Godfrey Sway
Member
- Apr 13, 2018
- 37
- 34
Usikubali Kupitwa Na Mvua Za Msimu Bila Kupanda Miti Shambani Kwako.
Msimu wa Mvua ni mzuri kwa upandaji wa miti ya matunda pamoja na Ile ya mbao kwani hupunguza gharama za umwagiliaji na mahitaji ya maji. panda Sasa kwani Hadi mvua zinakata mizizi inakuwa imeshika Ardhini vizur.
Pata Miche Ya Matunda Ya Muda Mfupi Aina Zote Kama Vile
Embe (aina zote)
chungwa
parachichi
limao
Ndimu
Chenza
pasheni
papai
stafeli
tope tope
chikichi
korosho
Pera n.k
Utapata miti mizuri kwa Bei ya tsh 2500 tu.
Miti ya Mbao pia ipo
mitiki
Mikangazi
misederera
mkongo n.k.
Piga simu Leo kwa 0752799673
Tupo Morogoro SUA.