Ushauri: King'amuzi cha mrembo kimenitisha

Ushauri: King'amuzi cha mrembo kimenitisha

hee we nae ! raha ya kidude au raha ya kusoma threads mbalimbali hapa jf! ni thread ndio imenipa raha, sio mawazo yako hasi hayo...mi siko huko...pole sana mkuu!
Kindude cha mwenzio raha wapata wewe :shocked:... Makubwa
 
hee we nae ! raha ya kidude au raha ya kusoma threads mbalimbali hapa jf! ni thread ndio imenipa raha, sio mawazo yako hasi hayo...mi siko huko...pole sana mkuu!

Pole ya nini?!, Hata ingekua naongelea hicho kidude ndio mawazo hasi?!, haya hayo chanya ni yapi.
kwamba wewe ngono huijui au hujawai fanya?.. mimi nakwambia acha ushambaaaaaaa.
 
Dah! amaa kweli upele umwota asiye na kucha....
Ndugu yangu hiyo makitu wenzio tunatafuta mpk basi, tena wa hvyo km ni fundi ndo raha yake.
Yaan mwenye kiantena km hcho wakati wa romance utamtaka...
Anyway si mbaya na sioni km yaweza kua kigezo cha kutomuoa. Kikubwa km other characteriatics of wyf material kazionyesha "You better just go ahead brother". YOU WLL ENJOY MARRIAGE WITH HER.
 
kila mtu ameumbwa kivyake mkuu,after all ndoa sio migegedo pekee,jiulize umeumia kutokana na umbile lake hilo?ulimpendea nini?ana sifa zifaazo kuwa mke ndani ya nyumba na kujenga familia?na kama ulimpenda kikweli ukiwa na ndoto za kujenga familia pamoja naye hapo baadaye na si kwa ajili ya tamaa zako tu za kimwili nadhani hiyo si sababu ya kumwacha mtarajiwa wako,huenda hata wewe una mapungufu mwilini mwako uliyoumbiwa nayo na sidhani kama utafurahi kuachwa na mtu umpendaye kwa ajili ya kasoro hzio so think twice mkuu.

Umenena vyema sana!!!
 
haa haa haaa sijui niseme weka picha?(joke)
any way nadhan ni maumbile ya kawaida tu. mbona hata miguu yenu ya wengine mikubwa mingine midogo? kama na wanawake wangekuwa wanakuja kuomba ushauri hapa mbona ingekuwa kazi!
jamaa ana wasi wasi isije ikawa baadaye kina badilika na kuwa dume
 
...haya mkuu niache na ushamba wangu kwani unakubugudhi ni? naona povu linakutoka tu! usijali ni maisha tu haya.....WEWE UPO JUU, NA NI MWEREVU SANA..... HONGERA SANA!
Pole ya nini?!, Hata ingekua naongelea hicho kidude ndio mawazo hasi?!, haya hayo chanya ni yapi.
kwamba wewe ngono huijui au hujawai fanya?.. mimi nakwambia acha ushambaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom