Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,920
kumbe unacheki maslahi ya jamiii....?kwan akishajua kwamba unatatizo unapungukiwa na kipi..kama mambo yamekufika shingoni tiririKA tu..knowing the truth..brings no harm...to any one...Habari zenyu binafsi wanajamvi Natumaini mko pouwa!!!!!!
Kutokana na kufahamiana mpaka kukutana na baadhi ya memberwa JF, nimekuwa nikipata shida katika kuomba ushauri wa baadhi ya mambo. Mfano1: Nina tatizo la kiafya na ninataka kuomba ushauri, nashindwa kufanya hivyokwa sababu unakuta flani ananifahamu kiuhalisia. Atajua kwamba nasumbuliwa natatizo Fulani la kiafya kitu ambacho sitopenda mtu mwingine afahamu zaidi yamshauri (Daktari).
Mfano 2: NInaweza kuwa na tatizo katika mahusiano yangu auhata kifamialia na ninahitaji ushauri , nashindwa kuomba ushauri kwani kila anayenifahamu kiuhalisia atajuakuwa nina tatizo katika mahusiano yangu au familia yangu.
Wadau, nifanyeje ili nisijulikane wakati Mods wanapingaissue ya kuwa na multiple IDs???????
(Nahisi pia kuna watu watakuwa na tatizo kama langu)
Wabheja sana!!!!! :A S angel: