Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

ah sawa nimekuelewa mkuu vp kwa yule kijana aliyepata DDS HGL akiaply education anaweza akapata na una mshauri angeaply chuo gani ambacho hakina ushindani???
 
ah sawa nimekuelewa mkuu vp kwa yule kijana aliyepata DDS HGL akiaply education anaweza akapata na una mshauri angeaply chuo gani ambacho hakina ushindani???
nimeskia NIT education ipo, so aombe hapo, udomu, ruco, makumira, theofilo kisanji, archiboshop mihayo
 
Mdogowangu ana matokeo ana division 3 ya point 16
Physics E
A/mathematics E
GS E
Chemistry S
unamshauri aende chuo gani??
 
HGL nimepata DDE Napenda kuwa mwalimu ipi nzuri Bachelor of Art's Education au Education for special needs ipi itakua na soko zuri
 
Nina division two ya 12 history D,kiswahili C,English E.Vipi hapo UDSM wananichukuwa Education ?
 
Ila we jamaa umezidi unoko bana, Mtu kakujibu vizuri we unasema unoko
 
Nina division 1.9 ya PCB yaani C C C. Kwa kozi ya MD vipi, na ni kwa Vyuo gani?
 
.
UDSM hakuna Udaktari
Mkuu una uhakika ukisemacho?! Mbona toka mwaka jana wamedahili wanachuo kwa kozi ya MD
Kama hujui kitu kaa kimya na usiwapotoshe wenzako na wala hutoonekana mjinga
 
Mkubwa nimemaliza form six PCB matokeo yangu ni haya:
Physics E
Chemistry D
Biology D.
Nina ndoto ya kusomea course za afya l, hasa udaktari!! Naombeni ushauri wakuu....
 
Duh! yan kumbe 100% ndo million 3.1 tu!!! Sasa kwa yule anayepata 40% au 50% au 30% anapewa sh. ngap sasa...!!!
 
dah wakuu me nataka nikapige procurement & logistic management au banking &finance IPI kati ya hizi iko poa kwa kujiajiri au kuajiriwa? Nisaidieni wakuu ..
 
Nina two ya 12 Geog D, math E na Economics C nataka kusomea BAF ya ARDHI vipi naweza kupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…