Kwahiyo???Wacha kabisa kufananisha Iphone na vitu vya kipuuzi, android hata Tecno ina Android
Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
Uhuru gani hasa unaoutaka?Yan huwa naipenda sana iPhones japo cjawah kuitumia,ila napata ugum kuinunua maana jamaa zangu wengi wananiambiaga haina uhuru kbsa dah
Naipenda JF
Iyo simu kiboko kwa kweli hasa kwa kukaa na chaji.A7 2017 ipo nafasi ya 3 ktk list ya gmsarena ya cm zinazokaa na charge...ikzidiwa na lenovo p2 & Xiaomi...ila Ikiwa na camera Nzuri kuliko izo mbili...Bei yake $425
Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.Hv tunaomba kujua ni kifungo gani kwa watu wa iphone maana nasikia hakuna uhuru kabisa, ufafanuzi please
Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.
Mambo za kudownload video hovyo hovyo kisa ni ingizo jipya NO.
Customization,Mara home screen umeichoka mara unaweka picha lako sjui la mtoto hakuna.
Kuna storage kubwa ya simu Ila kuijaza sasa,sjui utaijazaje mana jinsi ya kuweka vitu humo ni changamoto.
Kubwa kuliko yote ni kulipia apps,mambo ya pro kule sio kipaumbele.
IPhone ili uifurahie usiwe umeishatumia os nyingine ukaizoea,vinginevyo utahisi usumbufu flani.
1- Kweli na pia sio kweli. AirDrop
2- Kuna Apps kibao zina download hizo video km vile app inaitwa Document na ipo App Store
3-Home screen unaweka picha yoyote ile utakayotaka. Wallpaper na pia kuna still wallpaper au live wallpaper unachagua mwenyewe
4-Storage zinajaa labda kama kwako unategemea kuweka full movies tuu kujaza simu na hauna data nyingine.
5- Sio apps zote ni za kulipia pia kumbuka ata Play Store zipo za kulipia na ukitaka za kulipia kwa bure pia iPhone kuna njia ya kuzipata.
Mwisho nimehisi vingi umeambiwa tuu kwa kukaririshwa na hujawahi kutumia iPhone (iOs) kabisa. Kama ulitumia basi ulikuwa hujui kuitumia na ulitaka itumia kwa mazoea.
Teh teh teh.
Sijawahi kutumia,sijui kutumia,niitaka kutumia kwa mazoea,ongeza na nyingine.
Point za nini sasa!!!Nilitegemea labda ungekuja na point za maana kutetea hoja yako hapo juu ila nimejutia kuupoteza muda kwako kujaribu kukuonesha mapungufu yako
Kati ya Samsung Galaxy J7 prime plus (2017) [emoji739] Samsung Galaxy A8(2017) Ipi simu nzuri apo wadauIphone 7 angalao wamejitahidi kwenye camera ila nao nimeipambanisha na samsung s6 plus edge naona imepitwa...
Labda for other specs but kwa camera quality samsung naona anakimbiza game
Sawa mkuu but hyo iphone 6 plus camera yake ni hovyo kuliko hyo A8
Jaman nataka kununua simu mojawapo kati ya hizo...mwny kunijulisha kuhusu bei zake halisi kwa hapa Bongo na mwny ushauri wwte juu ya ipi ni simu bora kati ya hizo tusaidiane...
mkuu oneplus na xiaomi na wachina wazuri wazuri huwa hawauzi simu madukani, mara nyingi huuza zaidi online. ukizikuta madukani ni mtu kanunua kazieka, na bei huongezeka. hapo kama una mfanyabiashara anaeenda nje unamjua muagizie.
kuhusu A8 ni kwamba A series zote bei zake ni ghali kuliko specs zake. ni simu premium, wamelenga watu wanaopenda muonekano zaidi kuliko specification.
Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.
Mambo za kudownload video hovyo hovyo kisa ni ingizo jipya NO.
Customization,Mara home screen umeichoka mara unaweka picha lako sjui la mtoto hakuna.
Kuna storage kubwa ya simu Ila kuijaza sasa,sjui utaijazaje mana jinsi ya kuweka vitu humo ni changamoto.
Kubwa kuliko yote ni kulipia apps,mambo ya pro kule sio kipaumbele.
IPhone ili uifurahie usiwe umeishatumia os nyingine ukaizoea,vinginevyo utahisi usumbufu flani.