wachache dispensary zinalia zinatafutwa watoa huduma, iwe udaktari, ufamasia au maabara zote zinalipa na uhitaji wake ni mkwa mno dunianiJaman vp soko la medical laboratory cz naona nina admission za kusomea hiyo kozii tuu
alwaysa education ni ualimu tuu.Naomba nisaidie BA of education in guidance and counselling ndo unakuwa mshauri nasaha au unaenda kufundisha km mwalimu na km mshaur nasaha Tanzania ajira zake zinapatikan? Pia kuna Ba of science in psychology and counselling ajira zipo na ukisoma education in psychology unakuwa mwanasaikolojia? Na wanasikolojia wanaajiriwa sehem gan na vp kwa TZ wanapata ajira?anaefaham pls anisaidie
Kampala wanadahili kama kawaida,, wametimiza vigezomkuu kweli? na kwanini? na kampala inakuaje
okKampala wanadahili kama kawaida,, wametimiza vigezo
Sio kweli 3 ya 13 unaweza kuwa na point 4 kwenye masomo mawili ukabakia na E moja. Kuna wenye vigezo.Kasema mwisho ni Div 2 ya 12 kam una 13 tafuta diploma cz kasema unatakiwa uciwe na e kwenye masomo yako yote...hapo klmjee
Kuna mdogo wangu amepata E moja kidato cha 6 naomba ushauri mkuu nimpeleke wapi huyu mtu.Kwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form six au diploma waliokosa saifa za kujiunga na shahada tuwasiliane nikushauri cha kufanya.Karibuni huduma inatolewa bure
TCU kupitia CAS wakimaliza allocation hupeleka majina vyuo na vyuo huyapitia na kupeleka mrejesho TCU (wengi hukubaliwa na chuo lakini wapo wachache ambao hukataliwa kutokana na matakwa maalum ya programu). TCU inashughulikia wale ambao wamerudishwa kuangalia wanaweza kufiti wapi hivyo unaweza kuwa na raundi zaidi ya moja mpaka admission list ya mwisho inapotoka. Tatizo linakuja pale utakapo transfer kwenda chuo kingine.Woote mmejikita kaitka namna ya Ku qualify ..nawapongeza ni Uzi mzuri kwa wakati sahihi kabisa
Ushauri wangu kwa wale ambao ndo mnaaply
Kama ww ni mtoto Wa maskini kweli na una uhakika Wa kupata MKOPO (Una vigezo) .
Ukishaapply mkopo sasa ukahamia kuapply chuo ..hakikisha unachagua chuo unachokitaka na unajua kabisa una vigezo .maana ile selection yako ya kwanza wale Wa HELSB huwa wanapeleka mkopo wako chuo cha kwanza ulichochaguliwa
Sasa ikitokea uka transfer chuo au ukawa DECLINED Na chuo .INA maana mkopo wako utabaki chuo ulichochuguliwa awali..na itakuchukua muda mrefu kuja kuupata ..kwaiyo unaweza kusoma semester nzima bila BOOM ..
Ni Ushauri wangu huo msidanganyike na CAS eti inachambua wasio na vigezo inawaweka pembeni sio kweli .
Kuna kipindi Cas inachagua kutokana na minimum qualufications ..sasa kuna vyuo kama UDSM hawafati iyo ..wao wapo juu kidogo
a=5, b=4, c=3, d=2, e=1 na s=0.5 kwa matokeo ya sasa ambayo ni system ya zaman imerudishwa.jaman nauliza mm nmepata DDS hapo ntakuwa nina point 4 au 4.5?
yaa nakumbuka mwaka jana wali wali apply mara kama 5 ivi.TCU kupitia CAS wakimaliza allocation hupeleka majina vyuo na vyuo huyapitia na kupeleka mrejesho TCU (wengi hukubaliwa na chuo lakini wapo wachache ambao hukataliwa kutokana na matakwa maalum ya programu). TCU inashughulikia wale ambao wamerudishwa kuangalia wanaweza kufiti wapi hivyo unaweza kuwa na raundi zaidi ya moja mpaka admission list ya mwisho inapotoka. Tatizo linakuja pale utakapo transfer kwenda chuo kingine.
mkuu wewe huwezi maana wanataka masomo mawili uwe na point 4
uwe unaweka matokeo yote.Kuna mdogo wangu amepata E moja kidato cha 6 naomba ushauri mkuu nimpeleke wapi huyu mtu.
hiyo ndio GPA inayotakiwa na TCU,mwenye G.P.A below 3.5 afanyeje kukidhi kuwa na vigezo vya kusoma chuo kikuu?
hiyo ndio GPA inayotakiwa na TCU,
anaweza apply chuo chochote anacchopenda maana kafikisha GPA ya 3.5 inayohitajiwa na serikali kwa waliosoma diploma.
kozi za sanaa sina uelewa mpana zaid ya kukuambia ukasome law, education, political science ila embu kaa vizur usome hiyo guide book utaona kozi mbali mbali we leta ulizozipenda tuzichambue na tukupe ushauri wapi u apply ili upateHabari za asubuhi ndugu zangu naomba mnisaidie nmesoma HGK nmepata DSD kwenye matokeo yangu je naweza soma corse yoyote ya biashara
hapana vyuo vipo kibao utaweza tena chagua chuo uachokitaka usome diploma mara nyigi tuu uwezavyo hio haina shida ni maamuzi yako tuuhujanielewa mkuu,namaanisha hivii,mwenye GPA below 3.5 let say next years anataka aqualify kudailiwa chuo kikuu,arudie kusoma diploma chuo kingine ili apate hiyo GPA ya kumwezesha kuingia chuo au ndio milele na milele atabakia na diploma yake hiyo hiyo tu?
yeye alikua anapenda kitu kwanza? kuweni serious bana ina maana alikua anasoma hiyo pcm bila malengo?mdogo wangu kapata Div 2 point 10 alikuwa anasoma PCM na Phy D, Chem D na Adv Math B hapo course gani nzuri kwake?