Ushauri: kama bado unampenda mtu, usitangaze kumuacha!

Kuna ndezi mmoja nilikuwa serious kuoa. Tumekuwa uchumba miaka 2. Siku moja nikaona text yake, "Endelea na maisha yako, mimi nimepata mwingine". Nikajibu neno moja "SAWA".

Ikapita miezi 6, akapiga simu. Anauliza, mbona huwa hunitafuti kunijulia hali? Nikajibu, niko BIZ.

Akawa ananitext mara anapiga simu kunijulia hali, najibu poa.

Siku moja akaanza kufoka na kulalama, KILA MARA NAPIGA SIMU MIMI TU, WEWE HAUPIGI, KWANI HAUTAMBUI MIMI NI NANI KWAKO?. Sikujibu kitu.

Kuna siku akanipigia tukiwa na jamaa zangu, basi nikamlengesha kwa mke wa rafiki yangu akapokea simu na kumwambia, MPIGIE BAADAE KIDOGO ANAOGA.

Kesho yake akapiga na kuniwashia moto eti nimekuwa mhuni, sikujibu kitu. Alipokata simu akatext kuuliza ikiwa natambua mimi nani kwake. Nikaona isiwe tabu nikamtext. ULIPOSEMA UMEPATA NAMI NIKAPATWA. Looh wacha aje juu akidai nimempotezea muda. Nikamtext, MUDA WANGU MIMI ULIKUWA UMESIMAMA, ULIPATA NAMI NIKATAFUTA.
Baada ya hapo alikuwa mpole akaanza kujiweka karibu ili kuni-win akachemka. Baadae akakata tamaa na sijui alipo hadi leo.
 
Huyu dada alikuwa mpenzi wangu alinikosea yeye, na amekuwa akinidanganya mara nyingi tu.

...leo hii kaamua kunitafuta wakati licha ya kunikosea yeye ndio alitangaza kuniacha!

sasa na mm sahizi nimepata nesi wangu, najilia vyangu!

NB: Maisha ni kutumia akili, akili yako ndio maisha yako!View attachment 1071411View attachment 1071412

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya huyu dada ipo kwenye “Charse” na “samehe bule” . Hapo ni “bule” kweli kweli.
 
Kuna ndezi mmoja nilikuwa serious kuoa. Tumekuwa uchumba miaka 2. Siku moja nikaona text yake, "Endelea na maisha yako, mimi nimepata mwingine". Nikajibu neno moja "SAWA".

Ikapita miezi 6, akapiga simu. Anauliza, mbona huwa hunitafuti kunijulia hali? Nikajibu, niko BIZ.

Akawa ananitext mara anapiga simu kunijulia hali, najibu poa.

Siku moja akaanza kufoka na kulalama, KILA MARA NAPIGA SIMU MIMI TU, WEWE HAUPIGI, KWANI HAUTAMBUI MIMI NI NANI KWAKO?. Sikujibu kitu.

Kuna siku akanipigia tukiwa na jamaa zangu, basi nikamlengesha kwa mke wa rafiki yangu akapokea simu na kumwambia, MPIGIE BAADAE KIDOGO ANAOGA.

Kesho yake akapiga na kuniwashia moto eti nimekuwa mhuni, sikujibu kitu. Alipokata simu akatext kuuliza ikiwa natambua mimi nani kwake. Nikaona isiwe tabu nikamtext. ULIPOSEMA UMEPATA NAMI NIKAPATWA. Looh wacha aje juu akidai nimempotezea muda. Nikamtext, MUDA WANGU MIMI ULIKUWA UMESIMAMA, ULIPATA NAMI NIKATAFUTA.
Baada ya hapo alikuwa mpole akaanza kujiweka karibu ili kuni-win akachemka. Baadae akakata tamaa na sijui alipo hadi leo.
Kizibo kweli huyo, kwahio yeye aende akakitembeze akirudi akukute muendele mlipoishia. Umefanya jambo la maana sana kumfungia vioo huyo ndezi 😂😂😂
 
Mi kuna mmoja single mom niko nae kaniganda balaa....

