foshizzle
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 374
- 151
Akafanyiwe surgery etii,tatizo pesaaa
Hahahaaaaaa....!!!
Akafanyiwe surgery etii,tatizo pesaaa
shika adabu yako wewe, arusha kuna quality products
Akafanyajeee??kwanii anaumwa jamen au umbile tuu!awe anafunga tu macho then anaakula mzgo kawaida
Leo hudai picha umeogopa nini?Dah! Pole mkuu!
Kwa hapa Just reserve your photo!
Atakua mngoni tu usishangae ni mila za watu izo wanavutwa wakiwa wadogo ili kumfanya apate raha during sex ni kitu cha kawaida kwa wanawake wa kingoni.
kwi kwi kwi sungura1980 mbona kuna wengine hadi zimepinda!!!!!!!!!!!! basi tu sie wenzenu tuna vifua vya kuhifadhi mambo. tukiweka picha hapa hamchelewi kusema wanawake watu wabaya sana. kwani mna jema nyie
kila mtu ameumbwa kivyake mkuu,after all ndoa sio migegedo pekee,jiulize umeumia kutokana na umbile lake hilo?ulimpendea nini?ana sifa zifaazo kuwa mke ndani ya nyumba na kujenga familia?na kama ulimpenda kikweli ukiwa na ndoto za kujenga familia pamoja naye hapo baadaye na si kwa ajili ya tamaa zako tu za kimwili nadhani hiyo si sababu ya kumwacha mtarajiwa wako,huenda hata wewe una mapungufu mwilini mwako uliyoumbiwa nayo na sidhani kama utafurahi kuachwa na mtu umpendaye kwa ajili ya kasoro hzio so think twice mkuu.
na wakiwepo wanajenga migorofa mibovu.
Mh! Mke anaendanaje na wewe kimaumbile ss?ungesubiri hadi uoe ndo ufanye mapenzi, usiengeona tofauti yake na wengine maana usingekuwa na wakumlinganisha nae. USIZINI. Muombe Mungu akupe mke mwema anayeendana nawe kitabia na kimaumbile.
Nakuhakikishia si waafrika tu. Ila unashadidia picha sasa mtoto akililia wembe mpe. Bofyaila weka picha mkuu..... tusija kulazimisha ni normal kumbe ni abnormal io>
tukiona picha ndio tutajua ukubwa wa tatizo.
weka picha.
Nakuhakikishia si waafrika tu. Ila unashadidia picha sasa mtoto akililia wembe mpe. Bofya
Hiv wewe ni mvulana au mwanaume? Umeishia darasa la ngapi? Mimi sitegemei m2 na akili zake timamu anakuja hapa kuanika mapungufu ya mke mtarajiwa. Wewe akili yako imekaa kipapuchi kwa sababu unasema eti "maana nilikopita huko sijaona" Tumia akili na uache kuwa kama m2 aliyepoteza mwelekeo. Mheshimmu mwezio na wewe utaheshimiwa. Acha kuyumbayumba na kama kama unamuuoa ili ukale hicho king'amuzi imekula kwako. Mke ni zaidi ya papuchi. Acha ushamba na ujali utu.Naamini muwazima humu JF
Najitokeza kuomba ushauri.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28, kwa siku za hivi karibuni nilivutiwa na dada/mrembo nikamuomba kampani badae ili aje awe mke nimeenda kama miez 7/8 baada ya hapo IKABIDI nimuombe GAME/ TUVUNJE AMRI YA 6, kwakuwa tumedumu hiyo miez 7/8 akanikubalia.
SIKU YA TUKIO, baada ya kuja kwangu kama kawaida tukaanza kushikana hatimaye tukawa watupu, SASA KILICHONITISHA HADI NIOMBE USHAURI NI KUWA ILEKUANGALIA KING'AMUZI(CRITORISIS/KINEMBE) CHAKE KILINITISHA MAANA NI KIREFU SI KAWAIDA AKIKAA KINAONEKANA KIMEGUSA SHUKA.
Nilijitajid nikpiga mzigo ila PHYSCOLOGY SIPO SAWA HATA ILE NDOTO ya kuwa aje awe mke imeaanza kutoweka
naomba ushauri kama haya ni maumbile sahihi??, maana nilikopita huko sijaona.
ahsante kwa ushauri wenu!!!
Naamini muwazima humu JF