Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 148
hahahahhahh! yaani kiukweli JF na jamiif ni km PETE NA KIDOLE maana Napata raha sana humu kha! hahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!mh!
Kindude cha mwenzio raha wapata wewe :shocked:... Makubwa
hahahahhahh! yaani kiukweli JF na jamiif ni km PETE NA KIDOLE maana Napata raha sana humu kha! hahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!mh!
Nakuhakikishia si waafrika tu. Ila unashadidia picha sasa mtoto akililia wembe mpe. Bofya
kila mtu ameumbwa kivyake mkuu,after all ndoa sio migegedo pekee,jiulize umeumia kutokana na umbile lake hilo?ulimpendea nini?ana sifa zifaazo kuwa mke ndani ya nyumba na kujenga familia?na kama ulimpenda kikweli ukiwa na ndoto za kujenga familia pamoja naye hapo baadaye na si kwa ajili ya tamaa zako tu za kimwili nadhani hiyo si sababu ya kumwacha mtarajiwa wako,huenda hata wewe una mapungufu mwilini mwako uliyoumbiwa nayo na sidhani kama utafurahi kuachwa na mtu umpendaye kwa ajili ya kasoro hzio so think twice mkuu.
huyo demu wako hatoki pande za babati au manyara kweli... maana nimeskia wao ndo wana hizo mambo, ndo maana wanakuaga na hamu sana ya kufanya mapenzi, nimeskiaga kikiwa kirefu kinaongeza hamu kwa wanawake....... kama ni wa babati au manyara hiyo kawaida tu,,,...............................Naamini muwazima humu JF
Najitokeza kuomba ushauri.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28, kwa siku za hivi karibuni nilivutiwa na dada/mrembo nikamuomba kampani badae ili aje awe mke nimeenda kama miez 7/8 baada ya hapo IKABIDI nimuombe GAME/ TUVUNJE AMRI YA 6, kwakuwa tumedumu hiyo miez 7/8 akanikubalia.
SIKU YA TUKIO, baada ya kuja kwangu kama kawaida tukaanza kushikana hatimaye tukawa watupu, SASA KILICHONITISHA HADI NIOMBE USHAURI NI KUWA ILEKUANGALIA KING'AMUZI(CRITORISIS/KINEMBE) CHAKE KILINITISHA MAANA NI KIREFU SI KAWAIDA AKIKAA KINAONEKANA KIMEGUSA SHUKA.
Nilijitajid nikpiga mzigo ila PHYSCOLOGY SIPO SAWA HATA ILE NDOTO ya kuwa aje awe mke imeaanza kutoweka
naomba ushauri kama haya ni maumbile sahihi??, maana nilikopita huko sijaona.
ahsante kwa ushauri wenu!!!
Mh! Mke anaendanaje na wewe kimaumbile ss?
Aisee mambo ya chumban hua hatuyaongei ovyo ,ok utakua experience zero. Anyway hao hua safi ukienda maeneo ya Bukoba, Uganda na Rwanda asilimia kubwa wapo hiv....mi nawapendaga saaaaana.
Google "big black clitoris", then select "image",utaviona vyote.
Well,naomba kusemea machache. Binadamu wote tumeumbwa tofauti,kama wanaume tuko sawa kimaumbile ila different sizes,likewise na wanawake. Clitoris na sio CRITORISIS kama ulivyoandika is the male like feature in the female genitalia,it differs from one to another in size. The clitoris is the female's most sensitive erogenous zone and the primary source of female sexual pleasure. If u play well with the female's clitoris,she can reach orgasm even without penetration.
In short,size real doesnt matter. Hongera sana,she must be enjoying sana,kama na wewe unajua kumpa mambo adimu
haa haa haaa sijui niseme weka picha?(joke)
any way nadhan ni maumbile ya kawaida tu. mbona hata miguu yenu ya wengine mikubwa mingine midogo? kama na wanawake wangekuwa wanakuja kuomba ushauri hapa mbona ingekuwa kazi!
Mzee hii kitu mbona cjaielewa maana picha ya ajabu sana. Wataalam kwa nn inakuwa hivi???
Unaweza kutuwekea picha ya hizo legs? Teh, teh!
Aisee mambo ya chumban hua hatuyaongei ovyo ,ok utakua experience zero. Anyway hao hua safi ukienda maeneo ya Bukoba, Uganda na Rwanda asilimia kubwa wapo hiv....mi nawapendaga saaaaana.