KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
LG na Samsung ndo ninaziamini pia nazipenda
Unaweza kusoma kiingereza?
yes i can
mkuu hii digitali inatupeleka puta wengi... hebu niambie hapo mlimani city wanaiza bei gani hizo sumsung inch 28 au hata inch28?..... nijuze mkuu ili nione kama mfuko unaruhusu na mimi nifanye mambo maana umenitamanisha sanakaka umenena nina kitu cha LED Samsung series 4, nimekitungua pale mlimani + kingamuzi nawahi sana kurudi ghetto now days
Hakuna Tv mbaya bali ni ubora na utunzaji wa mtumiaji!
kaka umenena nina kitu cha LED Samsung series 4, nimekitungua pale mlimani + kingamuzi nawahi sana kurudi ghetto now days
Kaka ukitaka tv bora chukua samsung,kama budget ndogo chukua hata samsung Z58 inch21
brand new 270,000/=,achana na hizo Tv za wachina vimeo vitupu
Natumia samsung, na nakushauri ununue samsung
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Brand new samsung 24 inch zenji 300,000
Nina sony.. Namaliza nayo mwaka wa pili sasa. Cha muhimu hakikisha haziingiwi maji
Brand new samsung 24 inch zenji 300,000
kama upo Zenj, naomba PM nikutumie hicho kiasi halafu nifowardie hio kitu huku dar?
Yeye amekutana na SUMSUNG na sio SAMSUNG!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
32 Inchz bado naishi nyumba ya kupanga... bei yake ni 999,999 na waranty ya mwaka mmojaZinauzwa shiling ngap na ni inch ngap