Ushauri kuhusu flat screen TV

Ushauri kuhusu flat screen TV

dah, hata C/o baba mkubwa,sasa kama sina ndg huko nimtafutie wapi?
Mimi nipo bukoba wangu ila vitu naagizia Zenji nina bamkubwa wangu ananinunulia kisha natumiwa huku.
so nawewe tafuta jamaa,rafiki akuagizie.
 
led tv sa hv singsung,tcl ,zec zinapigakazi kama samsung na lg..... Juzi nimennua samsung safiiiiii led tv inch 23 kwa 320 nikapewa na warranty ya miaka miwili......
 
Kaka ukitaka tv bora chukua samsung,kama budget ndogo chukua hata samsung Z58 inch21
brand new 270,000/=
,achana na hizo Tv za wachina vimeo vitupu
  • Sehemu gani inapatikana hii.
 
led tv sa hv singsung,tcl ,zec zinapigakazi kama samsung na lg..... Juzi nimennua samsung safiiiiii led tv inch 23 kwa 320 nikapewa na warranty ya miaka miwili......
Nch 23 TV au laptop hiyo
 
hivi siku hizi unaweza kutumia TV za NTSC system ukiwa TZ?
 
Watu wamecrame tu majina, ZEC pia iko vzr sana! Natumia vifaa vingi vya ZEC viko bomba tu
 
Back
Top Bottom