Hahaa haa!!! Hii kali mzee komaa nao tuu upate cha kuandika kwenye CV yako, chukulia kwamba bado upo shule. Mimi nipo kwenye hatua za awali za kujiajiri lakini still nafanya kazi za kuajiliwa kwasababu bado siko kwenye mazingira mazuri ya ku-take risk kwa 100% ila naamini maisha mazuri wanaishi watu walio jiajiriWakuu mimi ni mgeni katika masuala ya ajira. Nimegraduate mwaka huu pale UDSM, na nimepata kazi wiki mbili zilizopita katika kampun moja pale Posta. Hawa jamaa wanataka nifike kazin saa moja asubuh na niondoke saa 12. Kulingana na eneo ninaloishi nalazimika kuamka saa 11 na kurudi nyumban saa 2 mpaka 3 usiku<MBEZI>. Pia wanafungua ofis mpaka jumapili, kinachosikitisha hakuna hata overtime pamoja kutoa mshahara kiduchu. Hivi wengine ndivyo mnavyofanya kazi hivi? Naomba ushaur katika hili.
Wakuu mimi ni mgeni katika masuala ya ajira. Nimegraduate mwaka huu pale UDSM, na nimepata kazi wiki mbili zilizopita katika kampun moja pale Posta. Hawa jamaa wanataka nifike kazin saa moja asubuh na niondoke saa 12. Kulingana na eneo ninaloishi nalazimika kuamka saa 11 na kurudi nyumban saa 2 mpaka 3 usiku<MBEZI>. Pia wanafungua ofis mpaka jumapili, kinachosikitisha hakuna hata overtime pamoja kutoa mshahara kiduchu. Hivi wengine ndivyo mnavyofanya kazi hivi? Naomba ushaur katika hili.
Pole sana ndugu.
Sikubaliani na mjumbe anayesema unapimwa. Unapimwa kufanya nini? Kutembea usiku, kazi bila mapumziko, malipo kiduchu ili kukupa msongo wa mawazo? Hiyo ni kampuni ya aina yake. Mimi nakushauri uendelee kutafuta kazi. Hapo watakuharibu ukiwa bado mchanga katika duru za ajira matokeo yake uchukie kazi na kuanza udanganyifu kama sehemu zingine za kazi tunazosikia. Hawajui kwamba wanavyokufanya wanakupunguzia uwezo wako wa kuzalisha na kujituma? Mimi sijaona. Tafuta kazi kwingine ila usiache kabla hujapata. Uwe makini na kazi. Usirumbane nao wala kukosa uadilifu. Mungu atakupa kazi nyingine kwa mwajiri atakethamini utu wako, elimu yako na uwepo wako katika ofisi yake.
You are very smart..mkuu.Pole sana ndugu.

Wakubwa wote heshima zenu kwanza.
Na poleni na majukumu ya kila siku .
Nimesikitishwa na karibia asilimia 78% ya majibu na ushauri uliotolewa na wajumbe wachangiaji kwa upande mmoja, lakini pia kwa upande wa pili imenithibitishia mambo mawili :
1. Watanzania wengi hawajui haki zao ktk AJIRA zao.
2.Watanzania wengi wananyonywa na kuonewa ktk ajira zao.
USHAURI KWA MHANGA WA TATIZO :
1. Unachofanyiwa sio stahili yako na ujue unaonewa sana ,hivyo hata kama unaendelea na hiyo kazi ujue ya kwamba muda wa kazi una viwango na vingi vimefata International Standard , me nimefaya serikalini na sasa niko private lakini muda wa kazi ni masaa yasiyozidi 9 kwa siku , labda iku moja moja za emergences ambazo hata mwenyewe unaona inabidi tu .
2. Nakushauri toa TZS 6000/= nunua kitabu cha EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT,2004 (ELRA,2004). Ni sheria ya kazi na Mahusiano kazini ya mwaka 2004 , Na kimsingi waajiri wote wanalazimika kufuata sheria hii . Kwahiyo utapata muda wa kazi unaotakiwa kufanya,masaa ya ziada na siku za kazi ni ngapi kwa wiki na mambo mengine yote ya msingi kuhusu haki zako .
3. Na ujue una haki ya kumshitaki Mwajiri wako kwa kukiuka sheria ya kazi hiyo niliyoitaja na hawezi kukufukuza kazi
NB: MIMI SIO MWANASHERIA KWANI TUMEZOEA MAMBO YA SHERIA NA HAKI ZA MTU AJUE MWANASHERIA TU , UJUMBE WANGU KILA MFANYAKAZI ANATAKIWA KUJUA HAKI ZAKE ZA KISHERIA NA KIMSINGI .
USIKU MWEMA KWA WOTE MLIOSOMA UJUMBE HUU .
AHSANTENI NAOMBA KUWASILISHA.
mkiambiwa wavivu mnasema mmetukanwa mnadharauliwa. hivi wewe kuamka saaa 11 asbui unaona ni tatizo? kurudi saa 2 usk unaona ni tatizo?? halafu hata kazi hujui bado ndo unajifunza, lakini unaanza na mtazamo hasi, ukirudi nyumbani saa kumi na nusu jioni unaweza kutuambia utakuwa unafanya nini???, au unaweza kutuambia kikubwa unachofanya weekend ambacho gharama yake ni wewe kukimbia kazi?.
iache hiyo kazi, itakufundisha kazi