Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

Hii ni kweli aisee... niliishika A8 ya 2017 muonekano wake ni kiboko
 
Mkuu nami nilitaka mwambia hivyo... ila kiukweli iphone 6 plus ni hovyo sana hasa camera yake haiipati hata galaxy S5
probably s5 ina camera nzuri kuliko A8 pia, sababu usisahau s5 ilikuwa ni flagship na A8 ilikuwa ni midrange na hazijatofautiana sana kutoka 2014 na 2015
 
probably s5 ina camera nzuri kuliko A8 pia, sababu usisahau s5 ilikuwa ni flagship na A8 ilikuwa ni midrange na hazijatofautiana sana kutoka 2014 na 2015
Sawa mkuu but hyo iphone 6 plus camera yake ni hovyo kuliko hyo A8
 
Nimekuelewa mkuu
Shukrani sana [emoji120]
 
Tatizo bongo bidhaa zetu ni Asia Standard n ingekuwa Europe standard n hususan UK std simu mungeziheshimu,tofauti ya kwanza ni uzito maana Asia STD ni nyepesi, Europe std km IPhone haigandi kabsaaaaaaa
 
Haigandi? cjaelewa
 
A7 2017 ipo nafasi ya 3 ktk list ya gmsarena ya cm zinazokaa na charge...ikzidiwa na lenovo p2 & Xiaomi...ila Ikiwa na camera Nzuri kuliko izo mbili...Bei yake $425
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…