Kaninunulia simu kali samsung latest kabisaa yaani ile kuniduwazaa[emoji23][emoji23]

sasa last week alikiwa kaniganda kweli eti noende kwake nikampe kampani anaskia baridi na pia yukopekeake [emoji23][emoji23]nikawa nampa moyo tu mama nakuja jmosi ikapitaaa, jpili akanigandaaa nayo nikamchenga ikapitaaaa, sasa leo kanambia yuko period haitowezekana kusex basi mi ndo kujifanya namtamani balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasingizia nna migenye hatari faya kila saa namsisitiza tukutane lakini anasisitiza yuko period[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hapa kaniahidi weekend ijayo atahakilisha anakuja tupige shooo moja matata double yaani siku mbili mfululizooo maana si kwa kumchosha hukoo japa nawaza nitamkwepa vp[emoji846][emoji846]

Nishachoka jamani maaana daaah mademu ni wengii na listi ni ndeeefu hatari hadi wengine nawakimbia.[emoji16]

Nawazahapa kama nikimpitia nikitaka tuachane sijui itakuwaje mana asije kuniganda kaa rubaaa[emoji38] mana sio kwa kula hivi vitu vyakee

Kama ushakula vitu vyake naye utakula unamla kavu kavu kulipa fadhila. Tambua Ukimwi upo na hiyo list yako ya mademu.

Ikiwa umeamua kuwa na single mom jitahidi kumridhisha kumtolea wadudu wake pindi wakipanda vinginevyo ataanza kukuchanganya na wengine na hapo sasa list yake nae pia itaongezeka kama ilivyo ya kwako.

Achana nae, au patikana wakati akikuhitaji kuepusha matatizo ya afya kwa wote.
 
Mi kuna mmoja single mom niko nae kaniganda balaa....

Kaninunulia simu kali samsung latest kabisaa yaani ile kuniduwazaa[emoji23][emoji23]

sasa last week alikiwa kaniganda kweli eti noende kwake nikampe kampani anaskia baridi na pia yukopekeake [emoji23][emoji23]nikawa nampa moyo tu mama nakuja jmosi ikapitaaa, jpili akanigandaaa nayo nikamchenga ikapitaaaa, sasa leo kanambia yuko period haitowezekana kusex basi mi ndo kujifanya namtamani balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasingizia nna migenye hatari faya kila saa namsisitiza tukutane lakini anasisitiza yuko period[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hapa kaniahidi weekend ijayo atahakilisha anakuja tupige shooo moja matata double yaani siku mbili mfululizooo maana si kwa kumchosha hukoo japa nawaza nitamkwepa vp[emoji846][emoji846]

Nishachoka jamani maaana daaah mademu ni wengii na listi ni ndeeefu hatari hadi wengine nawakimbia.[emoji16]

Nawazahapa kama nikimpitia nikitaka tuachane sijui itakuwaje mana asije kuniganda kaa rubaaa[emoji38] mana sio kwa kula hivi vitu vyakee

Sent using Jamii Forums mobile app
Imenisikitisha sana hii comment hivi uhisi kama una mapungufu.
 
Me nilikuwa na kandez Fulani nimedumu nako miaka 5 yaan kalikuwa kananidamshia hatar ,full wivu ,kanaweza kutukana matusi cku nzima Mimi sikajibu,Mara tuachane kila MTU afanye yake nakajibu fresh ,basi kakisikia tu Nina ukaribu na dem Fulani kanaenda kumwashia moto yule manz kakitoka huko moja kwa moja geto kananipiga mikwara mingi Mimi nakaangalia tu mwisho wa siku kananirukia mwilin kanataka show ,nakapiga show moja ya kibabe kataongea yote hiyo siku,basi stail ikawa ndio hiyo hiyo kila cku .Bahati nzuri nilipata kazi nilipangwa mikoa ya mbali so tukawa hatuonan Mara kwa Mara had rikizo ifike basi kalianza umalaya wa kupindukia kakawa kanagongwa hovyo kitaa ila nikirud tu mm kitaa kanawakataa wote waliokuwa wanakagonga kanahamishia majesh kwangu yaan katanipiga sound weee had nalainika show Inaendelea kama kawaida ,nikisepa tu kanaanza tena ufuska wake ,nikirud kanahamia kwangu alafu full bit za kutosha nikijifanya nakazingua .Sema baadae niliona haka katakuja nipa magonjwa maana kalishea na Dada mmoja ambae yuko victim kabisa na hilo soo nilipigiwa simu na nikajaprove kwel aiseee basi tokea hapo niliamua kukausha jumla nakenyew kalijua hapa nimeharibu hakajawah nitafuta had Leo ila kanawambia wenzie kuwa sijui jamaa akija ntamwambia nini na sura yangu ntaiweka wapi .kwakifup iko ivyo wadau tudem TWA ivyo tupo sana Mara tuachane Mara vipi my unaendeleaje duuh had vichekesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom