Ushauri: kama bado unampenda mtu, usitangaze kumuacha!

Ushauri: kama bado unampenda mtu, usitangaze kumuacha!

Mi kuna mmoja single mom niko nae kaniganda balaa....

Kaninunulia simu kali samsung latest kabisaa yaani ile kuniduwazaa[emoji23][emoji23]

sasa last week alikiwa kaniganda kweli eti noende kwake nikampe kampani anaskia baridi na pia yukopekeake [emoji23][emoji23]nikawa nampa moyo tu mama nakuja jmosi ikapitaaa, jpili akanigandaaa nayo nikamchenga ikapitaaaa, sasa leo kanambia yuko period haitowezekana kusex basi mi ndo kujifanya namtamani balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasingizia nna migenye hatari faya kila saa namsisitiza tukutane lakini anasisitiza yuko period[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hapa kaniahidi weekend ijayo atahakilisha anakuja tupige shooo moja matata double yaani siku mbili mfululizooo maana si kwa kumchosha hukoo japa nawaza nitamkwepa vp[emoji846][emoji846]

Nishachoka jamani maaana daaah mademu ni wengii na listi ni ndeeefu hatari hadi wengine nawakimbia.[emoji16]

Nawazahapa kama nikimpitia nikitaka tuachane sijui itakuwaje mana asije kuniganda kaa rubaaa[emoji38] mana sio kwa kula hivi vitu vyakee

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota mdogo wangu , chai Kama izi uswa wa mangu uwa ni ngumu kumeza kwa watu wa makamo kama sisi
 
Chaziiii eee... Mtoto anakupenda bana msamehe bure.

Atakua ajifunza tayari atakuwa na adabu.

NB. Nesi nae usimwache.. Hii inaitwa mguu nje mguu ndani.. (akili kabla ya hisia)
[emoji41][emoji41]
 
Kuandika tu hajui akili atatoa wapi
 
Endelea kuota mdogo wangu , chai Kama izi uswa wa mangu uwa ni ngumu kumeza kwa watu wa makamo kama sisi
It's your choice to decide whether you take it or not

We unasemea usawa magu wakati watu wanaupgrade magari kutoka x5 kwenda x6

Shauri zako we endelea kukariri tu maisha
 
It's your choice to decide whether you take it or not

We unasemea usawa magu wakati watu wanaupgrade magari kutoka x5 kwenda x6

Shauri zako we endelea kukariri tu maisha
Hao ni wachache wanao faidi cake ya tz
 
Huyu dada alikuwa mpenzi wangu alinikosea yeye, na amekuwa akinidanganya mara nyingi tu.

...leo hii kaamua kunitafuta wakati licha ya kunikosea yeye ndio alitangaza kuniacha!

sasa na mm sahizi nimepata nesi wangu, najilia vyangu!

NB: Maisha ni kutumia akili, akili yako ndio maisha yako!View attachment 1071411View attachment 1071412

Sent using Jamii Forums mobile app

Manzi mwenyewe hata kuandika herufi kisahihi hawezi [emoji849][emoji849]Charles- Charse pumbavu kabisa.
Afu watu wanaotumia tecno mnakuwa na tabia kama za simu zenu[emoji1383]‍♂️[emoji1383]‍♂️
 
Back
Top Bottom