sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
DEMBA waambie waje hapa waombe ushauri tena na picha waweke!Unataka kusema mnatufichia aibu?!Waje hapa na ushauri tutawapa,aliyekutana na kibamia haya,aliyekutana na nyoka (cobra) haya! Hahaaa JF bwana,stress free!haa haa haaa sijui niseme weka picha?(joke)
any way nadhan ni maumbile ya kawaida tu. mbona hata miguu yenu ya wengine mikubwa mingine midogo? kama na wanawake wangekuwa wanakuja kuomba ushauri hapa mbona ingekuwa kazi!
Last edited by a moderator: