Habari ya Mwaka 2016 wadau wa jukwaa la sheria,
Baada ya mjadala mrefu na rafiki yangu wa karibu, nimeona vema kulileta hapa jukwaani ili kupata busara kabla moto haujavuka lami...
Issu iko hivi. Huyu rafiki alikuwa ameajiriwa ktk kampuni fulani hapa DSM ambayo MD wake ni Mzungu. Huyu MD si raia wa Tanzania kwa muda wote tangu miaka ya 90 japo ameoa dada yetu (i.e. Mbongo). Mambo anayofanya huyu jamaa sivema kuweka hapa kwa sasa..... Rafiki yangu alianza kazi 2013 hadi December 2015 ambapo ajira yake ilisitishwa ktk mazingira yenye utata. Sababu alizoniambia kuwa zimechangia uamuazi huo wa bosi wake ni kama zifuatazo:
1. Kuomba kuandikishwa bima ya afya (NHIF), Jambo ambalo bosi alisema its too expensive hawezi ku-afford akitaka hayo mambo a save mshahara wake.
2. Kuomba aandikishwe kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii (PSPF. LAPF PPF etc). Jambo ambalo pia alikataa kabisa.
3. Alipouguliwa mke wake hivi karibuni alinyimwa ruhusa ya kumwuguza mkewe hadi kupelekea mimba ya mkewe kuharibika na mtoto wa miezi 5/6 kufariki kwa kukosa huduma stahiki maana jamaa aliambiwa achague kazi au mke. Kutokana na mazingira ya kiuchumi yaliyo kuwepo, jamaa alimleta wifi mtu ili yeye aendelee na kibarua vinginevyo mambo yange simama.
4. Mwishoni mwa mwezi Dec. 2015 jamaa aliandikiwa email kuwa mkataba wake utasitishwa bila kutoa sababu ya msingi wala formal meeting au formal latter. Na hadi naandika uzi huu jamaa yupo home.
5. Nafasi yake imechukuliwa na watu watatu wote kutoka nchi za jirani kwa madai kuwa watanzania ni wasumbufu na hawajui kiingereza etc. Hii alikuwa anasikia toka kwa huyo boss mzungu. cha kushangaza hawa jirani zetu hawana training wala ujuzi wa ajabu na kwamba kazi hiyo siyo lazima ifanywe na mgeni to nje ya nchi maana hawana special training ambayo Watanzania hatuna. Nia ni kutaka kukwepa majukumu niliyo eleza hapo juu.
OMBI LANGU KWENU WADAU:
1. Tumpe ushauri ndugu yetu. Ni sheria gani inaweza kumsaidia kupata haki yake ya pension ambayo mwajiri huyu mazungu anataka kumdhulumu maana kwa kipindi chote hicho alikataa kabisa kumwandikisha and its a good amount of money.
2. Je, huu usitishwaji wa mkataba bila barua formal wala warning letter etc. ni sawa??
3. Hii ajira kupewa wageni tena wasio nasifa wakati kuna Watanzania kibao wenye weledi na ujuzi wapo. then wapewe hawa jamaa kwa sababu tu nyepesi za oooohhh Your English is not good wakati raslimali zetu wamezing'ng'ania ni sawa????
Naomba kuwasilisha. Hii ni very serious matter kwa jamaa yetu huyu.