Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,114
Jaman nataka kununua simu mojawapo kati ya hizo...mwny kunijulisha kuhusu bei zake halisi kwa hapa Bongo na mwny ushauri wwte juu ya ipi ni simu bora kati ya hizo tusaidiane...
 
A8 labda ya 2016 yenye exynos 7420 hii kidogo inaweza compete na hio iphone na ukaenjoy simu,

A8 ya 2015 sio nzuri kwa standard za sasa unless unaipata chini ya laki 4.
 
compare na A8 ndio iphone 6 plus ni nzuri zaidi.

ila kwa A8 ya 2016 ni almost zinafanana, hapo sasa unakuja tu ule upenzi wa unachotaka.
Hizi A 8 kaka nimeona kama zipo chache vile madukani na bei yake sio ya mchezo nikahisi wanataka kunifanya mi wakuja mjini, na ile one plus 5 niliikosa mkuu naona bado hazijafika. Kikubwa napenda kununua simu latest version unakaa nayo hata miaka miwili bado inakua fresh unasahau hadi maduka ya simu
 
mkuu oneplus na xiaomi na wachina wazuri wazuri huwa hawauzi simu madukani, mara nyingi huuza zaidi online. ukizikuta madukani ni mtu kanunua kazieka, na bei huongezeka. hapo kama una mfanyabiashara anaeenda nje unamjua muagizie.

kuhusu A8 ni kwamba A series zote bei zake ni ghali kuliko specs zake. ni simu premium, wamelenga watu wanaopenda muonekano zaidi kuliko specification.
 
A8 labda ya 2016 yenye exynos 7420 hii kidogo inaweza compete na hio iphone na ukaenjoy simu,

A8 ya 2015 sio nzuri kwa standard za sasa unless unaipata chini ya laki 4.
Mkuu nami nilitaka mwambia hivyo... ila kiukweli iphone 6 plus ni hovyo sana hasa camera yake haiipati hata galaxy S5
 
Back
Top Bottom